Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Baada ya Israel kuuzingira mji wa kusini wa Rafah na kuudhibiti ukanda wa Philadephi unaotenganisha na Misri ilitarajiwa kama walivyojitapa Israel ingekuwa ndio mwisho wa nguvu za Hamas.
Maelezo yaliyokuwa yakitolea na Israel ni kwamba Hamas wana mahandaki wanayotumia kuingiza silaha Gaza.
Fikra hiyo imethibitika kuwa si kweli na kuupa nguvu ule utafiti uliofanywa na vyombo vya habari vikubwa vya Marekani kuwa sehemu kubwa ya silaha wanazotumia Hamas ama ni kubadili matumizi silaha zinazoshindwa kuripuka na zile wanazozikwapua kutoka kwa askari majeruhi au maiti wa IDF na pia zile zinazopenyezwa kwa Hamas moja kwa moja kutoka vikosi vya Israel
Utafiti huo unazidi kupata nguvu kwani katika wiki hii askari wengi wa Israel wamekuwa wakiuliwa vikosi vizima vizima kusini na kaskazini ya jimbo hilo la Gaza.
Tangu juzi kundi la Qassam limekuwa likitangaza kwa mfululizo kuangamiza vikosi vya Israel kwa kupiga magari yao au kuwategeshea kuingia kwenye majengo ambayo baadae huripuliwa na Hamas kutokea mbali.