Israel yasema shambulio la Yemen ni onyo kwa maadui zake wote wa mashariki ya kati

Vikosi vya Houthi ndio jeshi la Yemeni la sasa.
Au kaka hujui kama Yemeni inaongozwa na Houthi sasa hivi!?
Hakuna jeshi lingine zaidi ya Houthi pale Yemeni.
Maana kipindi Mansour anakataa kutoka madarakani hadi jeshi lake lilimgeuka na kuungana na Houthi kumtoa madarakani.
Hivyo Yemeni Army = Houthi.
 

Wewe ni pumbaf, most arrogant, huna akili, unapenda ushoga sana, huachi kuongea bila kuongelea ushoga, utakuwa unahemewa ssana wewe, stupid..

Houthi ni wa kushindana na Israel? Akili huna kabisa, wala hujui kabisa chochote, swine..!!
 
Mara ndege ni za usa mara unawalaumu uae kuruhusu anga kupitisha ndege za israel hujielewi na hueleweki pia ndege ni za Usa au israel
 
Safi sana ISRAEL YESU YU PAMOJA NAWE ANGAMIZA MAGAIDI WOTE KWA VINU VIZITO HIYO NDIO NAPENDA SIFA KWAKO YEHOVA HUJAJA KULETA AMANI WW NI MUNGU WA MAJESHI.
 
Mara ndege ni za usa mara unawalaumu uae kuruhusu anga kupitisha ndege za israel hujielewi na hueleweki pia ndege ni za Usa au israel
Hebu rudia nilio yandika mimi nimesema mimi, au nimesema wanasema

Kuna opinion tofouti wako wanasema na mimi nimeongea pia, Israel lazima kapita kwenye anga za nchi hizi Saud Arabia, Jordan na Egypt sababu ya ku Refuel.

Wako wanasema ndege za Israel zimetokea UAE.

Wako wanasema ni US, UK, Egypt na Saud Arabia ndio wamepiga, sikusema hizo ni Opinion zangu.

Soma vizuri sisi tunafatilia news, ikiwa hizo TV channels zinasema uwongo ni wao, hata wao wanasema inasemekana, inaweza kuwa sawa au si sawa.
 
israel anawapelekea moto tu yoyote atakae jichanganya
 
israel anawapelekea moto tu yoyote atakae jichanganya
Hayo ni mawazo yako hayapingwi.
Ila kiuhalisia Israel imepata hasara ya vifo vingi vya wanajeshi na kupata walemavu wengi wa jeshi.
Haikuwahi kutokea Israel kupata askari 12000 wakiwa na ulemavu wa kudumu kutoka vitani.
 
Waarabu wanafiki sana.
Kama sio unafiki wao hata Ottoman empire isingevunjika.
Sio wanafiki ila ni kwamba baadhi ya nchi za kiarabu hawana muda wa kufanya ugaidi kwa sasa, wao busy kujenga nchi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…