PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Mpaka sasa hajajulikana ni viongozi wangapi walikuwemo ndani jengo Hilo la makao makuu mjini DOHA.
Kwa habari
Kile kipigo kilichoenda Kwa wahouthi na Kufa Kwa mawaziri wake nahisi inaenda kutokea Leo , Acha tusubiri tuone ni vifo vingapi vimetokea
Who are the Hamas leaders in Qatar?
Jeshi la Ulinzi la Israel limethibitisha kuwa kwa kushirikiana na shirika la usalama wa ndani, Shin Bet, jeshi lake la anga limefanya jaribio la kuwaua viongozi wa juu wa Hamas katika mji mkuu wa Qatar.
Lilisema kuwa wanachama wa Hamas (ambao majina yao hayakutajwa) waliolengwa wameongoza shughuli za kundi hilo kwa miaka mingi, na kuongeza kuwa litaendelea kuchukua hatua ili “kuilishinda taasisi ya kigaidi ya Hamas.
----
The Israeli military says explosions seen and heard in the Qatari capital, Doha, are the result of an assassination attempt against Hamas leaders.
Tuesday’s attack is the first by Israel in Qatar, a key mediator in ceasefire talks between Israel and Hamas and home to the region’s largest United States military base, Al Udeid Air Base.
Israel has been bombarding Gaza, Lebanon, Yemen and Syria as well as carrying out daily attacks in the occupied West Bank in Palestine.
A Hamas source told Al Jazeera that the attack in Doha targeted the Hamas negotiating team. The attack came as the negotiators were meeting to consider the latest ceasefire proposal put forth by the US.
The Israeli military released a statement saying it and the Shin Bet intelligence service “recently carried out a targeted attack on the top leadership of the Hamas terrorist organization”.
Source: Al Jazeera