T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Erdogan huwa muongeaji sana ila vitendo kidogo kwenye Palestinian cause. Wakienda kule labda pressure ya Marekani au NATO, otherwise Israel hana uwezo wa kushambulia target ndani ya Uturuki.Next stop ni Turkey maana Erdoğan anapiga mdomo sana acha nae afikiwe tutaona kweli ni mdomo tu au nae anaweza jitikisa kama Iran
Kumbuka Uturuki hawa walitunishiana misuli na Russia kule Syria ikabidi wakubaliane waheshimiane. Uturuki ilianza kwa kuangusha Su-25 ya Urusi kwa kutumia F-16 maana Warusi walikuwa na tabia ya kukatisha kienyeji kwenye anga la Uturuki mpakani.
Uturuki hawapendi kukaa kinyonge na uwezo wanao wale sio Iran.