Israel yapigwa vibaya ndani ya Gaza. Wapi Hamas wanapata silaha? Inashangaza

We usiniletee porojo za sunni na Shia hapa, mimi nakujibu Quran inavyo sema, kwani Mungu alipo mbadilisha Yesu lazima aje chini ambadilishe nyie mnaona.Si huyo Simon ndio wakamfanya awe Yesu hio haitwi badilisha, badala wamuwe flani wakamuwa Mwingine haha we kicha kweli


Punda gani amekuambia Glorify ni Sarat wewe ni kiziwi wa akili au? Glorify ni kusifia sio Sarat acha ujinga

Maana ya Glorify tazama dictionary we dogo ni ku praise au ku worship (God).


Sometimes mnaposema Mtume wenu alimsilimisha Iblis akawa Muislam huwa nahisi nyie humu haswa watu wa Dawa ni watoto wa Iblis wakitetea uongo wa Iblis na Allah... si mna Chapter ya Majini kwenye Quran kama sikosei na aya za Shetani pia zimejaa.
Wapi Mtume alimsalimisha iblis we wacha uzushi huna lolote zaidi ya kuleta fake story tu.



Haha we kweli kichaa na hizi Surah zinasema Salaa ngapi

Surah 50 Qaf Ayat 39 says, ‘Therefore, O Prophet (SAWS), bear with patience whatever they say, and keep up glorifying your Lord with his praise, before sunrise and before sunset. And glorify Him again in the night and also when you are free from prostrations.’

This seems to refer to Salat al-fajr, Salat al-asr and Salat al-'isha.

Surah 30 Rum Ayat 17-18 states, "So, glorify Allah in the evening and in the morning; all praise is for Him in the heavens and the earth- as well as in the afternoon and at noon."

This seems to refer to Salat al-fajr, Salat al-dhuhr, Salat al-asr and Salat al-maghrib.

Hizo kazitaja tano, kwenye Qur'an lakini kwenye Surah mbili, sa wapi Quran haikuzitaja tano we unadhani Qur'an kama bibilia fake zenu 😄


Nimekupa Qur'an inavyo eleza hizo Salaa unatuletea poroja za watu eti wametafsiri wako wanasema tatu wako nne hahaha

hivi bado mmnaamini Mtume alienda mbinguni akapewa sarat 50 akaanza kubargain hadi 5 issue inapingana na Quran inasema tatu tu pekee... Either Mtume muongo au Allah Muongo jibu likija Quran imecorrupt mean neno la Allah limebadilika
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana alimumba Adam bila.mama wala baba na Yesu bila baba atashindwa mpeleka Mtume kipenzi chake juu akutane na mitume wengine au kumpunguziwa salaa 50 ziwe tano.

We ni nani mpaa useme Mtume Muhammad hakwenda huko na hakuambiwa hayo. We ni chizi tu huna unalo lijua.

We story nyingi unatuletea za kina bukhari ambao ni mafake Muslim, zimekupendezesha wewe ndio umezichukua sababu ni uwongo mtupu 😄

Hata mimi nilikuwa nawashangilia Spain, lakini we bado sana kumjua Mungu, ungemjua Mungu usinge bisha kila kitu akitaka kiwe kinakuwa

Unashangaa Mtume kuzaliwa kisha katwa jando usishangae Mariam bikira kuzaa mtoto, kweli mwehu si lazima arushe mawe

Jaribu kuliza madaktari watakuambia, wako watoto wakiume wamezaliwa wameisha katwa Jando hata kwenye family nazijua wapo.
 
Waislamu wengi mwanamke kwao ni kama chombo cha starehe tu fuatilia maamdiko yao peponinlazima watafute bikra 72 je wanawake peponi wameahidiwa nini
Tafakari

What the New Testament has to say:


1 Timothy 2:11-14

"Let the woman learn in silence with all subjection. But I suffer not a woman to teach, nor to usurp authority over the man, but tobe in silence. For Adam was first formed, then Eve. And Adam was not deceived, but the woman being deceived was in the transgression."


