Israel yashambulia makao makuu ya viongozi wa Hamas nchini Qatar

Israel yashambulia makao makuu ya viongozi wa Hamas nchini Qatar

1000128034.png


There is no way Iran itaweza kuishinda Israel, inaonekana Mossad wamejipenyeza ndani sana ndani ya Iran... Yaani hapa ndipo Israel ipata intel
 
Waarabu wajinga sana, Qatar hatajibu
Uhusiano kati ya Israel na Waarabu chini ya mshirika wake mkuu (Marekani) ni kuifanya Israel kuwa taifa lenye nguvu sana huku likijiamulia lolote lile kwa maslahi yake bila kujali sheria za kimataifa na territorial integrity ya mataifa ya Kiarabu. Ndio maana Israel inafanya chochote kwa assurance ya Marekani.

Hawa waarabu hawawezi jibu chochote kwanza wanalindwa na Marekani ambaye ndio mpanga mipango na mtoa silaha zote wa Israel.

Hapo mashariki ya kati ni muajemi tuu ndio bado hajasalimu amri kwa Marekani na Israel yake, wengine wote Israel inajifanyi itakalo bila madhara kwake.
 
Warning ya Trump juzi warudishe mateka wote na hakuna mazungumzo zaidi ndiyo hiyo. Jana Netanyahu alisema anamaliza kiini cha mgogoro, kwa hiyo US na Israel wamehusika wote maana hata air defence zao wamezima


Hapo Israel ameua negotiation team yote maana yake hakuna ceasefire na ground operations zinaendelea kuifuta Gaza
Safi kabisa.
 
Dunia sasahivi ilipofikia ni kwamba kama unaona Unajiweza na Una kaadui kanakusumbua Unatafuta sababu Unakatwanga tu na Hakuna cha UN wala nini anaweza kufanya chochote zaidi ya Kubweka bweka tu.

NOTE :- Hakikisha Unajiweza Lakini.
U.N ilishajifia tangu iliposhindwa kuzuia WW2. UN is a barked dog without teeth
 
Saudi
Kuwait
Iraq
Hao wote wameruhusu hili litokee, maana Israel asingefika Qatar bila kupita Saudi, Kuwait.

Qatar kaamua wachoma tu maana wao kila pendekezo hawataki

Israel hana hypersonic land launched hivyo F35 zimeenda
Hao wote wanapewa amri na US ndege na drones zao zinapita kutokea base mojawapo za karibu. Kwa Air defence za Qatar bila msaada wa US Israel waisngepiga
 
Israel wanajisumbua tu haitawahi kuja kuyamaliza makundi yote yanayowapinga zaidi wanaongeza maadui.

Hapo Middle East wataishi kwa taabu sana
 
Warning ya Trump juzi warudishe mateka wote na hakuna mazungumzo zaidi ndiyo hiyo. Jana Netanyahu alisema anamaliza kiini cha mgogoro, kwa hiyo US na Israel wamehusika wote maana hata air defence zao wamezima


Hapo Israel ameua negotiation team yote maana yake hakuna ceasefire na ground operations zinaendelea kuifuta Gaza
Hivi tangu Israel na Marekani wameanza kusema mateka waachiliwe na kushambulia viongozi wa ngazi za juu wamefanikiwa?

Inakuwaje wanafahamu sehemu viongozi walipo wanashindwa kufahamu mateka walipo?

Mossad michosho sana
 
Hamas wawaachie mateka vita iishe bila hivyo hii vita haitoisha milele
Mkuu kwani kule Israel ina mateka wangapi wa kipalestina?

Nani alikuambia kuwa malengo ya Israel ni kupata mateka then vita iishe?
 
Mambo ya kwenu Tanzania yamewashinda kutwa kuwafuatilia wanaume wenzetu wakubwa jinga

Mkunga wa jadi
Potosi street house number 3600, Madison, Wisconsin
 
Hawa Hamas wakiwa China IDF itaweza kuwashambulia huko ?

Japo foreign policy ya China kizungumkuti
China huwa haikubaliani na hostages na political asylum labda cheap labour wa North Korea, hawawezi wabeba Hamas.

