Israel yashambulia makao makuu ya viongozi wa Hamas nchini Qatar

Israel yashambulia makao makuu ya viongozi wa Hamas nchini Qatar

Tukisema akili kisoda mna mind ona ulicho andika mvaa kipedo
Sa we ndio una akili hahaha nini mana ya makao makuu. Hamas ma commanders wake wote wako Gaza na makao makuu yake yako Gaza, plan zakupiga zinafanywa kule hao waliopo Qatar ni wale wanao negotiate kuhusu mambo ya siasa labda muite Political Headquarter hapo sawa, au kwa kiswahili mseme makao makuu ya siasa lakini mkisema makao makuu yako Qatar mtakuwa machizi tu.

Ndio siku zote lazima mtu anapo ongea point afikirie kabla ya kuongea.
 
Qatar ni moja ya jamii zenye watu wajinga kifikra au watu wavivu kujifunza.

Qatar ilipopata hela nyingi sana iliamua kununua magari ya kifahari na kujenga majengo ya kifahari, akaacha kujiendeleza kielimu mwisho wake hawana watu wajuzi wala wenye hali ya kujenga jeshi lako.

Israel na Iran Ndio wapinzani hasa, hawa wote wamewekeza kwenye human capital na future ya vizazi 100
We bakii na ujinga kwanza nani kakuambia Qatar haisomeshi watu wake sijui ulisha fika Qatar au unapasikia tu. Wangekuwa wa Qatar sio wasomi wasinge kuwa wana investing pesa zao nchi za nje na wanaingiza Mabillioni huyo unaye msifu mwenye akili Israel anategemea misaada hahaha
 
Hawa wayahudi wenu dawa yao ipo soon wao waendele tu. Sifurahishwi nakile kinacho wapata watoto wasio jua lolote, the day come when they ll be rubbed away the surface of earth, once ll hide back the stone, the stone ll say hey come here there is someone hide on back, stay aware and far to be safe

Fullstop, kwishaaa
Israel kachokoza pabaya sana Qatar anaweza kuisambaratisha Israel vibaya sana, kwa kuwapa silaha Syria akawambia kianzisheni huko, we huoni Trump kakimbia kusema Israel haitagusa tena Qatar hahaha

Hakuna kitu hatari duniani kama pesa.
 
So sad bad Mistake ever, they will pay it hamna cha kuomba msamaha, too much pain they have make in dis world they need to pay blood tears, and hard sweat, it is strong pains

Young money, kwishaaaa
 
Israel kachokoza pabaya sana Qatar anaweza kuisambaratisha Israel vibaya sana, kwa kuwapa silaha Syria akawambia kianzisheni huko, we huoni Trump kakimbia kusema Israel haitagusa tena Qatar hahaha

Hakuna kitu hatari duniani kama pesa.
Dua la kuku ili shekhe
 
Basi kama hujui Qatar imewahi kuwekewa vijana na nchi za Kiarabu karibu zote sababu ya Kussport Ugaidi
 
We bakii na ujinga kwanza nani kakuambia Qatar haisomeshi watu wake sijui ulisha fika Qatar au unapasikia tu. Wangekuwa wa Qatar sio wasomi wasinge kuwa wana investing pesa zao nchi za nje na wanaingiza Mabillioni huyo unaye msifu mwenye akili Israel anategemea misaada hahaha
Mdogo wangu ngoja nikwambie tofauti ya Israel na Qatar

Israel ina GDP kubwa sana kuliko Qatar, lakini Wayahudi wana nidhamu kubwa ya Hela ndio maana wao hawainvest kwenye skyscrapers na kununua magari ya kifahari badala yake wana investment kwenye technology, science na Elimu kwa Ujumla...

Wanaishi maisha modest...
 
If united State quit only for one second, Israel will change to desert,

Hustler & Young money, kwishaaaaa
 
Madogo wangu ndio mana tunaomba omba msada USA, afu USA anaomba omba kwa yule unaye mcheka 🤣
 
Basi kama hujui Qatar imewahi kuwekewa vijana na nchi za Kiarabu karibu zote sababu ya Kussport Ugaidi
Hamna lolote hao UAE, Saud Arabia, Baharain na Morocco walikuwa wanataka kuipundua serekali ya Qatar walipo failed wakaipiga sunction walipo failed wakarudi kujibembeleza kwa Qatar.
 
