Israel yamuua Salim Ayyash, wa Hisbollalieh aliyehukumiwa na Mahakama Kuu ya Lebanon kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani Rafik Hariri

Huyu hakuwa nabii wa Mungu ni nabii wa allah
 
Nani alikufa kikatili Kati ya watoto wa muhammad na yesu?..acha kuzunguka
 
Umehamia kwenye kubaka, kwenye sumu kumeshindikana siyo!?
 
Kwanza story ya sumu ni mashaka,pili hata kama ingekua kweli,mbona yule mfuasi wake aliyekula hiyo nyama yenye sumu alikufa siku hiyohiyo na mtume afe miaka mitano baadae!?..
 
Nchi zikajifunze Israel namna ya kudili na magaidi yaliyoshindikana kwengineko. Toka Hariri auwawe zaidi 81% humu jf humjazaliwa leo ndio muuwaji wake anauwawa? Tena na Israel ndani ya masaa machache tu! Dah!
Hebu tukumbushe hi story ya Hariri; binafsi siikumbuki kabisa pamoja na kua mfatiliaji wa karibu wa mambo ya middle east.
 
Kwanza story ya sumu ni mashaka,pili hata kama ingekua kweli,mbona yule mfuasi wake aliyekula hiyo nyama yenye sumu alikufa siku hiyohiyo na mtume afe miaka mitano baadae!?..
Narrated 'Aisha: The Prophet in his ailment in which he died, used to say, "O 'Aisha! I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison."—Sahih al-Bukhari 4428

Jipe moyo,aliyekula alikufa palepale,sumu miaka mitano!!?..
 
Jipe moyo,aliyekula alikufa palepale,sumu miaka mitano!!?..
Hahahaha 🤣 🤣 kama Mohammed alilalimika kuwa effects za sumu ya chakula cha khaybar kinamtesa we unapinga kama nani?
 
Kwanza story ya sumu ni mashaka,pili hata kama ingekua kweli,mbona yule mfuasi wake aliyekula hiyo nyama yenye sumu alikufa siku hiyohiyo na mtume afe miaka mitano baadae!?..
Mfuasi wake alikufa pale pale kwa sabab alimeza nyama ile na binti wa kiyahudi wale ndugu wa Ibn bishra wakamuua
 
Hahahaha 🤣 🤣 kama Mohammed alilalimika kuwa effects za sumu ya chakula cha khaybar kinamtesa we unapinga kama nani?
Yaani aliyeandika anasema Aisha alihadithia,aliyeandika hayo ni miaka 200 tangu mtume afariki,plus mtume hakuwa akienda vitani na WA awake wa kupika,hizo ni historia Kama za Uhuru na Nyerere,idd Amin na Kagera
 
Mfuasi wake alikufa pale pale kwa sabab alimeza nyama ile na binti wa kiyahudi wale ndugu wa Ibn bishra wakamuua
Mtume alikula au hakula,mbona hakufa papo hapo Kama huyo mfuasi?!..Kama hakula maana yake mtume alikua mtume kweli kwa majibu ya zaynab aliyeandaa hiyo sumu, maana alipohojiwa alisema ikiwa wewe ni mtume ungejua usingekula na mtume hakula Bali huyo mfuasi ndiye alikula na alikufa papo,Mimi siamini hizi story pamoja na kinachoitwa Hadith za mtume
 
Ni kama vile Trump atume vikosi vyake kuja kusaka watesi na watekaji wa watanzania.

Mayaudi yana akili sana aisee, yanapiga pale pale kwenye kidonda.
 
Israel imetenda haki kwa mamilioni ya raia wa Lebanon walioguswa na kifo cha Hariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…