Israel yamzuia Kardinali wa Kanisa Katoliki kufanya ibada katika Jumapili ya matawi huko Jerusalem. Wakatoliki walalamika

UKiacha chuki zako kwa waislamu unaweza ukawa na uwezo wa kuchanganua mambo na ukatumia ubongo wako zaidi ya hisia zako
Hapa trump kasema kilichomdukuma kwenye vita
Na huyo mwingine ni bilionea marekani rafiki mkubwa wa trump na israel, ndio ujue tofauti ya akili na hisia
Tatizo lenu waislamu mkiambiwa ukweli mnafikiri watu wanachuki na dini yenu hizo ni fikra pogo I sana.
 
HUyu ni senator wa marekani ambaye ni jew siyo mnyakyusa kama wewe ila anajua haki iko wapi, wewe punguza chuki haitokusaidia kitu zaidi ya kumchukiza mungu tu na kujiondokea baraka
 
Attachments

  • Screenshot_20260330_214325_Facebook.jpg
    Screenshot_20260330_214325_Facebook.jpg
    195.6 KB · Views: 17
HUyu ni senator wa marekani ambaye ni jew siyo mnyakyusa kama wewe ila anajua haki iko wapi, wewe punguza chuki haitokusaidia kitu zaidi ya kumchukiza mungu tu na kujiondokea baraka
Huyo seneta wako kashiba wewe unafata maneno yake una akili kweli?
 
Nchi mbalimbali zikiweo ufaransa, Italia, Vatican na wakatoliki wengine wamelaani kitendo Cha Serikali ya kizayuni kumzuia kadinali wa kanisa hilo kuongoza ibada ya waamini wa katoliki katika kanisa la kale huko Jerusalem hii Leo.
Katika taarifa zilizochapishwa na vyombo mbali mbali vya kimataifa imeonesha kiongozi huyo na waamini waliokua wamejiandaa kuelekea kanisani hapo wakikabiliana na kipigo kikali kutoka kwa askari polisi wa Israel. Yair lapid kiongozi wa upinzani nchini Israel amepinga vikali hatuna hiyo huku Serikali ya Netanyahu ikieleza kuwa hatia hiyo ni katika kuhakikisha usalama wa watu hao.

N:B naungana na Netanyahu katika kuhakikisha usalama ila kitendo Cha kuwateremshia kipigo kikali waamini wenzangu pamoja na kiongozi baba askofu hii si sawa .View attachment 3564167
Waisraeli ni watu wa hovyo hawaipendi dini ya katoliki kabisa
 
Huyo seneta wako kashiba wewe unafata maneno yake una akili kweli?
Haya kiko wapi ,unaona wenye akili wanataka kumtoa shetani kwenye uongozi , na kwa kifupi keshagundua hawezi kushinda hiyo vita na iran ni kupoteza muda, na hakutakiwa kumsikiliza yule shetani netanyahu
Haya ukiwa mjinga matokeo yake ndio haya
 
Attachments

  • Screenshot_20260331_071259_Instagram.jpg
    Screenshot_20260331_071259_Instagram.jpg
    192.2 KB · Views: 20
  • Screenshot_20260331_071225_Instagram.jpg
    Screenshot_20260331_071225_Instagram.jpg
    220.6 KB · Views: 15
Haya kiko wapi ,unaona wenye akili wanataka kumtoa shetani kwenye uongozi , na kwa kifupi keshagundua hawezi kushinda hiyo vita na iran ni kupoteza muda, na hakutakiwa kumsikiliza yule shetani netanyahu
Haya ukiwa mjinga matokeo yake ndio haya
Mpaka sasa wewe humjui Trump?

Toka vita hivi vianze umesikia Drama ngapi za Trump?

Wapi uliona amepoteza Focus zake?

Endeleeni kupumbazika na vi clip vyenu Uchwara tu.

Plan za Trump ziko palepale toka 1987!!!! Uzuri wa wazungu wao wana Long time plan siyo kama wewe Mmatumbi mwenzangu unayehadaika ovyo
 
Attachments

  • video5933904155906153825.mp4
    1.5 MB
Mpaka sasa wewe humjui Trump?

Toka vita hivi vianze umesikia Drama ngapi za Trump?

Wapi uliona amepoteza Focus zake?

