Israel yasema shambulio la Yemen ni onyo kwa maadui zake wote wa mashariki ya kati

Israel yasema shambulio la Yemen ni onyo kwa maadui zake wote wa mashariki ya kati

Ni Chama cha siasa kweli, lakini kimeenda mbali zaidi na kujiwekea mkondo wa kijeshi ndani ya chama. Hauwezi kuwa na majeshi mawili katika nchi moja. Ndo mana nimesema wanahifadhiwa kwa mana kwamba Yemen ana-intertain uwepo wa jeshi lisilo rasmi nchini mwake hata kama wahusika ni wenyeji.
Yan ACT wazalendo wawe na vikosi vya kiJeshi hapa Tz? Hawatakubaliwa japo ni Watanzania halisi- Hizo ni vurugu. Kama Tz wataridhika bila kuchukua hatua ina maana wamekubaliana na jambo hilo. Kama wakichukua hatua, hata nchi marafiki watasaidia kuvifurusha vikosi hivyo haramu(Sio vikosi rasmi na havitakiwi).
Vikosi vya Houthi ndio jeshi la Yemeni la sasa.
Au kaka hujui kama Yemeni inaongozwa na Houthi sasa hivi!?
Hakuna jeshi lingine zaidi ya Houthi pale Yemeni.
Maana kipindi Mansour anakataa kutoka madarakani hadi jeshi lake lilimgeuka na kuungana na Houthi kumtoa madarakani.
Hivyo Yemeni Army = Houthi.
 
Unadhani mie naendeshwa kama nyie LGBTQ+?
Nimekwambia uhalisia kama huamini utaona
Kushambuliwa washashambuliwa sana matokeo yake yapi?
Red sea wameipiga pini bandari ya Eliat imekua bunkcrupt kisa mizigo haifiki alozuia mizigo nani
Mukiwa munabishana musipende kukurupuka

Wewe ni pumbaf, most arrogant, huna akili, unapenda ushoga sana, huachi kuongea bila kuongelea ushoga, utakuwa unahemewa ssana wewe, stupid..

Houthi ni wa kushindana na Israel? Akili huna kabisa, wala hujui kabisa chochote, swine..!!
 
Isreal ni bla bla nyingi kwanza hizo F35 mpaa zifike Yemen wanazo two option wapunguze uzito, wa maboom ndio zitafika Yemen, kama wakitumia njia ya Red Se.

Hao mimi na kwenda na wale walio sema hizo ndege zilizo piga ni za US, UK, Egypt na Saud Arabia. Israel bila kupewa green light watumie Air space ya Egypt na Saud Arabia ni vigumu kufika huko ndege zao bila kuwa refuel, na hizo ndege tulizo onyeshwa zina refuel sio za Israel eti zipo Red Sea, ni video zipo kwenye archive zao.

Option ya pili walitumia UAE kwenda ku attacked Yemen.

Huku na huku warabu wameshiriki kama kawaida zao wameruhusu ndege za Israel kutumia anga ya Jordani, Saud Arabia na Egypt Warabu na wafrica si watu wakuwamini,wakiona ngozi ya pink.

R.I.P commander wangu Robert Mgabe huyu ni katika wale wakristo 10% naheshimu misimamo yao, sio hivi vikristo njaa vinavyo amini bibilia ya Paulo na taifa teule lake

Hi video nzuri kwa waimba kwaya watazame vipi Mungu wa bibilia zaio.ni Racist 😄


View: https://youtu.be/kQI7WWCi-eQ?si=RG6Ku8g3825pzy2U

Mara ndege ni za usa mara unawalaumu uae kuruhusu anga kupitisha ndege za israel hujielewi na hueleweki pia ndege ni za Usa au israel
 
Safi sana ISRAEL YESU YU PAMOJA NAWE ANGAMIZA MAGAIDI WOTE KWA VINU VIZITO HIYO NDIO NAPENDA SIFA KWAKO YEHOVA HUJAJA KULETA AMANI WW NI MUNGU WA MAJESHI.
 
Mara ndege ni za usa mara unawalaumu uae kuruhusu anga kupitisha ndege za israel hujielewi na hueleweki pia ndege ni za Usa au israel
Hebu rudia nilio yandika mimi nimesema mimi, au nimesema wanasema

Kuna opinion tofouti wako wanasema na mimi nimeongea pia, Israel lazima kapita kwenye anga za nchi hizi Saud Arabia, Jordan na Egypt sababu ya ku Refuel.

Wako wanasema ndege za Israel zimetokea UAE.

Wako wanasema ni US, UK, Egypt na Saud Arabia ndio wamepiga, sikusema hizo ni Opinion zangu.

Soma vizuri sisi tunafatilia news, ikiwa hizo TV channels zinasema uwongo ni wao, hata wao wanasema inasemekana, inaweza kuwa sawa au si sawa.
 
Hayo mataifa kuhusika yanahusika.
Kwasababu hata kuyadungua yale makombora ya Iran yaliyorushwa kwenda Israel Jordan,Saudi Arabia,UK na USA walihusika na ushahidi upo.
Kutoka Israel hadi Yemeni ni zaidi ya 1000kms hizo f35 hazina uwezo wa kwenda na kugeuza tu pasi na kuishiwa mafuta.
Hapo ni bandari moja wapo ya hi
israel anawapelekea moto tu yoyote atakae jichanganya
 
israel anawapelekea moto tu yoyote atakae jichanganya
Hayo ni mawazo yako hayapingwi.
Ila kiuhalisia Israel imepata hasara ya vifo vingi vya wanajeshi na kupata walemavu wengi wa jeshi.
Haikuwahi kutokea Israel kupata askari 12000 wakiwa na ulemavu wa kudumu kutoka vitani.
 
Waarabu wanafiki sana.
Kama sio unafiki wao hata Ottoman empire isingevunjika.
Sio wanafiki ila ni kwamba baadhi ya nchi za kiarabu hawana muda wa kufanya ugaidi kwa sasa, wao busy kujenga nchi zao.
 
Back
Top Bottom