1 Corinthians 14:34

"Let your women keep silence in the churches: forit is not permitted unto them to speak; but they are commanded to be under obedience as also saith the law. And if they will learn any thing, let them ask their husbands at home:for it is a shame for women to speak in the church."
 
Waislamu wengi mwanamke kwao ni kama chombo cha starehe tu fuatilia maamdiko yao peponinlazima watafute bikra 72 je wanawake peponi wameahidiwa nini
Tafakari


What the Old Testament has to say:


Deuteronomy 22:28-30"If a man happens to meet a virgin who is not pledged to be married and rapes her and they are discovered, he shall pay the girl's father fifty shekels of silver. He must marry the girl, for he has violated her. He can never divorce her as long as he lives."


(This verse was taken from the NIV Bible. The NIV Bible is the most trusted and used Bible among Trinitanian Christians. Many other authors of other bibles were ashamed of this verse and changed the words "rapes her" to words like "lay hold on her" or "seizes her and lies down with her".Other Bibles like the WE Bible removed this verse completely, which is a total corruption!.)


Exodus 21:7-8 "And in case a man should sell his daughter as a slave girl, she will not go out in the way that the slave men go out. If she is displeasing in the eyes of her master so that he doesn't designate her as a concubine but causes her to be redeemed, hewill not be entitled to sell her to a foreign people in his treacherously dealing with her."


Here in this verse we can see that fathers can easily and freely selltheir daughters as slaves to other men. The other men are free to rape the daughters if they wish to do so.


Deuteronomy 25:11-12 "And in case men struggle together (in a fight) with one another, andthe wife of the one has come near to deliver her husband out of the striking one (to saveher husband), and she has thrust out her hand and grabbed hold of his private(the other man's groin), she must then get both her hands cut off, and the eyes of the men must feel no sorrow."

One has to ask himself a very simple question here: Why should the wife who is trying to save her husband from brutal beating by another man get both her hands cut off? and why should we not have any mercy on her? Does this sound inspired from God to you? Be honest with yourself.


Leviticus 21:9 "And the daughter of any priest, if she profane herself by playing the whore, she profaneth her father: she shall be burnt with fire."

Why a priests daughter be burnt in fire just because her father is a priest if she decides to act like a whore? Is this fair? Should it make a difference whether or not a girl's father is a priest or not?


Ecclesiastes 25:22 "Of the woman came the beginning of sin, and through her we all die." (from the Catholics Bible) Women in the Bible are considered evil !!!.


Ecclesiasticus 22:3 "....and the birth of ANY daughter is a loss" (From theNew Jerusalem Bible (Luke 2:52: GOD forgave Jesus' sins and was "charitable" with him). It's a Roman Catholics Bible); Roman Catholics today form more than 75% of the Christians population throughout the world. Why should the Bible give stupid (with all respect to you) generalizing statements like that about ALL women?


Leviticus 12:2-5, if a woman gives birth to ababy boy, then she becomes unclean for 7 days. But if she gives birth to a babygirl, then she becomes unclean for 14 days. This verse isanother proof that women in the Bible are disliked to be born !.


Ecclesiastics 7:26-28 "AndI find more bitter than death the woman who is a snare, whose heart is a trap and whose hands are chains. The man who pleases God will escape her, but the sinner she will ensnare....while I was still searching but not finding, I found one upright man among a thousand but not one upright woman among them all". The Bible claims that it is impossible to find a single good woman among a thousand women.


Let us examine the following two verses fromt he book Leviticus:


Let us look at Leviticus 20:15 "If a man has sexual relations with an animal,he must be put to death, and you must kill the animal."

Let us look at Leviticus 20:16 "Ifa woman approaches an animal to have sexual relations with it, kill both thewoman and the animal. They must be put to death; their blood will be on their ownheads."
 