Endeleeni kupumbazika na vi clip vyenu Uchwara tu.

Plan za Trump ziko palepale toka 1987!!!! Uzuri wa wazungu wao wana Long time plan siyo kama wewe Mmatumbi mwenzangu unayehadaika ovyo
Ni kweli ndio maana huwezi kunikuta nikifanya ushetani kama waliofanya kwenye epstein island.
huko kutukuza kwenu wazungu ndio kunafanyaga muonekane wajinga zaidi, sasa mtu anayelazimisha kuwa hupati msaada hadi muwape mashoga haki zao huyo pia unamuona ana akili, wao wanafaidika na nini mashoga wakiwa wengi duniani?
MArekani haijawahi kupata raisi mjinga kama huyu ,acha kuwa mjinga na kushabikia kila kitu anachofanya mzungu jitahidi kutumia akili yako siyo unashoboka kisa kafanya mzungu ,wapo wazungu wengi wajinga tu ,trump ni mmoja wapo na wewe pia unayesupport kila ujinga kisa mzungu ni ujinga tu
 
Waisraeli ni watu wa hovyo hawaipendi dini ya katoliki kabisa
Acha ujinga aliyekuambia hawapendi katoliki nani?

Baada ya vita na Iran kuanza ilitolewa amri kusiweko na makusanyiko ya watu zaidi ya 50 katika maeneo mbalimbali kwa hofu ya makombola kutoka Iran.

Hata waislamu kwenye mfungo wao hawakuruhusiwa kukusanyika kwenye msikiti wao wa Al agsa hata walipofungua hawakuruhusiwa na walitii amri za kipindi hiki cha vita.

Jumapili iliyopita cardinali alitaka kuvunja sheria hiyo kwa kwenda kusali na zaidi ya watu 50 alizuiwa!!

Baada ya hapo wafuga midevu na majini walizusha mambo mengi ya uongo aliitwa na uongozi wa Polisi na Waziri mkuu Netanyahu aliingilia suala hilo na aliruhusiwa kufanya ibada na watu 50 wanaotosha kwenye Bomb-Shelter iliyo karibu nao.

Cha kushangaza wewe Mmatumbi mwenzangu umenunua ugomvi usiokuhusu na hujui chanzo chake na kuanza kupayuka maneno ambayo hayana msingi kabisa!!
 
Attachments

  • IMG_20260330_131143_426.jpg
    IMG_20260330_131143_426.jpg
    196.4 KB · Views: 8
  • IMG_20260330_130219_901.jpg
    IMG_20260330_130219_901.jpg
    152.4 KB · Views: 14
Acha ujinga aliyekuambia hawapendi katoliki nani?

Baada ya vita na Iran kuanza ilitolewa amri kusiweko na makusanyiko ya watu zaidi ya 50 katika maeneo mbalimbali kwa hofu ya makombola kutoka Iran.

Hata waislamu kwenye mfungo wao hawakuruhusiwa kukusanyika kwenye msikiti wao wa Al agsa hata walipofungua hawakuruhusiwa na walitii amri za kipindi hiki cha vita.

Jumapili iliyopita cardinali alitaka kuvunja sheria hiyo kwa kwenda kusali na zaidi ya watu 50 alizuiwa!!

Baada ya hapo wafuga midevu na majini walizusha mambo mengi ya uongo aliitwa na uongozi wa Polisi na Waziri mkuu Netanyahu aliingilia suala hilo na aliruhusiwa kufanya ibada na watu 50 wanaotosha kwenye Bomb-Shelter iliyo karibu nao.

Cha kushangaza wewe Mmatumbi mwenzangu umenunua ugomvi usiokuhusu na hujui chanzo chake na kuanza kupayuka maneno ambayo hayana msingi kabisa!!
🤣🤣🤣 Kuna walokole halafu Kuna wewe

Waisrael wanamuita yesu mtoto wa zinaa unasemaje kuhusu Hilo !?
 