Israel kachokoza pabaya sana Qatar anaweza kuisambaratisha Israel vibaya sana, kwa kuwapa silaha Syria akawambia kianzisheni huko, we huoni Trump kakimbia kusema Israel haitagusa tena Qatar hahaha

Hakuna kitu hatari duniani kama pesa.
Labda kama huupendi utawala wa Qatar kuendelea madarakani hawa wehu wa Qatar waliowakaribisha mbwa wa Israel[Marekani] kuweka kambi yao hapo ndio wanaweza kuwa tishia chochote Israel hao Qatar hawana cha kuifanya Israel.

Pale M.E ni Iran pekee anaweza kuikoromea Israel naye sio mwarabu lakini waarabu wote waliobaki ni mbwa wa Israel.
 
 - Sputnik International, 1920

Why Did Qatar's Air Defenses Fail During Israel's Attack?​

46 minutes ago
US soldier uses a pair of binoculars to scans the landscape around his Patriot Missiles based at Al Udeid AB, Qatar - Sputnik International, 1920, 10.09.2025

The missiles fired by Israel could have been intercepted by Qatar's US Patriot systems. Russian military expert Yuri Knutov weighs in: the Patriots were simply turned off by the US.

Patriots Offline​

"The main feature of these systems is their close integration with airborne early warning and control aircraft (AWACS), satellites, and command centers that provide targeting data," Knutov tells Sputnik. "In addition, they have a [remote] shutdown feature to prevent accidental friendly fire."

This shutdown feature is problematic: Turkiye refused to purchase the Patriot specifically because the American side could disable these systems at any moment, and therefore preferred the S-400, according to the pundit.

US Didn’t Defend Qatar​

Apart from using Patriots, Qatar hosts the US’ largest military base in the Middle East.

"According to the agreement between Qatar and the US, the Americans were, of course, supposed to defend Qatar’s airspace by opening fire on Israeli aircraft. However, this did not happen," Knutov says.

The US military knew about the incoming Israeli aircraft yet took no action, effectively allowing them to operate freely against the Hamas delegation invited to Qatar for negotiations. The US was fully aware of this.

Arab countries — and not just them — should take note: wherever US Patriots are used, the US can disable them at any moment, leaving their skies completely defenseless.

US Always Sides With Israel​

"This is undoubtedly a scandalous situation, given that Qatar is a close US ally and had promised to invest billions in the American economy," Knutov says. "The Americans warned Qatar of the attack only ten minutes after it had taken place."
 
Mdogo wangu ngoja nikwambie tofauti ya Israel na Qatar

Israel ina GDP kubwa sana kuliko Qatar, lakini Wayahudi wana nidhamu kubwa ya Hela ndio maana wao hawainvest kwenye skyscrapers na kununua magari ya kifahari badala yake wana investment kwenye technology, science na Elimu kwa Ujumla...

Wanaishi maisha modest...
Yeah, jamaa wameivest mno katika Elimu na Tech. Hawahitaji show off za kipumbavu ila wamekazania kuijenga kesho yao na kizazi chao.
 
If united State quit only for one second, Israel will change to desert,

Hustler & Young money, kwishaaaaa
Kwani Marekani imekuwa super power lini? Toka enzi na enzi Israel ilikuwa ikipigana vita, inashinda na inapigwa pia.

Hata leo USA akiondoka, bado Israel inaweza kupambana na maadui zake.
 
Kwani Marekani imekuwa super power lini? Toka enzi na enzi Israel ilikuwa ikipigana vita, inashinda na inapigwa pia.

Hata leo USA akiondoka, bado Israel inaweza kupambana na maadui zake.
Go to check a video shows, when Jews were back to their land, see how Palestinian were welcome them with more 💕 and see to day what they harvest bro, so sad, too much and expensive pain

Fullstop, kwishaaaa
 
Back
Top Bottom