Israel yamzuia Kardinali wa Kanisa Katoliki kufanya ibada katika Jumapili ya matawi huko Jerusalem. Wakatoliki walalamika

Habari ndogo kwa mujibu wa nani? Rais wa Israel amepinga simu kumuomba kadinali msamaha na wakristo kwa kitendo Cha kupigwa na askari wa Israel.
Rais apige simu asipige ni makosa kuvunja amri iliyotolewa hasa kipindi hiki cha vita.

Kama waislamu na ukorofi wao walizuiwa kusali idd yao wao ni akina nani waruhusiwe?

Sheria ni msumeno hawawezi kuruhusu mpaka vita iishe. Hata pasaka hawatasali hapo kwisha habari yao!!
 
Wanapanga namna ya kuwa ruhusu kipindi hiki Cha pasaka baada ya wakatoliki duniani kuonesha kuchukizwa na tabia hiyo.
 
Katika mafundisho ya dini ya kikiristo amri kuu ni upendo, mpende jirani yako, mpende adui yako. Hakuna mkiristo anayeweza kumchukia mwislamu huo ni mtazamo wako binafsi.
 
Ilitakiwa avunjwe miguu yote shenzi huyo.
 
Wakatoliki eamecharuka. Israel inasema itaweka utaratibu wiki hii ya pasaka waweze kufanya ibada. 😂😂 Echolima1 upo?View attachment 3564217
Hakuna kitu kama hicho kuna sheria kukusanyika kipindi hiki cha vita

Zaidi ya watu 50 hairuhusiwi na ni lazima kuwa na Basement za kutosha watu hao!!!

Huyo aliyeamdika hapo naye anajifariji tu!!
 
Hakuna kitu kama hicho kuna sheria kukusanyika kipindi hiki cha vita

Zaidi ya watu 50 hairuhusiwi na ni lazima kuwa na Basement za kutosha watu hao!!!

Huyo aliyeamdika hapo naye anajifariji tu!!
Wewe umeletewa tu hii dini Hawa wanaoongea ndio wamekuletea kwahiyo huna unalojua.
 
Sasa wanalalamika nini.
 
We jamaa acha ufa.. kufuga ndevu hakuna dini, mbona wayahudi kibao huku mwakaleli tunafuga ndevu! maana hata yesu alifuga ndevu na hakuna andiko linalokataza kufuga ndevu.
 
Sasa ndio wawateremshia kipigo Cha mbwa mwizi viongozi wa dini na wakristo wenzetu? Italia ,ufaranda na Vatican wametoa tamko.
Huko watakuwa wanajipa moyo tu na kujifariji.
Huwezi ruhusu kuvunja sheria za usalama kipindi cha vita kwa kisingizio chochote kile!! Hili wanalijua na walitangaziwa wazi.
 
We jamaa acha ufa.. kufuga ndevu hakuna dini, mbona wayahudi kibao huku mwakaleli tunafuga ndevu! maana hata yesu alifuga ndevu na hakuna andiko linalokataza kufuga ndevu.
Ufala unao wewe unayebwabwaja ovyo ovyo bila kujua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…