Alokifanya Israel ni uvunjaji wa sheria za kimataifa na si kitendo cha kushangilia.Waarabu wajinga sana, Qatar hatajibu
Wao sheria za kimataifa haziwahusuAlokifanya Israel ni uvunjaji wa sheria za kimataifa na si kitendo cha kushangilia.
Pia huwezi kumshambulia mpatanishi ambae yuko kwenye mazungumzo na adui yako.
Israel hapa kachemsha big time ukizingatia kuwa viongozi wote wa ujumbe wa Hamas ukiongozwa na Dr Khalil Dal Ayya wote wako salama.
Ni kweli kwani sasa Dunia haina usalama nchi yoyote yaweza kufanya lolote.Wao sheria za kimataifa haziwahusu
Hawa mbwa vichaa wawili tramp na netanyahu wataiangamiza dunia isipoangalia.Mpaka sasa hajajulikana ni viongozi wangapi walikuwemo ndani jengo Hilo la makao makuu mjini DOHA.
Kwa habari
Kile kipigo kilichoenda Kwa wahouthi na Kufa Kwa mawaziri wake nahisi inaenda kutokea Leo , Acha tusubiri tuone ni vifo vingapi vimetokeaWho are the Hamas leaders in Qatar?
Khalil al-Hayya
Khaled Mashal
Muhammad Ismail Darwish
Zaher Jabarin
Jeshi la Ulinzi la Israel limethibitisha kuwa kwa kushirikiana na shirika la usalama wa ndani, Shin Bet, jeshi lake la anga limefanya jaribio la kuwaua viongozi wa juu wa Hamas katika mji mkuu wa Qatar.
Lilisema kuwa wanachama wa Hamas (ambao majina yao hayakutajwa) waliolengwa wameongoza shughuli za kundi hilo kwa miaka mingi, na kuongeza kuwa litaendelea kuchukua hatua ili “kuilishinda taasisi ya kigaidi ya Hamas.”
----
UN SG anashindwa kukemea na hao wenye nguvu ndio wanaamua wapi wapige kwa wakati gani, matokeo yake wanajiona hawaguswi na sheriaNi kweli kwani sasa Dunia haina usalama nchi yoyote yaweza kufanya lolote.
Siku Dar-es-salaam ikipigwa mabomu bila majibu kuwatafuta Alshabab au magaidi wengine utaelewa.
Unhinged and out of control, washakuwa gangsters popote wanapiga na hamna wa kuwagusa. Hii miaka 4 ijayo itakuwa na tabu huko kote. Kesho Venezuala naye anakula kichapoHawa mbwa vichaa wawili tramp na netanyahu wataiangamiza dunia isipoangalia.
Nimefurahi sanaMpaka sasa hajajulikana ni viongozi wangapi walikuwemo ndani jengo Hilo la makao makuu mjini DOHA.
Kwa habari
Kile kipigo kilichoenda Kwa wahouthi na Kufa Kwa mawaziri wake nahisi inaenda kutokea Leo , Acha tusubiri tuone ni vifo vingapi vimetokeaWho are the Hamas leaders in Qatar?
Khalil al-Hayya
Khaled Mashal
Muhammad Ismail Darwish
Zaher Jabarin
Jeshi la Ulinzi la Israel limethibitisha kuwa kwa kushirikiana na shirika la usalama wa ndani, Shin Bet, jeshi lake la anga limefanya jaribio la kuwaua viongozi wa juu wa Hamas katika mji mkuu wa Qatar.
Lilisema kuwa wanachama wa Hamas (ambao majina yao hayakutajwa) waliolengwa wameongoza shughuli za kundi hilo kwa miaka mingi, na kuongeza kuwa litaendelea kuchukua hatua ili “kuilishinda taasisi ya kigaidi ya Hamas.”
----
Guterez nae hana cha kusema hana kauli kwani jengo ambalo limeshambuliwa ni la UN.Greater Israel hiyo inaendelea
UN SG anashindwa kukemea na hao wenye nguvu ndio wanaamua wapi wapige kwa wakati gani, matokeo yake wanajiona hawaguswi na sheria
Mara ngapi Israel imekiuka maazimio ya UN Security Council lakini US inamkingia kifua
Piga huko huko kwenye kobazi zingine zinazosapoti kobazi zingineWalichokifanya Israel sio jambo zuri na linatishia usalama wa eneo zima la mashariki ya kati
Qatar ni mshirika wa U.S na kuna kambi yake U.S hapoIsrael mmmmh inamaana miundombinu yote ya Qatar kashindwa ona mashambulizi?
Guterez nae hana cha kusema hana kauli kwani jengo ambalo limeshambuliwa ni la UN.
Waarabu wenyewe wamegawanywa hawawezi hata kutumia ile joint air defence pact walowekeana kitambo huo nyuma.
UAE nao ni wanafiki kwani wamerudisha mahusiano na Israel.
Hamas wawaachie mateka vita iishe bila hivyo hii vita haitoisha mileleGuterez nae hana cha kusema hana kauli kwani jengo ambalo limeshambuliwa ni la UN.
Waarabu wenyewe wamegawanywa hawawezi hata kutumia ile joint air defence pact walowekeana kitambo huo nyuma.
UAE nao ni wanafiki kwani wamerudisha mahusiano na Israel.
Hawa Hamas wakiwa China IDF itaweza kuwashambulia huko ?Israel inalazimisha makubaliano ya kuacha vita au inakushambulia ukiwa popote.
Qatar sina imani nao sana huwa ni wanafiki kama UAE, sidhani kama hawakuwa na njia za kugundua au kuzuia jeshi la anga la Israel. Kitendo cha kutishia tu wangefanya IDF isite kushambulia maana of course ingeweza ila kidiplomasia ingeharibu.
Qatar wana Rafale, Eurofighter Typhoon na especially F-15 latest variant ambayo hata Israel imeagiza version yake. Air defence systems wanazo, sio wa kushambuliwa bila kuzungumza nao. Hapa watalalamika to save face.
Hii miaka miwili Israel inatafuta maadui kwa udi na uvumba. Sio serikali ya Iran, sio Hamas, Hezbollah, Houthi.
Netanyahu ameamua abebe lawama asafishe njia kwa atakayefuata ambaye atakuja na diplomasia kupoza upepo kusubiri maadui wajijenge upya kwa tabu.
Hakuna mateka hiyo mateka yatumika tu kwa sababu za propaganda.Hamas wawaachie mateka vita iishe bila hivyo hii vita haitoisha milele