Huo moto watakaokutana nao wakisogeza pua zao kuwafuata Hezbollah ,hawatausahau
Natamani mazayuni waingie kichwa kichwa huko Lebanon , wanyooshwe mpaka akili ziwwakae vizuri
 

View: https://x.com/Salwan_Momika1/status/1807133795419582789?t=uD_rcv1gNDKk2P4XLhT2YQ&s=19
 

View: https://x.com/Salwan_Momika1/status/1807133795419582789?t=uD_rcv1gNDKk2P4XLhT2YQ&s=19
 
Kwenye Issue ya Yesu nishafunga Allah kasema yeye ni bingwa wa Uongo . Allah is the Great Deceiver (Qur'an 3:54) : And they cheated/deceived and God cheated/deceived, and God (is) the best (of) the cheaters/deceivers. Satan is the Great Deceiver (Revelation 12:9) : And the great dragon was cast out — that serpent of old called the Devil and Satan, who deceiveth the whole world.
Maana ya Glorify tazama dictionary we dogo ni ku praise au ku worship (God).
I told Glorify ni kusifia tu yaani kutukuza na kama kutukuza only fake muslim ndio anaweza sema ni Sarat
Kiarabu Glorify ni Subhan au Dua tu na Dua mmeambiwa mtamke asubuhi mkishaamka na usiku mkilala mkisafir n.k kama wewe ndio unachukulia ndio sarat basi kwa siku mtafanya salat zaidi ya elfu na sio mara tano tena
Wapi Mtume alimsalimisha iblis we wacha uzushi huna lolote zaidi ya kuleta fake story tu.
Hahaha Mtume wenu alisema every person ana shetani wake kasoro Mariam na Jesus and Yeye Mohamed ameweza kumsilimisha Mkubwa wao na anamuongoza kwa mema tu pekee... nadhani ndio yale ya Dr. wenu Sulle kufuga majini mazuri.. kama wewe huamini Story nje ya Quran basi hakuna salat 5 hakuna nguzo tano nikuulize unaamini hadith za scola gani maana unapinga pinga tu kwa aibu
How many time nikuambie kuwa Glorify sio Salat ewe fake Muslim... Sarat ni Sarat tena mna recite Al fatiyah na lazima ufuate wudu completely na muda Maalum kama chapter 11:114 Establish prayer ˹O Prophet˺ at both ends of the day and in the early part of the night. ambazo ni Tatu tu pekee kama unataka kupinga mpinge tu Allah

