Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Rais apige simu asipige ni makosa kuvunja amri iliyotolewa hasa kipindi hiki cha vita.Habari ndogo kwa mujibu wa nani? Rais wa Israel amepinga simu kumuomba kadinali msamaha na wakristo kwa kitendo Cha kupigwa na askari wa Israel.
Kama waislamu na ukorofi wao walizuiwa kusali idd yao wao ni akina nani waruhusiwe?
Sheria ni msumeno hawawezi kuruhusu mpaka vita iishe. Hata pasaka hawatasali hapo kwisha habari yao!!