Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,409
- 6,773
Waliyumba kidogo sana, ila sasa ni Mpeto tu kwa kwenda mbele! Atulopoki na atuna mehemko Ukweli lazima usemweIsrael uchumi uliyumba March mwaka huu kiasi walipunguza askari kurudi kutoka vitani.
USA na UK wanawapa unconditional loans and grants Israel ili kuokoa uchumi wao na kuendesha nchi yao.
Hilo hulijui ndio maana unaongea unayoongea.
Ingekuwa Israel inajiendesha yenyewe kifedha kwa hii vita ya Gaza isingefika popote pale.