Israel yamuua Kiongozi wa juu wa kikundi magaidi wa Hezbollah, Ali Ahmed Hassin

Mbinu za kivita na uwezo ni mdogo, kama wanaziona hizo tunnels si washuke waende special forces mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba.
Adui unampa fursa ya kuua watu wako hata kama ni mimi ningeichukua kwa mikono miwili kwasababu wewe kwenye Quruani unasema utawaua wote.
 
Adui unampa fursa ya kuua watu wako hata kama ni mimi ningeichukua kwa mikono miwili kwasababu wewe kwenye Quruani unasema utawaua wote.
Israel hana lolote, anategemea air force, infrantry ni mlenda, ukiviona vile vitoto miaka 20 vinajipodoa visharobaro ku post tiktok, vingine marinda havina.
Ndio maana jeshi lao bovu.
 
Israel hana lolote, anategemea air force, infrantry ni mlenda, ukiviona vile vitoto miaka 20 vinajipodoa visharobaro ku post tiktok, vingine marinda havina.
Ndio maana jeshi lao bovu.
Eidha husomi Historia au Dini yako imekuziba macho IDF imeshawahi kuzichapa Nchi kadhaa za Kiarabu kwa mpigo katika Vita ya Infatry na Airforce.
 
Eidha husomi Historia au Dini yako imekuziba macho IDF imeshawahi kuzichapa Nchi kadhaa za Kiarabu kwa mpigo katika Vita ya Infatry na Airforce.
Miaka ya 60, mifano unayosema ni sawa na Japan iliyokuwa inatawala Asia lakini leo hii haina uwezo kupambana hata na North Korea ukitoa China.
 
Hivi masaa 48 ya iran hayajaisha tu mbona kisasi hakilipwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…