Waliyumba kidogo sana, ila sasa ni Mpeto tu kwa kwenda mbele! Atulopoki na atuna mehemko Ukweli lazima usemweIsrael uchumi uliyumba March mwaka huu kiasi walipunguza askari kurudi kutoka vitani.
USA na UK wanawapa unconditional loans and grants Israel ili kuokoa uchumi wao na kuendesha nchi yao.
Hilo hulijui ndio maana unaongea unayoongea.
Ingekuwa Israel inajiendesha yenyewe kifedha kwa hii vita ya Gaza isingefika popote pale.
Unaweza kunambia exactly f35 zinatumiaje mafuta,wewe ni mtaalam wa aviation?Zidisha Mara mbili huo umbali,sababu zilienda na kurudi,hazikukaa hukohuko
Hizi ni picha za jumba la kumbukumbu (archive),hawakua na hizo resourcesIsrael Ili wafike Yemen walikuwa na Ndege ya kujaza mafuta kwenye ndege za aina ya F35. Wayemen Drone walizirusha tokea nchi jirani na Israel(drone zinatumia Battery kama simu)
Sawa Umeshinda chagua nikupe mji ganiHizi ni picha za jumba la kumbukumbu (archive),hawakua na hizo resources
Wamerudi sawa kiuchumi kwasababu ya UNCONDITIONAL LOANS AND GRANTS kutoka USA.Waliyumba kidogo sana, ila sasa ni Mpeto tu kwa kwenda mbele! Atulopoki na atuna mehemko Ukweli lazima usemwe
Drone na makombora yote ya Yemeni vimerushawa kutokea Hodeidah wala sio nchi jirani.Israel Ili wafike Yemen walikuwa na Ndege ya kujaza mafuta kwenye ndege za aina ya F35. Wayemen Drone walizirusha tokea nchi jirani na Israel(drone zinatumia Battery kama simu)
Houthi na makundi mengine ya kigaidi pasina support ya Iran si lolote.Wamerudi sawa kiuchumi kwasababu ya UNCONDITIONAL LOANS AND GRANTS kutoka USA.
USA na UK wamepeleka fedha nyingi sana Israel tokea March ambako uchumi ulianza kudorora.
Labda kama hukufuatilia.
Embu soma kwa uelewa.
Bimaana Israel pasi na sapoti ya USA na UK si lolote wala chochote.
Hayo ni makundi ila Israel ni taifa.Houthi na makundi mengine ya kigaidi pasina support ya Iran si lolote.
"Projecting power with the F-35 (part 2): going further | The Strategist" Projecting power with the F-35 (part 2): going further | The StrategistUnaweza kunambia exactly f35 zinatumiaje mafuta,wewe ni mtaalam wa aviation?
Sawa Umeshinda Chagua mjiWamerudi sawa kiuchumi kwasababu ya UNCONDITIONAL LOANS AND GRANTS kutoka USA.
USA na UK wamepeleka fedha nyingi sana Israel tokea March ambako uchumi ulianza kudorora.
Labda kama hukufuatilia.
Embu soma kwa uelewa.
Bimaana Israel pasi na sapoti ya USA na UK si lolote wala chochote.
Ulikua unashindana!?Sawa Umeshinda chagua nikupe mji gani
Hatushindani kaka bali tunaelezana tu.Sawa Umeshinda Chagua mji
Unaamini Houthi ana uwezo wa kumpiga Misri au Saudia?"Projecting power with the F-35 (part 2): going further | The Strategist" Projecting power with the F-35 (part 2): going further | The Strategist
Hazitoboi 1500km bila kujaza mafuta, Israel-yemen 2209km,kwenda na kurudi 4418,ndiyo maana houthi wamesema watazitwanga nchi zote za kiarabu Egypt,saudia na marekani kwa kuwasaidia Israel
Mfanano upo lakini indirectly kwa sababu Makundi tajwa yapo kwenye nchi na nchi hizo zinayakumbatia na kwa jinsi hiyo nchi yote inajumuishwa kama ndo inashambulia. e.g. HAMAS Wapo Palestina(Gaza) lakini Palestina haiwakatai, Houthi wapo Yemen na Yemen haiwakatai; kwa mantiki hiyo Yemen inajumuishwa kwamba ni Adui na inapigwa.Hayo ni makundi ila Israel ni taifa.
Je kuna mfanano hapo!?
ππππππ
Na ukitizama hata wasapoti wao ni tofauti.
Israel anaungwa mkono unconditionally na USA na UK.
Ila hao uliowataja msapoti wao ni Iran peke yake,taifa ambalo linatoa sapoti kimipaka.
Maana Iran yenyewe inapitia magumu.
AiseeIsrahell inaenda kula kipigo kizito nisuala la muda tuuu
Israhell ya kwenye media inatisha sana kuliko hii yenyewe
Mmmmm! Naona sasa Houthi amechanganyikiwa mazima.Eti atazitwanga nchi zote za kiarabu na Marekani? -Hahaha Houth wapo hapo kwa Mjomba wao Yemen. Kwa maneno rahisi ni kwamba wamejihifadhi hapo na wanaletewa mahitaji na Iran. Wamejisahau siku Yemen akisema " Funga mguu -Ondokeni" hawana pa kwenda vinginevyo waliamshe dhidi ya Yemen (nchi yao wenyewe) na watahesabika kama kundi la Waasi wa kiHouthi linaloungwa mkono na Iran."Projecting power with the F-35 (part 2): going further | The Strategist" Projecting power with the F-35 (part 2): going further | The Strategist
Hazitoboi 1500km bila kujaza mafuta, Israel-yemen 2209km,kwenda na kurudi 4418,ndiyo maana houthi wamesema watazitwanga nchi zote za kiarabu Egypt,saudia na marekani kwa kuwasaidia Israel
Houthi ni wayemen,Ila kidhehebu ni shia, ndiyo mafungamano na Iran yalipoMmmmm! Naona sasa Houthi amechanganyikiwa mazima.Eti atazitwanga nchi zote za kiarabu na Marekani? -Hahaha Houth wapo hapo kwa Mjomba wao Yemen. Kwa maneno rahisi ni kwamba wamejihifadhi hapo na wanaletewa mahitaji na Iran. Wamejisahau siku Yemen akisema " Funga mguu -Ondokeni" hawana pa kwenda vinginevyo waliamshe dhidi ya Yemen (nchi yao wenyewe) na watahesabika kama kundi la Waasi wa kiHouthi linaloungwa mkono na Iran.
Saudia si alikua na ugomvi na houthi juzi tu,houthi wakapiga miundombinu yake ya mafuta kwa drone, saudia akaomba majadiliano na ugomvi ukaisha,shida ya houthi hawana Cha kupoteza,fikiria washushe makombora CairoUnaamini Houthi ana uwezo wa kumpiga Misri au Saudia?
Kwa hiyo houthi wana nguvu kuliko Egypt?"Projecting power with the F-35 (part 2): going further | The Strategist" Projecting power with the F-35 (part 2): going further | The Strategist
Hazitoboi 1500km bila kujaza mafuta, Israel-yemen 2209km,kwenda na kurudi 4418,ndiyo maana houthi wamesema watazitwanga nchi zote za kiarabu Egypt,saudia na marekani kwa kuwasaidia Israel
Nikwambie kitu......,Houthi ni wayemen,Ila kidhehebu ni shia, ndiyo mafungamano na Iran yalipo