Ni kweli ndio maana huwezi kunikuta nikifanya ushetani kama waliofanya kwenye epstein island.
huko kutukuza kwenu wazungu ndio kunafanyaga muonekane wajinga zaidi, sasa mtu anayelazimisha kuwa hupati msaada hadi muwape mashoga haki zao huyo pia unamuona ana akili, wao wanafaidika na nini mashoga wakiwa wengi duniani?
MArekani haijawahi kupata raisi mjinga kama huyu ,acha kuwa mjinga na kushabikia kila kitu anachofanya mzungu jitahidi kutumia akili yako siyo unashoboka kisa kafanya mzungu ,wapo wazungu wengi wajinga tu ,trump ni mmoja wapo na wewe pia unayesupport kila ujinga kisa mzungu ni ujinga tu
Ujinga tu unakusumbua wewe una uhakika gani na hilo file la Epstein? Unashobokea tu bila kujua ukweli wake!!

Watu wanauwawa huko Congo,Sudan na jumapili iliyopita Nigeria wameuwawa watu 70 kanisani na magaidi wewe hapo sijakusikia ukisema hata neno!!!

Kwenye masuala ya waarabu wewe uko mstari wa mbele kujionyesha unapenda haki na unatetea haki. Kwako wewe waarabu na waajemi ndiyo watu sana kuzidi Wamatumbi wenzako? Au unaongozwa na mihemko ya kidini? Wakiuwawa wakristo au wayahudi wewe ni Alhandulahi si ndiyo? Acha kujikomba kwa waarabu hata kama ni muislamu fuata haki!!

Hizo siasa za chuki ulizopandikiziwa kutoka kwenye Madrasa hazikusaidii chochote wanadamu wote tunategemeana Acha wivu wa kipumbavu!!.
Kama ni ushoga wewe hapo lazima una ndugu ni shoga au mtaani kwako kuna mashoga wengi tu je hao wote wameletwa na wazungu? Je kuna mtu alilazimishwa kwa nguvu awe Shoga? Acha ujinga na chuki zako binafsi!!

Tembelea mikoa yote ya Pwani mpaka Zanziba mashoga wako huko kibao na hao unataka kutuaminisha waliletwa na wazungu? Acha ujinga na chuki zako za kipumbavu!!
 
🤣🤣🤣 Kuna walokole halafu Kuna wewe

Waisrael wanamuita yesu mtoto wa zinaa unasemaje kuhusu Hilo !?
Kila mtu ana Imani yake hata kama wangemwita mbwa hiyo ni imani yao!!
 
Ujinga tu unakusumbua wewe una uhakika gani na hilo file la Epstein? Unashobokea tu bila kujua ukweli wake!!

Watu wanauwawa huko Congo,Sudan na jumapili iliyopita Nigeria wameuwawa watu 70 kanisani na magaidi wewe hapo sijakusikia ukisema hata neno!!!

Kwenye masuala ya waarabu wewe uko mstari wa mbele kujionyesha unapenda haki na unatetea haki. Kwako wewe waarabu na waajemi ndiyo watu sana kuzidi Wamatumbi wenzako? Au unaongozwa na mihemko ya kidini? Wakiuwawa wakristo au wayahudi wewe ni Alhandulahi si ndiyo? Acha kujikomba kwa waarabu hata kama ni muislamu fuata haki!!

Hizo siasa za chuki ulizopandikiziwa kutoka kwenye Madrasa hazikusaidii chochote wanadamu wote tunategemeana Acha wivu wa kipumbavu!!.
Kama ni ushoga wewe hapo lazima una ndugu ni shoga au mtaani kwako kuna mashoga wengi tu je hao wote wameletwa na wazungu? Je kuna mtu alilazimishwa kwa nguvu awe Shoga? Acha ujinga na chuki zako binafsi!!

Tembelea mikoa yote ya panic mpaka Zanziba mashoga wako huko kibao na hao unataka kutuaminisha waliletwa na wazungu? Acha ujinga na chuki zako za kipumbavu!!
Kwanza lazima utofautishe civil wars na nchi moja kuvamia nchi nyingine ,hivyo ni vitu viwili tofauti
Africa tunasumbuliwa na civil wars yani watu wanagimbania resources kwa ulafi wao na wote hawa wanasapotiwa na mabeberu ili waibe rasilimali kirahisi
Huku marekani na israel wanachofanya ni kupora mali za nchi nyingine kwa nguvu huku wakiwa tayari kuuwa mamilioni ya watu, nfio maana siyo israel tu maandamano yamekuwa kila sehemu kuanzia uingereza hadi marekani wanannchi na viongozi wamefokea ,na hao wanaopinga wengi siyo waislamu kama akili yako inavyokudanganya
Jews hawajawahi kupenda wakristo na wanaamini mungu mmoja na yesu kwao siyo mungu, na hawali nguruwe kama wewe, ila wewe unawapenda kwa sababu tu wanawaua waarabu unaona ulivyo mjinga? Hakuna uhusiano wowote unaofanana katika mafundisho ya judaism na ukristo ila shobo zako na chuki zako ndio zinakutia upofu
 