Praise ni Dua tu anytime unaweza omba nakuthibitishia wewe ni Kafir unataka kutuambia ukiwa unaomba dua unatawadha, unasujudu na mkeka wako enh who is a donkey kakufundisha hivyo fake Muslim kindly learn and siku za usoni ukija kusoma for sure utajiona mjinga kuloko wote duniani and pia waislam original wanakucheka and nadhani utakuwa ulibadilishwa dini wewe sijui ulifuata mke ukasilimishwa. hahahaha muulize hata bigshow wa jf akupe somo mana ya Sarat na issue zingine ni Dua tu au Tasbeen unamshukuru Allah wako na kuomba usiyokuwa nayo kajifunze kwanza uislam acha ubishi ubishi learn i will teach you
Surah 30 Rum Ayat 17-18 states, "So, glorify Allah in the evening and in the morning; all praise is for Him in the heavens and the earth- as well as in the afternoon and at noon."
Sasa hiyo sura Rum haisemi Salat ٱلصَّلَوٰةَ bado unaruka ruka tu unarudi pale pale ni praises ٱلْحَمْدُ and not salat
This seems to refer to Salat al-fajr, Salat al-dhuhr, Salat al-asr and Salat al-maghrib.
So unamrekebisha Allah kuwa badala ya kuandika Sarat yeye kaandika Praise Subhanh ndio muslim mmefundishwa kumrekebisha Allah akikosea enh
Hizo kazitaja tano, kwenye Qur'an lakini kwenye Surah mbili, sa wapi Quran haikuzitaja tano we unadhani Qur'an kama bibilia fake zenu 😄
wapi unajilipua mwenyewe Sarat tano ni kuwa Muslim mnafuata ya Mohamed not Allah Mungu wenu ni Mtume wenu human and alikuwa mjinga
Nimekupa Qur'an inavyo eleza hizo Salaa unatuletea poroja za watu eti wametafsiri wako wanasema tatu wako nne hahaha
hukumbii HUD 114 Tatu tu labda ulete Quran 6 zilizochomwa labda ndio zina sarat 5 maana Verse zile zilizoliwa na mbuzi za mzinzi apigwe mawe hadi afe na ile ya mwanamke ampe mgeni matiti yake anyonye hadi alidhike according to Aisha Mke wa Rassul
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana alimumba Adam bila.mama wala baba
Logic ya kidarasa la saba ushasema kuumba sasa tokea lini kinachoumbwa kinakuwa na wazazi ? basi sio kuumba bali kuzaliwa
na Yesu bila baba
Yesu according to islamic source biological Father ni Allah ukikataa ni Jibreel make a choise aliyepuliza kwenye uke ni nani?
atashindwa mpeleka Mtume kipenzi chake juu akutane na mitume wengine
Ndio apae kwa Buraq Punda kwa speed gani? wakati malaika wanatumia miaka elfu kufika kwa Allah kwa Speed ya Mwanga, and kisa anakiadithia Mtume wenu mwenyewe kuwa kila Mbingu aliyofika alikuwa Kuna mageti na malaika walinzi hawana habari ya ugeni na wanauliza Mohamaed ndio nani? Malaika wakicheki guest book aliyekuwa invited hawaoni na Jibreel alivyokuwa akigonga mageti Malaika walikuwa wakiuliza nani anagonga Jiibreel anajibu mimi Jibreel yaani Malaika hawajui sauti ya boss wao wa Malaika hahahaha

Kama Mtume wenu unasema alikutana na mitume wengine haswa Musa how come alimkuta hai wakati siku ya ufufuo bado kufika na Mudy alisema yeye ndie atakuwa wa Kwanza kufufliwa katika wafu wote Duniani hahaha uongo ni uislam na uislam ni uongo mtupu from start to the last
au kumpunguziwa salaa 50 ziwe tano.
Kama aliomba kupunguziwa idadi huo ni ukaidi mbele za mungu so Mtume Jeuri kwa Mola akikuambia kitu unatakiwa ukubali bila kupinga au ndio Musa alimshawishi akaombe discount ndio maana mnawachukia wayahudi wamewafanya hadi mtume wenu aonekane mbishi eti watu wangu hawataweza salat 50 kwa siku hapo inaonesha Musa aliona Allah na MUdy hawana akili za kuwafahamu Binadamu so Musa ni bright zaidi ya Allah
We ni nani mpaa useme Mtume Muhammad hakwenda huko na hakuambiwa hayo. We ni chizi tu huna unalo lijua.
According to muslims source Aisha mke wa Mohamad alisema usiku ule Mwili wa Muhamad ulikuwepo pale pale kitandani sasa nani zaidi ya mke and Story za Mohamed zote hazina ushahidi wala ushuhuda, Pangoni katokewa na kupewa Quran no shahidi zaidi ya kuadithia mkewe Hadija alikuwa mksristo akamuambia huyo ni Gabriel.

Mtume kaenda Mibinguni na Jehanam hakuna ushahidi zaidi mkewe akamuumbua.

Mariam ni sistr za Aaron na Musa walipishana miaka zaidi ya Elfu aliumbuka.

