Israel yamzuia Kardinali wa Kanisa Katoliki kufanya ibada katika Jumapili ya matawi huko Jerusalem. Wakatoliki walalamika

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Nchi mbalimbali zikiweo ufaransa, Italia, Vatican na wakatoliki wengine wamelaani kitendo Cha Serikali ya kizayuni kumzuia kadinali wa kanisa hilo kuongoza ibada ya waamini wa katoliki katika kanisa la kale huko Jerusalem hii Leo.

Katika taarifa zilizochapishwa na vyombo mbali mbali vya kimataifa imeonesha kiongozi huyo na waamini waliokua wamejiandaa kuelekea kanisani hapo wakikabiliana na kipigo kikali kutoka kwa askari polisi wa Israel.

Yair lapid kiongozi wa upinzani nchini Israel amepinga vikali hatuna hiyo huku Serikali ya Netanyahu ikieleza kuwa hatia hiyo ni katika kuhakikisha usalama wa watu hao.

N:B naungana na Netanyahu katika kuhakikisha usalama ila kitendo Cha kuwateremshia kipigo kikali waamini wenzangu pamoja na kiongozi baba askofu hii si sawa .

Screenshot_20260329-172117.jpg
 
Huwa tunasema hapa Kila siku. Unadhani wangekua ni wayahudi wangepigwa au kuzuiwa na skari kama walivofanyuwa Hawa wakristo wenzetu? Aione Echolima1
Mkuu hapa wamezuiwa kukusanyika dini zote wakiwemo wayahudi kutokana na hii vita.

Israel inawajibika katika ulinzi kwa raia wa dini zote hawawezi kuruhusu mikusqnyiko ya aina yoyote.

Hapo kwa Wafuga Midevu na Majini wamepata mwanya kueneza Propaganda uchwara zao lakini ukweli ndiyo huo waambie waache ujinga suala la ulinzi ni la serikali!!!

Wakipigwa bomu hapo na magaidi ya Iran serikali itawajibika kwa nini haikuzuia mikusanyiko wakati wanajua kuna vita?
 
Sasa ndio wawateremshia kipigo Cha mbwa mwizi viongozi wa dini na wakristo wenzetu? Italia ,ufaranda na Vatican wametoa tamko.
 
Echolima1 nasikia upo Jerusalem Leo umekula virungu vya kutosha kutoka kwa wateule wa mungu 🤣🤣
Lazima sheria ziheshimiwe!! Kama tu Wafuga midevu na majini hawakuruhusiwa kusogeza put hapo kwenye msikiti wa Al-Agsa wao ni kina nani waruhusiwe?

Waambie waache ujinga nchi iko vitani wastage umaarufu wa kijinga!!
 
Nchi mbalimbali zikiweo ufaransa, Italia, Vatican na wakatoliki wengine wamelaani kitendo Cha Serikali ya kizayuni kumzuia kadinali wa kanisa hilo kuongoza ibada ya waamini wa katoliki katika kanisa la kale huko Jerusalem hii Leo.
Katika taarifa zilizochapishwa na vyombo mbali mbali vya kimataifa imeonesha kiongozi huyo na waamini waliokua wamejiandaa kuelekea kanisani hapo wakikabiliana na kipigo kikali kutoka kwa askari polisi wa Israel. Yair lapid kiongozi wa upinzani nchini Israel amepinga vikali hatuna hiyo huku Serikali ya Netanyahu ikieleza kuwa hatia hiyo ni katika kuhakikisha usalama wa watu hao.

N:B naungana na Netanyahu katika kuhakikisha usalama ila kitendo Cha kuwateremshia kipigo kikali waamini wenzangu pamoja na kiongozi baba askofu hii si sawa .View attachment 3564167
jeremy corbyn aliwahi kusema hawa kina trump na right wing wanaojifanya wanawachukia waislamu siyo kwamba chuki yao ni kwa waislamu tu ila ni wamezaliwa wabaguzi ,hawampendi mtu yoyote tofauti na wao haya wakatoliki wa buza mmefikwa, endeleeni kushabikia taifa teule
 
Fact 😂
 
Israel wako sawa kabisa kuzuia mikusanyiko isiyo ya lazima kipindi hiki cha vita Safety First dini zote wamezuiwa leo wao wanataka sifa za kijinga za nini?
 
Sasa ndio wawateremshia kipigo Cha mbwa mwizi viongozi wa dini na wakristo wenzetu? Italia ,ufaranda na Vatican wametoa tamko.
Huku tanzania kuna wakristo basi wengi wao wanachuki tu na uislamu, kwao hata ukristo ukidhalilishwa ni sawa ,wao furaha yao kuona muislamu anateseka , sasa ukijiuliza muislamu au mpalestina akiuliwa yeye anafaidika na nini ? Hupati jibu
Dunia nzima inalaani na imeitenga israel kwa vitendo vyao vya kikatili na uvunjaji wa haki, ila wakristo wa buza haki inatajwa wakimuona mama samia tu ,ndio wanakumbuka neno haki ,ovyo kabisa
 
Habari ndogo tena inayohusu masuala ya usalama wa raia imekuzwa utadhani yametokea maafa.
 
Huku tanzania kuna wakristo basi wengi wao wanachuki tu na uislamu, kwao hata ukristo ukidhalilishwa ni sawa ,wao furaha yao kuona muislamu anateseka , sasa ukijiuliza muislamu au mpalestina akiuliwa yeye anafaidika na nini ? Hupati jibu
Dunia nzima inalaani na imeitenga israel kwa vitendo vyao vya kikatili na uvunjaji wa haki, ila wakristo wa buza haki inatajwa wakimuona mama samia tu ,ndio wanakumbuka neno haki ,ovyo kabisa
Acha ujinga unataka tuunge mkono mauaji ya Oct 07,2023? Acha ujinga wako.

Israel wako sawa kabisa kulala mbele na magaidi ukiua lazima na wewe wakuue tu hakuna kusingizia uislamu unachukiwa!!
 
Hawa ni wakristo wenzako ila tofauti yako na wao ni kwamba hawa wanafuata haki ila wewe unaongozwa na chuki, kaa jitafakari jiulize kati ya hawa na wewe nani anampendeza mungu?
 
Attachments

  • Screenshot_20260329_180126_Facebook.jpg
    Screenshot_20260329_180126_Facebook.jpg
    146.1 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260329_175601_Instagram.jpg
    Screenshot_20260329_175601_Instagram.jpg
    126.1 KB · Views: 27
Back
Top Bottom