Israel yashambulia makao makuu ya viongozi wa Hamas nchini Qatar

Israel yashambulia makao makuu ya viongozi wa Hamas nchini Qatar

Hakuna mateka hiyo mateka yatumika tu kwa sababu za propaganda.

Mateka wote ama wamekufa au waliachiwa.

Israel ni client state wa Marekani na waitaka Gaza yote.

Fuatilia uzuri utaelewa khasa pale Trump anosema ataka Gaza iwe Riviera.
Basi ngoja ngoma iendelee kupigwa mpaka mmoja atakapotupa taulo chini
 
Alokifanya Israel ni uvunjaji wa sheria za kimataifa na si kitendo cha kushangilia.

Pia huwezi kumshambulia mpatanishi ambae yuko kwenye mazungumzo na adui yako.

Israel hapa kachemsha big time ukizingatia kuwa viongozi wote wa ujumbe wa Hamas ukiongozwa na Dr Khalil Dal Ayya wote wako salama.
Tangu lini Israel akaheshimu sijui sheria za kimataifa hizo?
 
Guterez nae hana cha kusema hana kauli kwani jengo ambalo limeshambuliwa ni la UN.

Waarabu wenyewe wamegawanywa hawawezi hata kutumia ile joint air defence pact walowekeana kitambo huo nyuma.

UAE nao ni wanafiki kwani wamerudisha mahusiano na Israel.
Balozi wa Israel mwenyewe huko UN kuna kipindi aliwahi kumtukana huyo Guterez,na hakuna kitu alifanywa.
 
Izrael Huwa akosei target kijinga. Kabla ya kushambulia ana taarifa za kutosha.subiri muda wa propaganda uishe utaona wamewapanga wanawaaga
Mkuu, Top Leadership wamepona wote na wapo mahala salama.

Hiyo ni mistake kwa Israel kwani kumefanywa counter espionage na counter intelligence kwa upande wa Qatar kuepusha hao jamaa wasidhuriwe.
 
Habari za leo hii kiongozi wa Magaidi wa Hamas huko Doha Qatar Khalid Mashal kuna uwezekano mkubwa ameangamizwa!!!
 

Attachments

  • IMG_4188.jpeg
    IMG_4188.jpeg
    215.8 KB · Views: 23
Ua magaidi wote ..

Kwanini mlivamia nchi ya watu ?

Mpaka mseme...
 
Dunia sasahivi ilipofikia ni kwamba kama unaona Unajiweza na Una kaadui kanakusumbua Unatafuta sababu Unakatwanga tu na Hakuna cha UN wala nini anaweza kufanya chochote zaidi ya Kubweka bweka tu.

NOTE :- Hakikisha Unajiweza Lakini.
 
Back
Top Bottom