Ona unavyoongea ufala.Acha kupotosha. Washindwe kuwaonea huruma watu wanaouwawa kila siku Sudan na kikundi cha kigaidi cha kiislamu. Waje wawaonee huruma magaidi wa October 7?
Hizo nchi zimeingilia? Wanachokifanya hayo mataifa kwenye media wanajifanya wanawaonea huruma ila nje ya media. Wanamwambia Israel peleka moto na misaada wanatoa kwa Israel.
Nahisi naongea na kijana wa balehe anayeropoka hapa.
Una ushahidi wa Spain kumwambia Israel kisirisiri aendelee kuua Palestina!?
Brazil,Spain,Colombia zote zimefunga balozi za Israel nchini mwao,je huo ni mchezo!?
Katika upigaji kura mataifa asilimia 70 yamepiga kura kuitambua Palestina kuwa nchi huru je huo ni mchezo!?
Mataifa mengi ikiwemo Spain,Belgium na Norway zimeungana na kukubali Israel ishitakiwe ICJ je huo ni mchezo!?
Kinachoendelea Sudan sio vita za Udini ni za ukabila na UCHU WA MADARAKA baina ya RSF na jeshi ku la Sudan.Hilo ni suala la wenyewe kukaa ndani kulimaliza,na raia wameungana na jeshi la serikali dhidi ya kundi la RSF.
Unaropoka ufala ufala hapa huna unalolijua!?
Suala la Palestina ni la KIMATAIFA.
Nenda kajifunze kama huna kitu kichwani usoni quote huwa sijadili na vilaza.