Israel yamzuia Kardinali wa Kanisa Katoliki kufanya ibada katika Jumapili ya matawi huko Jerusalem. Wakatoliki walalamika

Lazima sheria ziheshimiwe!! Kama tu Wafuga midevu na majini hawakuruhusiwa kusogeza put hapo kwenye msikiti wa Al-Agsa wao ni kina nani waruhusiwe?

Waambie waache ujinga nchi iko vitani wastage umaarufu wa kijinga!!
🤣🤣😀 Kaka lazima sheria ziheshimiwe Tena !? Kumbe sheria za binaadamu Zina nguvu kubwa kuliko sheria za Mungu !? Hizi dini zenu hizi inahitaji uwe mwehu kuziamini
 
Lazima sheria ziheshimiwe!! Kama tu Wafuga midevu na majini hawakuruhusiwa kusogeza put hapo kwenye msikiti wa Al-Agsa wao ni kina nani waruhusiwe?

Waambie waache ujinga nchi iko vitani wastage umaarufu wa kijinga!!
😀😀 Siwanataka kumuomba mungu ili Asimamishe vita au mungu wenu hajibu maombi !?

Mungu ni utapeli
 
😂😂😂😂 Wame mtandika sana sijui kama kesho ataamka. Amepiwa katika ardhi takatifu na wateule😂
Dahh 🤣

Na Mungu yupo tu anaona !? 🤣🤣

Israel Huwa wananiuzi sana Kwa uongo uongo wao na Ubinafsi walionao ila hapo kwenye kuwabonda wakristo na waislam wana nifurahishaga sana 😄

Kwa tafsiri nyingine kama una Akili timamu unatambua kabisa kwamba Israel wanavyo wabonda watu wa hizo Dini wanajaribu kutuma ujumbe kwamba watu Hawa ni waongo Dini zao zenyewe mafundisho wame copy kwetu 🤣
 
So macron awe na habari zisizo na uhakika ila ww mlokole wa bonyokwa una habari za uhakika 😀
 
Kila ukijipendekeza lakini hampendwi,Tabaka la chini hadi mate mnatemewa mnaonekana takataka bombay
 

Attachments

  • Screenshot_20260330_142643_Chrome.jpg
    180.9 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260330_142651_Chrome.jpg
    172.7 KB · Views: 15
Unajipendekeza Lkn hampendwi tabaka la chini hadi mate mnatemewa..hahaha
Wakristo hawana haja kujipendekeza kwa yeyote!!

Wakristo tumefundishwa UPENDO kwa watu wote!!

Ninyi Wafuga Midevu na Majini mmefundishwa kuwa na chuki kwa watu wasio wa dini yenu na ndiyo maana mna chuki kubwa na wayahudi na Wakristo na ndiyo maana Wakristo mnawaua sana huko Nigerian na sehemu zingine.

Kwa hiyo mnashangaa sana wakristo wanapoendelea kuwapenda hata adui zao na kuwafanya ninyi Wafuga Midevu na Majini kubwabwaja kuwa tunajipendekeza!!

Furaha yenu Wafuga Midevu na Majini ni wakristo wawachukie wayahudi Kama mnavyowachukia ninyi.

Kwa taarifa yako tu wakristo hawaendeshwi na ujinga wenu wa kuchukia watu wengine kwa sababu tu si dini yenu!!
 