So unawashobokeaje watu wanao mkashifu mungu wako !?
Ulivyo mjinga unanichukia mimi kwa sababu mimi si Muislamu!!

Ujinga huu ndiyo unaowatesa waarabu huko mashariki ya kati wanawachukia Wayahudi na kuwaua simply tu si waislamu!!
 
Sasa ndio wawateremshia kipigo Cha mbwa mwizi viongozi wa dini na wakristo wenzetu? Italia ,ufaranda na Vatican wametoa tamko.
Ninafikiri shehe wangu umeandika jambo hilo kwa muhemko baada ya Waislamu kula virungu na kupigwa mabomu ya machozi wakati wa Maulidi sijui idi last week.

Ni sawa, kwa sasa kuna vita sio vyema kukusanyika. Mbona ni hekima ndogo tu shehe wangu?
 
Ulivyo mjinga unanichukia mimi kwa sababu mimi si Muislamu!!

Ujinga huu ndiyo unaowatesa waarabu huko mashariki ya kati wanawachukia Wayahudi na kuwaua simply tu si waislamu!!
Mimi Sina dini Mzee na sijawahi kumchukia mtu anaye Amini katika hizo dini zenu Bali tu Huwa Nina waona ni wajinga Kwa kukarilishwa mambo ya kusadikika

Hadithi za sungura na Fisi Au kipepe na Madenge hazina tofauti na Hadith za yesu na Muhammad masimulizi yote hayo ni ya kutungwa tofauti iliyopo ni kwamba Hadith za sungura na Fisi na kipepe na Madenge hazijapewa uhusika wa kiimani na watu kuaminishwa kwamba Ni reality

Ni sawa na namna ambavyo Kuna baadhi ya watu Huamini uwepo wa samaki mtu (mermaid)

Na ukiwaambia watu hao kuwa hakuna samaki mtu watakubishia mpaka kesho ,
 
Kwanza lazima utofautishe civil wars na nchi moja kuvamia nchi nyingine ,hivyo ni vitu viwili tofauti
Africa tunasumbuliwa na civil wars yani watu wanagimbania resources kwa ulafi wao na wote hawa wanasapotiwa na mabeberu ili waibe rasilimali kirahisi
Kwa hiyo kwako wewe kuuwawa waafrika huko Congo,Sudan na Nigeria kwa ni sawa?

Huku marekani na israel wanachofanya ni kupora mali za nchi nyingine kwa nguvu huku wakiwa tayari kuuwa mamilioni ya watu,
Kwako wewe kilichofanyika Oct 07,2023 kilikuwa sawa?

Jews hawajawahi kupenda wakristo na wanaamini mungu mmoja na yesu kwao siyo mungu, na hawali nguruwe kama wewe, ila wewe unawapenda kwa sababu tu wanawaua waarabu unaona ulivyo mjinga?
Ulivyo mjinga na mpumbavu unaamini Waarabu wanawapenda sana Jews!!!

Hakuna uhusiano wowote unaofanana katika mafundisho ya judaism na ukristo ila shobo zako na chuki zako ndio zinakutia upofu
Hapa hatupo kulinganisha dini yangu na zingine!!

Wakristo sisi imani yetu imejengwa kwenye UPENDO tunaambiwa Mungu ni Pendo hapo ndipo waislamu tunawachanganya sana maana tunawapenda wanaotuchukia hata maadui zetu tumeambiwa tuwapende kinyume kabisa na dini yenu ya kiislamu mnayofundishwa CHUKI kwa watu wengine
Mmekuwa kila wakati mnapanda chuki kwa wakristo wawachukie wayahudi lakini nawaambia hamtafanikiwa maana uhusiano wetu na wayahudi ni wa kudumu!!
 
Back
Top Bottom