We story nyingi unatuletea za kina bukhari ambao ni mafake Muslim, zimekupendezesha wewe ndio umezichukua sababu ni uwongo mtupu 😄
Lete hadithi unazoziamni wewe tucheke pia muslim story zote mnazikubali ila zikienda kombo mnazikataa mbona Quran mnayotumia now ya Hafs mnaikubali ila hadithi za Hafsi mnazikataa mnazingua mmekuwa mandumila kuwili
Hata mimi nilikuwa nawashangilia Spain, lakini we bado sana kumjua Mungu, ungemjua Mungu usinge bisha kila kitu akitaka kiwe kinakuwa

Unashangaa Mtume kuzaliwa kisha katwa jando
Hapo hukwepi njemba ilikuwa Govi alikuwa ananuka utoko tu mtume wenu
usishangae Mariam bikira kuzaa mtoto, kweli mwehu si lazima arushe mawe
Hapo sasa umekasirika and kidogo unanishangaza other muslim huwa wana matusi mabaya wewe kiasi upo poaa maana Allah na Mohamad ametutusi matusi kama yote na laana juu probably your fake muslim
Jaribu kuliza madaktari watakuambia, wako watoto wakiume wamezaliwa wameisha katwa Jando hata kwenye family nazijua wapo.
Sio niulize mimi mwenyewe nimezaliwa na govi fupi ila kilikatwa so haimaanishi nilizaliwa nikiwa nimetahiriwa acha uzembe Mtume wenu hakuwa Muslim basi mtafutaji tu taperi ili aishi kifahari
 
Wewe piga porojo, ukweli ni kuwa Hamas wapo na wanaendelea kuwachapa mazayuni, wamewaweka walipotaka na mpaka sasa wana ushindi mkubwa sana. Kwa poyoyo huwezi kuuona wala kuufikiria.

Sasa fikiri, nchi kupigana na kikundi cha watu uliowazunguka pande zote kwa miezi minane sasa, unashindwa kuwamaliza, mpaka mazayuni wanakiri kuwa hawawezi Hamas.
 
Idf wapo few % kumaliza vita wahamie kwenu Lebanon. Sishangai kusikia Muslims wakitangaza ushindi humu wamepigwa vibaya... yaani sasa hivi ni kurudia tu kila eneo and Arabs wanaingia mitegoni kirahisi idf akitangaza kuondoka eneo Hamas wanarudi tena kutoka kwa raia.

Kupigana na mtu aliyejificha ni tafauti ili kuepuka vifo vya raia vita lazima iwe ndefu. Jifunze kudadavua sawa na kuchambua pumba kwenye mchele uliotoka mashineni
 

MCHUNGAJI WA KANISA LA PENTEKOSTI AKAMATWA NA VIUNGO VYA ALBINO​







Mchungaji wa kanisa la Pentekoste mkoani Mbeya wilaya ya Mbozi Idiwili,Cosmas Mwasenga (39) na Luseshelo Mwashilindi (38) anakamatwa na jeshi la polisi kwa kukutwa na viungo vya binadamu.

Mchungaji huyo alikuwa akiviuza na ndipo polisi walipopata taarifa walijifanya kama wao ni wanunuzi na kisha mchungaji kuwaonyesha viungo hivyo.

Mchungaji alikuwa akiviuza kwa gharama za shilingi milioni 30.Viungo hivyo ambavyo ni sehemu ya mkono vimepelekwa kwa mkemia mkuu wa serikali wakati taratibu za kuwaburuza mahakamani zikikamilika.


Duh hii hali sasa inatisha..kama hata baadhi ya viongozi wa dini nao wamekuwa hivi.

Ila naamini mambo yatakuwa sawa..

Tutafika tu
 

View: https://x.com/Salwan_Momika1/status/1807891321002000867
 
dogo we kumbe huoni bibilia zenu zinavyo sema God ni Deceiver

Jeremiah 4:10 says God is a deceiver.
,do you agree hahaha au hio sio bibilia dogo.