Ni sera ya Qatar kutaka kuonekana mbele ya ulimwengu wa Kiislamu kama superpower fulani wa kukimbiliwa, China haina interest yoyote na Waislamu wala haitaki hekaheka nao kumbuka Uyghurs inawadhibiti wawe Waislamu waumini sio wenye itikadi wala wanaoungana na Waislamu wengineo duniani.

Kwanza China inafaidika na Israel kuliko Palestina, Lebanon, Yemen na Iran. Iran ndio inafaidika na China kwa kuiuzia mafuta mengi vile hawajali sanctions ingawa wananunua kwa bei ndogo.

Kwa sasa maadui wa Israel hawana pa kukimbilia, hawana frontline state wala powerful ally wa kuwalinda. Inaonekana Israel inataka iwakatishe tamaa popote inawafuata bila kujali mtaionaje.
 
Hivi tangu Israel na Marekani wameanza kusema mateka waachiliwe na kushambulia viongozi wa ngazi za juj wamefanikiwa?

Inakuwaje wanafahamu sehemu viongozi walipo wanashindwa kufahamu mateka walipo?

Mossad michosho sana
Lengo kuu ni kuifuta Palestina kwenye ramani, hizo nyingine ni agenda ndogo tu. West Bank walowezi wanateka ardhi na kuua Wapalestina ili waondoke. Baada ya tukio la Jerusalem jana sasa vita rasmi inahamia huko
 
Israel mmmmh inamaana miundombinu yote ya Qatar kashindwa ona mashambulizi?

IRAN WALIONA? HAWA JAMAA TUKIWAAMBIA TU JAMANI MTUONDOLEE HILI TUTUSA HAPO 👆 LINAONDOLEWA NDANI YA MASAA 24
 
Lengo kuu ni kuifuta Palestina kwenye ramani, hizo nyingine ni agenda ndogo tu. West Bank walowezi wanateka ardhi na kuua Wapalestina ili waondoke. Baada ya tukio la Jerusalem jana sasa vita rasmi inahamia huko
Kwa akili zako unafikiri hilo watafanikiwa kuifuta Palestina isiwepo?​
 
China huwa haikubaliani na hostages na political asylum labda cheap labour wa North Korea, hawawezi wabeba Hamas.

Ni sera ya Qatar kutaka kuonekana mbele ya ulimwengu wa Kiislamu kama superpower fulani wa kukimbiliwa, China haina interest yoyote na Waislamu wala haitaki hekaheka nao kumbuka Uyghurs inawadhibiti wawe Waislamu waumini sio wenye itikadi wala wanaoungana na Waislamu wengineo duniani.

Kwanza China inafaidika na Israel kuliko Palestina, Lebanon, Yemen na Iran. Iran ndio inafaidika na China kwa kuiuzia mafuta mengi vile hawajali sanctions ingawa wananunua kwa bei ndogo.

Kwa sasa maadui wa Israel hawana pa kukimbilia, hawana frontline state wala powerful ally wa kuwalinda. Inaonekana Israel inataka iwakatishe tamaa popote inawafuata bila kujali mtaionaje.
Next stop ni Turkey maana Erdoğan anapiga mdomo sana acha nae afikiwe tutaona kweli ni mdomo tu au nae anaweza jitikisa kama Iran
 
Kwa akili zako unafikiri hilo watafanikiwa kuifuta Palestina isiwepo?​
Huo ni utoto, acha ushabiki tuzungumzie hoja kisomi hatuzungumzii akili zangu wala zako. Na sio akili zangu, ni malengo yao ya muda mrefu,
Ref: the Greater Israel plan
 
Next stop ni Turkey maana Erdoğan anapiga mdomo sana acha nae afikiwe tutaona kweli ni mdomo tu au nae anaweza jitikisa kama Iran
Turkiye, Iran, Jordan, Egypt, Saudi Arabia anamalizia ba hao wadogo UAE. , Bahrain na Qatar akijumlisha wanapata hiyo Greater Israel ya “ahadi”
 
Huo ni utoto, acha ushabiki tuzungumzie hoja kisomi hatuzungumzii akili zangu wala zako. Na sio akili zangu, ni malengo yao ya muda mrefu,
Ref: the Greater Israel plan
Haya leta hoja ya kisomi ya kupotea kwa Palestina
 
Back
Top Bottom