Tatizo lenu waislamu mkiambiwa ukweli mnafikiri watu wanachuki na dini yenu hizo ni fikra pogo I sana.UKiacha chuki zako kwa waislamu unaweza ukawa na uwezo wa kuchanganua mambo na ukatumia ubongo wako zaidi ya hisia zako
Hapa trump kasema kilichomdukuma kwenye vita
Na huyo mwingine ni bilionea marekani rafiki mkubwa wa trump na israel, ndio ujue tofauti ya akili na hisia
Did you say anything about the 30 Christians who were slaughtered in Nigeria on Palm Sunday?So macron awe na habari zisizo ila ww mlokole wa bonyokwa una habari za uhakika 😀
HUyu ni senator wa marekani ambaye ni jew siyo mnyakyusa kama wewe ila anajua haki iko wapi, wewe punguza chuki haitokusaidia kitu zaidi ya kumchukiza mungu tu na kujiondokea barakaTatizo lenu waislamu mkiambiwa ukweli mnafikiri watu wanachuki na dini yenu hizo ni fikra pogo I sana.
Huyo seneta wako kashiba wewe unafata maneno yake una akili kweli?HUyu ni senator wa marekani ambaye ni jew siyo mnyakyusa kama wewe ila anajua haki iko wapi, wewe punguza chuki haitokusaidia kitu zaidi ya kumchukiza mungu tu na kujiondokea baraka
Waisraeli ni watu wa hovyo hawaipendi dini ya katoliki kabisaNchi mbalimbali zikiweo ufaransa, Italia, Vatican na wakatoliki wengine wamelaani kitendo Cha Serikali ya kizayuni kumzuia kadinali wa kanisa hilo kuongoza ibada ya waamini wa katoliki katika kanisa la kale huko Jerusalem hii Leo.
Katika taarifa zilizochapishwa na vyombo mbali mbali vya kimataifa imeonesha kiongozi huyo na waamini waliokua wamejiandaa kuelekea kanisani hapo wakikabiliana na kipigo kikali kutoka kwa askari polisi wa Israel. Yair lapid kiongozi wa upinzani nchini Israel amepinga vikali hatuna hiyo huku Serikali ya Netanyahu ikieleza kuwa hatia hiyo ni katika kuhakikisha usalama wa watu hao.
N:B naungana na Netanyahu katika kuhakikisha usalama ila kitendo Cha kuwateremshia kipigo kikali waamini wenzangu pamoja na kiongozi baba askofu hii si sawa .View attachment 3564167
Netanyahu ana wasiwasi kuwa labda maadui zake wataweza kuingia na huyo Kardinali na kumdhuru au kufanya malipuziTatizo ni nini mpaka wazuiwe?
Haya kiko wapi ,unaona wenye akili wanataka kumtoa shetani kwenye uongozi , na kwa kifupi keshagundua hawezi kushinda hiyo vita na iran ni kupoteza muda, na hakutakiwa kumsikiliza yule shetani netanyahuHuyo seneta wako kashiba wewe unafata maneno yake una akili kweli?
Mpaka sasa wewe humjui Trump?Haya kiko wapi ,unaona wenye akili wanataka kumtoa shetani kwenye uongozi , na kwa kifupi keshagundua hawezi kushinda hiyo vita na iran ni kupoteza muda, na hakutakiwa kumsikiliza yule shetani netanyahu
Haya ukiwa mjinga matokeo yake ndio haya
Ni kweli ndio maana huwezi kunikuta nikifanya ushetani kama waliofanya kwenye epstein island.Mpaka sasa wewe humjui Trump?
Toka vita hivi vianze umesikia Drama ngapi za Trump?
Wapi uliona amepoteza Focus zake?
Endeleeni kupumbazika na vi clip vyenu Uchwara tu.
Plan za Trump ziko palepale toka 1987!!!! Uzuri wa wazungu wao wana Long time plan siyo kama wewe Mmatumbi mwenzangu unayehadaika ovyo
Acha ujinga aliyekuambia hawapendi katoliki nani?Waisraeli ni watu wa hovyo hawaipendi dini ya katoliki kabisa
🤣🤣🤣 Kuna walokole halafu Kuna weweAcha ujinga aliyekuambia hawapendi katoliki nani?
Baada ya vita na Iran kuanza ilitolewa amri kusiweko na makusanyiko ya watu zaidi ya 50 katika maeneo mbalimbali kwa hofu ya makombola kutoka Iran.
Hata waislamu kwenye mfungo wao hawakuruhusiwa kukusanyika kwenye msikiti wao wa Al agsa hata walipofungua hawakuruhusiwa na walitii amri za kipindi hiki cha vita.
Jumapili iliyopita cardinali alitaka kuvunja sheria hiyo kwa kwenda kusali na zaidi ya watu 50 alizuiwa!!
Baada ya hapo wafuga midevu na majini walizusha mambo mengi ya uongo aliitwa na uongozi wa Polisi na Waziri mkuu Netanyahu aliingilia suala hilo na aliruhusiwa kufanya ibada na watu 50 wanaotosha kwenye Bomb-Shelter iliyo karibu nao.
Cha kushangaza wewe Mmatumbi mwenzangu umenunua ugomvi usiokuhusu na hujui chanzo chake na kuanza kupayuka maneno ambayo hayana msingi kabisa!!
