Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Iran anateremsha kipigo Kila baada ya nusu saa. Kuzuiwa kwangu naona ni sawa ila kuwapiga siapendezwa.Tatizo ni nini mpaka wazuiwe?
Mkuu hapa wamezuiwa kukusanyika dini zote wakiwemo wayahudi kutokana na hii vita.Huwa tunasema hapa Kila siku. Unadhani wangekua ni wayahudi wangepigwa au kuzuiwa na skari kama walivofanyuwa Hawa wakristo wenzetu? Aione Echolima1
Sasa ndio wawateremshia kipigo Cha mbwa mwizi viongozi wa dini na wakristo wenzetu? Italia ,ufaranda na Vatican wametoa tamko.Mkuu hapa wamezuiwa kukusanyika dini zote wakiwemo wayahudi kutokana na hii vita.
Israel inawajibika katika ulinzi kwa raia wa dini zote hawawezi kuruhusu mikusqnyiko ya aina yoyote.
Hapo kwa Wafuga Midevu na Majini wamepata mwanya kueneza Propaganda uchwara zao lakini ukweli ndiyo huo waambie waache ujinga suala la ulinzi ni la serikali!!!
Wakipigwa bomu hapo na magaidi ya Iran serikali itawajibika kwa nini haikuzuia mikusanyiko wakati wanajua kuna vita?
Lazima sheria ziheshimiwe!! Kama tu Wafuga midevu na majini hawakuruhusiwa kusogeza put hapo kwenye msikiti wa Al-Agsa wao ni kina nani waruhusiwe?Echolima1 nasikia upo Jerusalem Leo umekula virungu vya kutosha kutoka kwa wateule wa mungu 🤣🤣
jeremy corbyn aliwahi kusema hawa kina trump na right wing wanaojifanya wanawachukia waislamu siyo kwamba chuki yao ni kwa waislamu tu ila ni wamezaliwa wabaguzi ,hawampendi mtu yoyote tofauti na wao haya wakatoliki wa buza mmefikwa, endeleeni kushabikia taifa teuleNchi mbalimbali zikiweo ufaransa, Italia, Vatican na wakatoliki wengine wamelaani kitendo Cha Serikali ya kizayuni kumzuia kadinali wa kanisa hilo kuongoza ibada ya waamini wa katoliki katika kanisa la kale huko Jerusalem hii Leo.
Katika taarifa zilizochapishwa na vyombo mbali mbali vya kimataifa imeonesha kiongozi huyo na waamini waliokua wamejiandaa kuelekea kanisani hapo wakikabiliana na kipigo kikali kutoka kwa askari polisi wa Israel. Yair lapid kiongozi wa upinzani nchini Israel amepinga vikali hatuna hiyo huku Serikali ya Netanyahu ikieleza kuwa hatia hiyo ni katika kuhakikisha usalama wa watu hao.
N:B naungana na Netanyahu katika kuhakikisha usalama ila kitendo Cha kuwateremshia kipigo kikali waamini wenzangu pamoja na kiongozi baba askofu hii si sawa .View attachment 3564167
Fact 😂jeremy corbyn aliwahi kusema hawa kina trump na right wing wanaojifanya wanawachukia waislamu siyo kwamba chuki yao ni kwa waislamu tu ila ni wamezaliwa wabaguzi ,hawampendi mtu yoyote tofauti na wao haya wakatoliki wa buza mmefikwa, endeleeni kushabikia taifa teule
Israel wako sawa kabisa kuzuia mikusanyiko isiyo ya lazima kipindi hiki cha vita Safety First dini zote wamezuiwa leo wao wanataka sifa za kijinga za nini?jeremy corbyn aliwahi kusema hawa kina trump na right wing wanaojifanya wanawachukia waislamu siyo kwamba chuki yao ni kwa waislamu tu ila ni wamezaliwa wabaguzi ,hawampendi mtu yoyote tofauti na wao haya wakatoliki wa buza mmefikwa, endeleeni kushabikia taifa teule
Huku tanzania kuna wakristo basi wengi wao wanachuki tu na uislamu, kwao hata ukristo ukidhalilishwa ni sawa ,wao furaha yao kuona muislamu anateseka , sasa ukijiuliza muislamu au mpalestina akiuliwa yeye anafaidika na nini ? Hupati jibuSasa ndio wawateremshia kipigo Cha mbwa mwizi viongozi wa dini na wakristo wenzetu? Italia ,ufaranda na Vatican wametoa tamko.
Acha ujinga unataka tuunge mkono mauaji ya Oct 07,2023? Acha ujinga wako.Huku tanzania kuna wakristo basi wengi wao wanachuki tu na uislamu, kwao hata ukristo ukidhalilishwa ni sawa ,wao furaha yao kuona muislamu anateseka , sasa ukijiuliza muislamu au mpalestina akiuliwa yeye anafaidika na nini ? Hupati jibu
Dunia nzima inalaani na imeitenga israel kwa vitendo vyao vya kikatili na uvunjaji wa haki, ila wakristo wa buza haki inatajwa wakimuona mama samia tu ,ndio wanakumbuka neno haki ,ovyo kabisa
Habari ndogo kwa mujibu wa nani? Rais wa Israel amepinga simu kumuomba kadinali msamaha na wakristo kwa kitendo Cha kupigwa na askari wa Israel.Habari ndogo tena inayohusu masuala ya usalama wa raia imekuzwa utadhani yametokea maafa.
Hawa ni wakristo wenzako ila tofauti yako na wao ni kwamba hawa wanafuata haki ila wewe unaongozwa na chuki, kaa jitafakari jiulize kati ya hawa na wewe nani anampendeza mungu?Acha ujinga unataka tuunge mkono mauaji ya Oct 07,2023? Acha ujinga wako.
Israel wako sawa kabisa kulala mbele na magaidi ukiua lazima na wewe wakuue tu hakuna kusingizia uislamu unachukiwa!!