stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Nikadhani ni watu wengi wenye mtazamo fanani. Kumbe ni jitihada zako peke yako. Hongera sana.Magaidi wa Israel,ni kuvamia raia wasio na silaha na kuwaua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikadhani ni watu wengi wenye mtazamo fanani. Kumbe ni jitihada zako peke yako. Hongera sana.Magaidi wa Israel,ni kuvamia raia wasio na silaha na kuwaua.
Waliosema ni ndani ya masaa 48 ni CIA sio Iran, ngoja kwanza nika swali saa 7 imefika.Au na wewe utatupa masaa 48.....kama wairan 🤣🤣
Only if US and UK wakiwa wame collapse kwanza but As Long as baba ake na kaka ake wapo hai sahau iyo kituIsrael inakwenda ku collpse, fail state, tupo hapa.
Wapumbavu kweli wanaua hadi watoa misaada.Magaidi wa Israel,ni kuvamia raia wasio na silaha na kuwaua.
Tunnels ziko chini ya Nyumba za raia kwahiyo Idiots wanafokiri raia wao wakiuwawa Dunia itapiga kelele hii strategy imesababisha Waarabu elfu arobaini kuuwawa ni u Idiot wa hali ya juu sana.Sio kujificha kwa raia, Israel kwenye infrantry wamebakiza merkava tu, wanategemea air force na hapo waarabu wanajificha kwenye tunnels, kwa hasira anaamua kupiga nyumba za raia.
Hata Ayatolah pia huwa anaota hivyo hivyo.Israel inakwenda ku collpse, fail state, tupo hapa.
Wao...CIA.....waliambiwa na makachero wa Iran 🤣🤣🤣.Waliosema ni ndani ya masaa 48 ni CIA sio Iran, ngoja kwanza nika swali saa 7 imefika.
Kawahi mabikra 72Kwahiyo Kamanda kazitapika hela za Ayatolah?
Hawawezi vita???Wapumbavu kweli wanaua hadi watoa misaada.
Israel hawajiamini, wanafanya hivyo kuogopeka na kuleta hofu, ni kwa sababu ya uoga na vita hawawezi.
Wapumbavu wale wanaovua nguo za kijeshi na kujifichwa kwa wanawake na watoto.Wapumbavu kweli wanaua hadi watoa misaada.
Israel hawajiamini, wanafanya hivyo kuogopeka na kuleta hofu, ni kwa sababu ya uoga na vita hawawezi.
unaijua israel au unaisikia? Lile ni taifa kubwa lina uwezo wa kusambaratisha mataifa yote ya kiarabu mashariki ya katiIsrael inakwenda ku collpse, fail state, tupo hapa.
Viongozi wengi tu wa US na EU wamepiga kelele, Israel ime feli, vita imemshinda, na sasa hivi anpoelekea ndiko kubaya zaidi.Only if US and UK wakiwa wame collapse kwanza but As Long as baba ake na kaka ake wapo hai sahau iyo kitu
Ukitoka kuswali kipigo kinaendelea mpaka mkome.Waliosema ni ndani ya masaa 48 ni CIA sio Iran, ngoja kwanza nika swali saa 7 imefika.
Hapana kawaishwa kuleeee kwenye bikra za kutoshaKwahiyo Kamanda kazitapika hela za Ayatolah?
Hizo nguvu za kuwakaza wote hao anazo au Allah atampa na Boxi la Viagra kama extra thawabu?Kawahi mabikra 72
Mbinu za kivita na uwezo ni mdogo, kama wanaziona hizo tunnels si washuke waende special forces mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba.Tunnels ziko chini ya Nyumba za raia kwahiyo Idiots wanafokiri raia wao wakiuwawa Dunia itapiga kelele hii strategy imesababisha Waarabu elfu arobaini kuuwawa ni u Idiot wa hali ya juu sana.
Bro Trump ni candidate Lakini Biden ni incharge mpaka sasa so mawazo ya Trump ni mawazo ya Raia na sio Office japo ni MTU mwenye nguvu ila Kwa Sasa hana mamrakaViongozi wengi tu wa US na EU wamepiga kelele, Israel ime feli, vita imemshinda, na sasa hivi anpoelekea ndiko kubaya zaidi.
View attachment 2957667
Hata kauli ya TRump hukusikia alichosema?
US ipo radhi kupambana kufa na kupona kuiokoa UK lakini sio Israel.
Hata US sasa hivi kutoa msaada kwenda Israel wanaona kama wana support mauaji ya halaiki, ugaidi na uvunjaji wa haki za kibinadamu.
Israel ni taifa lililofeli.