Ujinga tu unakusumbua wewe una uhakika gani na hilo file la Epstein? Unashobokea tu bila kujua ukweli wake!!Ni kweli ndio maana huwezi kunikuta nikifanya ushetani kama waliofanya kwenye epstein island.
huko kutukuza kwenu wazungu ndio kunafanyaga muonekane wajinga zaidi, sasa mtu anayelazimisha kuwa hupati msaada hadi muwape mashoga haki zao huyo pia unamuona ana akili, wao wanafaidika na nini mashoga wakiwa wengi duniani?
MArekani haijawahi kupata raisi mjinga kama huyu ,acha kuwa mjinga na kushabikia kila kitu anachofanya mzungu jitahidi kutumia akili yako siyo unashoboka kisa kafanya mzungu ,wapo wazungu wengi wajinga tu ,trump ni mmoja wapo na wewe pia unayesupport kila ujinga kisa mzungu ni ujinga tu
Kila mtu ana Imani yake hata kama wangemwita mbwa hiyo ni imani yao!!🤣🤣🤣 Kuna walokole halafu Kuna wewe
Waisrael wanamuita yesu mtoto wa zinaa unasemaje kuhusu Hilo !?
So unawashobokeaje watu wanao mkashifu mungu wako !?Kila mtu ana Imani yake hata kama wangemwita mbwa hiyo ni imani yao!!
Kwanza lazima utofautishe civil wars na nchi moja kuvamia nchi nyingine ,hivyo ni vitu viwili tofautiUjinga tu unakusumbua wewe una uhakika gani na hilo file la Epstein? Unashobokea tu bila kujua ukweli wake!!
Watu wanauwawa huko Congo,Sudan na jumapili iliyopita Nigeria wameuwawa watu 70 kanisani na magaidi wewe hapo sijakusikia ukisema hata neno!!!
Kwenye masuala ya waarabu wewe uko mstari wa mbele kujionyesha unapenda haki na unatetea haki. Kwako wewe waarabu na waajemi ndiyo watu sana kuzidi Wamatumbi wenzako? Au unaongozwa na mihemko ya kidini? Wakiuwawa wakristo au wayahudi wewe ni Alhandulahi si ndiyo? Acha kujikomba kwa waarabu hata kama ni muislamu fuata haki!!
Hizo siasa za chuki ulizopandikiziwa kutoka kwenye Madrasa hazikusaidii chochote wanadamu wote tunategemeana Acha wivu wa kipumbavu!!.
Kama ni ushoga wewe hapo lazima una ndugu ni shoga au mtaani kwako kuna mashoga wengi tu je hao wote wameletwa na wazungu? Je kuna mtu alilazimishwa kwa nguvu awe Shoga? Acha ujinga na chuki zako binafsi!!
Tembelea mikoa yote ya panic mpaka Zanziba mashoga wako huko kibao na hao unataka kutuaminisha waliletwa na wazungu? Acha ujinga na chuki zako za kipumbavu!!
Ulivyo mjinga unanichukia mimi kwa sababu mimi si Muislamu!!So unawashobokeaje watu wanao mkashifu mungu wako !?
Ninafikiri shehe wangu umeandika jambo hilo kwa muhemko baada ya Waislamu kula virungu na kupigwa mabomu ya machozi wakati wa Maulidi sijui idi last week.Sasa ndio wawateremshia kipigo Cha mbwa mwizi viongozi wa dini na wakristo wenzetu? Italia ,ufaranda na Vatican wametoa tamko.
Mimi Sina dini Mzee na sijawahi kumchukia mtu anaye Amini katika hizo dini zenu Bali tu Huwa Nina waona ni wajinga Kwa kukarilishwa mambo ya kusadikikaUlivyo mjinga unanichukia mimi kwa sababu mimi si Muislamu!!
Ujinga huu ndiyo unaowatesa waarabu huko mashariki ya kati wanawachukia Wayahudi na kuwaua simply tu si waislamu!!
Kwa hiyo kwako wewe kuuwawa waafrika huko Congo,Sudan na Nigeria kwa ni sawa?Kwanza lazima utofautishe civil wars na nchi moja kuvamia nchi nyingine ,hivyo ni vitu viwili tofauti
Africa tunasumbuliwa na civil wars yani watu wanagimbania resources kwa ulafi wao na wote hawa wanasapotiwa na mabeberu ili waibe rasilimali kirahisi
Kwako wewe kilichofanyika Oct 07,2023 kilikuwa sawa?Huku marekani na israel wanachofanya ni kupora mali za nchi nyingine kwa nguvu huku wakiwa tayari kuuwa mamilioni ya watu,
Ulivyo mjinga na mpumbavu unaamini Waarabu wanawapenda sana Jews!!!Jews hawajawahi kupenda wakristo na wanaamini mungu mmoja na yesu kwao siyo mungu, na hawali nguruwe kama wewe, ila wewe unawapenda kwa sababu tu wanawaua waarabu unaona ulivyo mjinga?
Hapa hatupo kulinganisha dini yangu na zingine!!Hakuna uhusiano wowote unaofanana katika mafundisho ya judaism na ukristo ila shobo zako na chuki zako ndio zinakutia upofu