Haya na hizi hapa nyingi tu zinasema Mungu wenu ni Deceiver hamzioni, mnaona ile point ya Qur'an iliwakusudia wanafiki wanao jidai waislam, kumbe bado wanaabudu masanamu ndio Mungu akawambia vile.

Lakini tatizo nyie Mungu wa bibilia sehemu nyingi tu anasema yeye Deceiver au kawachia wafanye upotevu hahaha, nakuwekea hizo kutoka bibilia tofauti.



In Jeremiah’s day, there were prophets ‘prophesying in falsehood.’ (Jer 5:31 ; 20:6 ; 23:16,17,25–28,32)

God did not prevent them from proclaiming misleading messages. In that sense God deceived his renegade people.




Nimeisha kueleza sirudi kukueleza tena nenda kwenye English dictionary katazame Glorify kama si kuabudu na kusali ni kitu gani kama si kuabudu, we Huna lolote maneno mengi tu.
Haya na kusaidia kwenye dictionary hio mana yake.

glorify
Overview
Usage examples
Similar and opposite words
Dictionary
Definitions from Oxford Languages · Learn more
verb
1.
praise and worship (God).

wewe unaleta ujinga eti kumsifia au kumtukuza unakataa nini sasa, nani anaye tukuzwa kuliko Mungu, Hivi kumsifia Mungu utamsifia vipi kama husali hahaha.

Wapi Mtume kasema hayo leta kutoka kwenye Qur'an au hadithi sahihi. We nimeisha kueleza huna ulijualo zaidi ya kucopy fake story, ikiwa bibilia zenu zinasema Yesu ni Satan.

Afu huku bibilia inapigilia alitekwa na shetani hahaha, ukristo ni ujinga tu.


Then Jesus was led up by the Spirit into the wilderness to be tempted by the devil. 2 And when He had fasted forty days and forty nights, afterward He was hungry. 3 Now when the tempter came to Him, he said, “If You are the Son of God, command that these stones become bread.”


Kwanza ni Salaa sio Sarat hahaha, pili nilisha kujibu nikakuekea Qur'an ina confirmed salaa tano zipo kwenye Qur'an, nimekuwekea huko nilipo kujibu bado unabisha, badala ubishe kwa hoja ya zile Surah umerudia ku copy Surah ambayo ina confirmed salaa tatu hahaha mbona huleti zile Surah nilikuwekea 😆

Salaa sio nyimbo nilazima umti Mungu kwa vitendo na kwa time aliuo weka Mungu, ili ahakikishe kweli mnamheshimu na kumtii amri zake.

Hio unayo sema sio lazma uweke mkeka, nani anaye kuambia lazima uweke mkeka? unaweza kusali hata kwenye mchanga au cement sharti sehemu ile pawe pasafi tu.

We bwege nani anaye kuambia sio lazima usali, unaweza kuomba dua hahaha ukiwa mjinga ni noma sana.

Kusali ni kusalimu amri kuwa ni Mungu peke yake wa kuabudiwa, na kuomba unaweza kuomba sa zote lakini salaa ni kusali kwa wakati alio panga Mungu, umetajwa kwenye Quran na nilisha weka hizo Aya za Qur'an.

We kwanza kajifunze Salaa sio Sarat mshamba mmoja wewe.

Logic ya kidarasa la saba ushasema kuumba sasa tokea lini kinachoumbwa kinakuwa na wazazi ? basi sio kuumba bali kuzaliwa

Yesu according to islamic source biological Father ni Allah ukikataa ni Jibreel make a choise aliyepuliza kwenye uke ni nani?
We hujui kumbwa ni kazi ya Mungu, na kuzaliwa au kuzaa ni binadamu au mnyama au ndege n.k ndio wanao zaa.


Anaye zaa kaumbwa na anaye zaliwa kaumbwa. We akili zako haziko sawa.

