Wewe ni mdini sana na ndiyo maana anayewaunga mkono wayahudi wewe unamuona kama adui na hana akili. Unaona tu wengine wamekaririshwa ila wewe huoni kundu lako!!Mimi Sina dini Mzee na sijawahi kumchukia mtu anaye Amini katika hizo dini zenu Bali tu Huwa Nina waona ni wajinga Kwa kukarilishwa mambo ya kusadikika
Nimekuambia nyani haoni kundule. Kila mtu na Imani yake usihukumu watu kwa imani yakoHadithi za sungura na Fisi Au kipepe na Madenge hazina tofauti na Hadith za yesu na Muhammad masimulizi yote hayo ni ya kutungwa tofauti iliyopo ni kwamba Hadith za sungura na Fisi na kipepe na Madenge hazijapewa uhusika wa kiimani na watu kuaminishwa kwamba Ni reality
Mimi Sina Imani 🤣Nimekuambia nyani haoni kundule. Kila mtu na Imani yake usihukumu watu kwa imani yako
Huoupagani wako ndiyo imani yako!!Mimi Sina Imani 🤣
Wewe hujielewi, waafrika wanauana wenyewe kwa wenyewe ,huku mabeberu wanavamia nchi za watu kuiba mali, wameanza ,libya ,venenzuela, now trump anasema atanda kuipora cuba ambapo 100% ni wakristo ila kwako utafurahia tu kwasabu aliyefanya unampenda kwa ushetani wakeKwa hiyo kwako wewe kuuwawa waafrika huko Congo,Sudan na Nigeria kwa ni sawa?
Kwako wewe kilichofanyika Oct 07,2023 kilikuwa sawa?
Ulivyo mjinga na mpumbavu unaamini Waarabu wanawapenda sana Jews!!!
Hapa hatupo kulinganisha dini yangu na zingine!!
Wakristo sisi imani yetu imejengwa kwenye UPENDO tunaambiwa Mungu ni Pendo hapo ndipo waislamu tunawachanganya sana maana tunawapenda wanaotuchukia hata maadui zetu tumeambiwa tuwapende kinyume kabisa na dini yenu ya kiislamu mnayofundishwa CHUKI kwa watu wengine
Mmekuwa kila wakati mnapanda chuki kwa wakristo wawachukie wayahudi lakini nawaambia hamtafanikiwa maana uhusiano wetu na wayahudi ni wa kudumu!!
Kwa kuwa hujitambui huoni Rwanda inavyofanya huko DRC umeona tu ya waarabu huko Libya!!Wewe hujielewi, waafrika wanauana wenyewe kwa wenyewe ,huku mabeberu wanavamia nchi za watu kuiba mali,
Na ulivyo mjinga umejivika u-Sheikh Yahya na kuanza kubashiri kama mganga wa jadi kuonyesha wazi chuki zako!!!now trump anasema atanda kuipora cuba ambapo 100% ni wakristo ila kwako utafurahia tu kwasabu aliyefanya unampenda kwa ushetani wake
Kwa wewe kusema hivyo unataka na sisi kutupandikizia chuki zako dhidi wayahudi?Pili hujakatazwa kushabikia wayahudi ila nakukumbusha tu hawa ndio waliomuua mungu wako na ni kosa la jinai israel kuita yesu mungu
Harafu anatokea Bumunda anasema Israel haiwapendi wakristo!!Huwa tunasema hapa Kila siku. Unadhani wangekua ni wayahudi wangepigwa au kuzuiwa na skari kama walivofanyuwa Hawa wakristo wenzetu? Aione Echolima1
Ingekua inawapenda juzi askofu asingepigwa virungu na polisi wa Israel mpaka sasa hawezi kutembea.Harafu anatokea Bumunda anasema Israel haiwapendi wakristo!!
View: https://x.com/eyakoby/status/2038761124531736729?s=61