Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atazikuta comment.Mongolian Maghayo kapigwa ban ndio maana huoni akicomment humu.
Adui unampa fursa ya kuua watu wako hata kama ni mimi ningeichukua kwa mikono miwili kwasababu wewe kwenye Quruani unasema utawaua wote.Mbinu za kivita na uwezo ni mdogo, kama wanaziona hizo tunnels si washuke waende special forces mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba.
Israel hana lolote, anategemea air force, infrantry ni mlenda, ukiviona vile vitoto miaka 20 vinajipodoa visharobaro ku post tiktok, vingine marinda havina.Adui unampa fursa ya kuua watu wako hata kama ni mimi ningeichukua kwa mikono miwili kwasababu wewe kwenye Quruani unasema utawaua wote.
Eidha husomi Historia au Dini yako imekuziba macho IDF imeshawahi kuzichapa Nchi kadhaa za Kiarabu kwa mpigo katika Vita ya Infatry na Airforce.Israel hana lolote, anategemea air force, infrantry ni mlenda, ukiviona vile vitoto miaka 20 vinajipodoa visharobaro ku post tiktok, vingine marinda havina.
Ndio maana jeshi lao bovu.
We jamaa 😂🤣🤣Magaidi wa Israel wameua tena.Magaidi wamuua raia wa kawaida.
Miaka ya 60, mifano unayosema ni sawa na Japan iliyokuwa inatawala Asia lakini leo hii haina uwezo kupambana hata na North Korea ukitoa China.Eidha husomi Historia au Dini yako imekuziba macho IDF imeshawahi kuzichapa Nchi kadhaa za Kiarabu kwa mpigo katika Vita ya Infatry na Airforce.
Hivi masaa 48 ya iran hayajaisha tu mbona kisasi hakilipwi?Wadau hamjamboni nyote,
Kiongozi mwingine wa ngazi za juu wa kikundi cha ugaidi cha Hezbollah auawa na Jeshi la Israel Katika mji wa as-Sultaniyah huko Lebanon ya Kusini.
Ali Ahmed Hassin akiongoza kikosi maalumu cha askari wenye Weledi mkubwa almaarufu Radwan na aliuawa kwa shambulizi la ndege za Israel yeye pamoja na wasaidizi wake wawili.
Kazi ya kuwasaka magaidi wahusika wa mauaji ya Oktoba 7 yaliyopelekea vifo vya watu 1,200 Israel inaendelea
Kazi inaendelea
Mungu ibariki Israel
============
The IDF says it eliminated a senior field commander in Hezbollah’s elite Radwan force in an airstrike in southern Lebanon overnight.
Ali Ahmed Hassin, according to the IDF, held a rank equivalent to a brigade commander, and was charged with attacks on northern Israel’s Ramim Ridge, an area that has come under repeated rocket, missile, and drone attacks amid the war.
“As part of his role, he was responsible for the planning and execution of terror attacks in the Ramim Ridge area against the Israeli home front,” the IDF says.
Hassin was struck in the southern Lebanon town of as-Sultaniyah. According to the IDF, another two Hezbollah operatives under his command were killed in the strike.