Tatizo wewe akili zako huwezi kuamini alicho ongea Mtume Muhammad, sababu wewe ni mfuasi wa Paulo hahaha.

Kwani Mtume Muhammad aliwalazimisha mumuamini?

Tuwachieni na dini yetu kama alivyo sema Mwenyezi Mungu kwenye Qur'an akimwambia Mtume Muhammad , aseme nyie makafiri siabudu mnayo abudu, wala nyie hamta abudu nayo abudu, bakini na dini yenu, na sisi tubaki na dini yetu.

Nyie, mkimuona Paulo yuko sawa mfateni yeye, na sisi wacheni tumfate Mtume Muhammad.

Jawabu litapaikana kaburini na huko akhera.



Qur'an inasema walio kufa wote wako hai, kwenye Barzkha mpaa siku ya hesabu siku ya Kiama, ama wapo huko kwenye makaburi wanaumeona pepo au motoni, sa we ulitaka Mtume Muhammad alipofika mbinguni akutane nao wamekufa hahaha.

Nilisha kujibu sina mda wa kumjibu mtu haelewi nilicho mjibu.

Hizo according ni za bibilia according to matthew, according to luke. according to mark according to John.

Sisi tunataka dalili ya Qur'an hio inatoka kwa Mungu, au hadith sahihi sio fake one's

Sina la kukujibu naona nizile zile story nilisha kujibu, afu kichaa anarudi kuliza tena.

Nilisha kuambia tupe Surah ya Qur'an au hadith sahihi za uhakika sio fake story.



Sio niulize mimi mwenyewe nimezaliwa na govi fupi ila kilikatwa so haimaanishi nilizaliwa nikiwa nimetahiriwa acha uzembe Mtume wenu hakuwa Muslim basi mtafutaji tu taperi ili aishi kifahari
Kwa hio we ulitaka binadamu wote wazaliwe kama Yesu na Mtume Muhammad, mimi nimeisha kuambia wako watoto wa kislamu wengi wamezaliwa wameisha katwa jando, we huwezi kuwa zaidi na govi sababu unasema umezaliwa na govi.

Cha kushangaza wewe umezaliwa una baba, Yesu hana baba hahaha
 
Usikute huyohuyo marekani ambaye ni rafiki kipenzi wa wana wa Israel anawauzia silaha magaidi,marekani hairabiriki baba.
 
Usikute huyohuyo marekani ambaye ni rafiki kipenzi wa wana wa Israel anawauzia silaha magaidi,marekani hairabiriki baba.
US hawezi fanya vile kwa Israel, ni faida yake Israel kubaki hapo, lakini kwa sasa itakuwa ni hasara watu wameisha kuwa na technology za ajabu ajabu kama vile Turkey na Iran kubaki Israel hapo itakuwa ni maradhi tu US anajitafutia.

US bado ana ile akili ya kudanganya watu Israel ni super power pale middle east hakuna wakumgusa 😄

Lakini Hezbullah na Hamasi wamemuwacha uchi dunia nzima wamemgundua Israel hana lolote.
 
Wakati wa vita ya mujahideen na urusi marekani aliwapa msaada wa silaha mbalimbali mujahideen yakiwemo makombora mengi sana ya Surface to Air Messile baada ya kuona Afghanistan inaanza kama kumgeuka akaanza mpango wa kuyanunua kitu ambacho mujahideen hawakukubaliana nacho
 
Point yako ni kweli, lakini huku kwa Israel US akifanya Israel kuwa dhaifu hawezi kuwa na nguvu pale Middle East tena.

US na UK walitengeneza hilo taifa la Israel kwa faida zao, na Israel aki loose hapo wao watakuwa hawana faida hapo.

Wanaitumia Israel kwa kudhuru Uislam, na warabu huoni hata Israel afanye genocide husikii kelele, ngojea taifa la kiarabu ai kiafrica lfanye vile uone kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…