Hata msemeje, ni maelekezo ya Mungu kumpenda MYAHUDI na tutaendelea kumlinda na kumpenda tuu
 
😂😂😂😂 Wame mtandika sana sijui kama kesho ataamka. Amepiwa katika ardhi takatifu na wateule😂
Dahh 🤣

Na Mungu yupo tu anaona !? 🤣🤣

Israel Huwa wananiuzi sana Kwa uongo uongo wao na Ubinafsi walionao ila hapo kwenye kuwabonda wakristo na waislam wana nifurahishaga sana 😄

Kwa tafsiri nyingine kama una Akili timamu unatambua kabisa kwamba Israel wanavyo wabonda watu wa hizo Dini wanajaribu kutuma ujumbe kwamba watu Hawa ni waongo Dini zao zenyewe mafundisho wame copy kwetu 🤣
So macron awe na habari zisizo ila ww mlokole wa bonyokwa una habari za uhakika 😀
🤣
 
Hakuna kitu kama hicho kuna sheria kukusanyika kipindi hiki cha vita

Zaidi ya watu 50 hairuhusiwi na ni lazima kuwa na Basement za kutosha watu hao!!!

Huyo aliyeamdika hapo naye anajifariji tu!!
Mbona kuna maandamano ya kupinga Serikali ya Netanyahu.Tena maandamano ya maelfu ya wayahudi unaleta porojo za watu 50!
 
Huwa tunasema hapa Kila siku. Unadhani wangekua ni wayahudi wangepigwa au kuzuiwa na skari kama walivofanyuwa Hawa wakristo wenzetu? Aione Echolima1
Hawa ni wakristo wenzako ila tofauti yako na wao ni kwamba hawa wanafuata haki ila wewe unaongozwa na chuki, kaa jitafakari jiulize kati ya hawa na wewe nani anampendeza mungu?
Huwezi kujidanganya wewe Mkristo wakati unaunga mkono magaidi Spain wanaunga mkono magaidi na wa awasaidie kwa Hali na Mali.

Israel haijawahi kuchokoza nchi yoyote Bali ikichokozwa daima huchukua hatua Kali kwa wachokozi ndipo wachokozi huwa daima wanailaumu Israel kwa hatua Kali ilizowachukulia!!

Mfano mzuri Oct 07,2023 magaidi wa Hamas walivamia Israel na kuua watu zaidi ya 1,200 na kuteka nyara watu 251 Israel ilipojibu uvamizi huo watetezi wa Magaidi wanalalamika na kujifanya wao wahanga!!

Mfano wa Pili Iran I awasaidie magaidi wa Hamas,Hezbollah,Houth na Islamic Jihad kufanya ugaidi nchini Israel wanapochukuliwa hatua Kali na Israel watu wanalalamika na kuilaumu Israel.
 
Watu wengi wanakurupuka tu kuhusu suala la huyu Padri kuzuiwa kukusanyika kwenye hilo Kanisa ni kwa sababu za ki Usalama tu lakini Wafuga Midevu na Majini wamelileta ki siasa ili kuonyesha chuki zao kwa Wayahudi

View: https://x.com/offthepress1/status/2038648197665411491?s=61
 
Sasa ndio wawateremshia kipigo Cha mbwa mwizi viongozi wa dini na wakristo wenzetu? Italia ,ufaranda na Vatican wametoa tamko.
Kama wanaleta vurugu na kulazimisha ulitaka Polisi wafanye nini? Kama wakristo wa kweli wangetii amri bila shurubu!!
 
Mnaingia kwenye ibada wakati misail za Iran zipo hewani na hazichagui pa kupiga!

Kupigwa virungu vya ugoko, hakulingani na kuuawa kwa kusambaratishwa na bomu.

Au wamesahau nchi yao 'imeluleta' na wapo vitani?

Acha wapigwe tu, maana hakuna namna nyingine.
 
UKiacha chuki zako kwa waislamu unaweza ukawa na uwezo wa kuchanganua mambo na ukatumia ubongo wako zaidi ya hisia zako
Hapa trump kasema kilichomdukuma kwenye vita
Na huyo mwingine ni bilionea marekani rafiki mkubwa wa trump na israel, ndio ujue tofauti ya akili na hisia
 

Attachments

  • Screenshot_20260330_104716_Instagram.jpg
    247.5 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260329_204306_Instagram.jpg
    228 KB · Views: 17
So macron awe na habari zisizo ila ww mlokole wa bonyokwa una habari za uhakika 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…