Israel yasema shambulio la Yemen ni onyo kwa maadui zake wote wa mashariki ya kati

Naona unatumikia akili za mwaarabu kufikiria na kuandika uharo.
Unashindwa kuhurumia ndugu zako wa kiafrika wanaouwawa Sudan na maarabu ya kiislamu. Unajifanya mpalestina
Wapelestina watapigwa mpk wachakae na hakuna taifa lenye akili timamu litawaunga mkono hao magaidi wa october 7 wakipalestina lbd magaidi wenzao Lebanon na Yemen.
ICC imefikia wapi?
Watu wanabaka na kuua halafu wanashangilia allah akbar. Siyo wakuonea huruma hata kidogo.
Narudia tena, hizo nchi zinabweka ili zionekane ila nyuma ya pazia zinasema piga hayo magaidi ya october 7.
 
Yale yale ya Palestina(Gaza) na kundi la HAMAS. Lebanon na kundi la Hezbollah.
Sijui ni kwa nini inakuwa vurugu hivyo.
 
"Kwasababu ina nguvu kuliko hamas" (Russia v/s Ukrain?)
- Houth kwanini hawakuchaguwa kuisaidia Palestine waakimarishana huko huko ndani ya palestine ambako tayari moto ilikuwa ukiwaka, au walitaka kupanua eneo la mapigano?
Wangekua na nguvu kuliko hamas wangekua washakomboa watu wao waliotekwa mwaka sasa huu
Kuna namna nyingi zakumsaidia mtu na kila mtu anaangalia namna anayoweza yeye kusaidia
Neta paka anawadanganya wamarekani kwamba ataokoa watu wake waliotekwa
Atawaokoa lini hasemi maana mwaka sasa
 
Mkuu nimekuelewa sasa. Hizi media hasa za western ni majanga. Tnalishwa matango pori kila siku.
US nayo itakuwa hivyo mikwara kibao ila hakuna kitu😕😕😕😕😕
Americant wakawaida sana ila anabebwa na nyuklia tu
Nakupa hii kama hukuwahi kua nayo hakuna vita yeyeote ambayo americant amepigana pekee akashinda bila ya kutumia Nyuklia hakuna hakuna hakunaa
 
Unadhani ingekua rahisi kuwatoa wangewaacha
Unadhani tshisekedi anapenda kuona waasi wale wa M23 wapo pale nchini kwake?
 
Wewe ni pumbaf, most arrogant, huna akili, unapenda ushoga sana, huachi kuongea bila kuongelea ushoga, utakuwa unahemewa ssana wewe, stupid..

Houthi ni wa kushindana na Israel? Akili huna kabisa, wala hujui kabisa chochote, swine..!!
Wewe mwenye akili umefaidika nini na hizo akili ulizo nazo
Nyie hamtaki kusemwa hilo kundi lenu mkisemwa tu mnalialia
Tutawaambieni LGBTQ mpaka mtapoacha hio laana
 
Unaongea upuuzi bado!?
Kwanza unaonekana hauna akili timamu usikute nabishana na kichaa hapa.
Sudan wamepitia crisis ngapi!?
Nani kakwambia Sudan wana mapigano ya waislam na wakristo!?
Sudan wanapigania utawala baina ya jeshi kuu la Sudan na RSF jeshi la usaidizi la Sudan.
Hilo ni jambo la ndani ya nchi.
ACHA USENGE BASI KUWA MUELEWA.
Unafananishaje jambo la kitaifa na kimataifa!?
Pia mada hapa inahusu Middle east kama ukitaka mada ya Sudan nenda thread zake zipo zimefunguliwa.

Wacha nikupe somo la mwisho maana naona unazidi USENGE.
BELGIUM,NORWAY,SPAIN,COLOMBIA,BRAZIL na mataifa mengine makubwa yamevunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel na kupiga kura Palestina iwe kama taifa huru.
Msenge one kama wewe unaongea nini!?
Kwahiyo hayo mataifa yalikua yanacheza pale UN na kukata mauno!?

Mwisho huwa sijadili na wapuuzi maana naona unataka ubishani na mimi napenda majadiliano ngojea nikublock.
 
Mimi sina chuki na wakristo na marafiki wengi sana wakristo ambao misimamo yao kama kina Putin, commander Robert Mgabe R.I.P, Magufuli na M7.

Ama vikristo njaa kama nyie huwa ndio na matatizo nao na ndio vinahisi navichukia.
Wala hatutaki kuwa marafiki na miislamu usijipendekeze kwet
 
Houthi ndio inaunda serikali ya Yemeni sasa hivi,japo muunganiko bado haujawa sawa.
Raia wote wanaunga mkono anachofanya Houthi.
90% ya raia wa Yemeni wanaungana na anachofanya Houthi.
Houthi ni jeshi bora kabisa duniani ila kifiro walichokipata kutoka kwa myahudi kimewanyamazisha kabisa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mcha mbuzi🐐 bobevu kabisa kutoka mashariki ya kati ikwiriri akidadavua vyema masuala ya kivita za kimedani na intelijensia za vyombo vya kimataifa vya usalama Mossad,cia, & mi jinsi walivo weza kushirikiana kuripua vinu vya mafuta vya yemen na njia muhimu kabisa walizo pitia na kutekeleza unyama huo...
taqbiiiiiiiir!!!! 🥋
 
Allahu akbaaaaaaaaaruuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…