Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

na uhuru ukapata mwaka 1905 ? mifano iwe na uhalisia , ww unatoa mifano ya ajabu ilihali ww usingeweza mudu hali maisha ya Gaza ya sasa

KUWENI NA HURUMA JAMANI
Sijui una miaka mingapi, ningejua ningekujibu kirefu. Ila pata muhtasari huu:
Nchi pekee isiyotawaliwa Afrika ni Ethiopia. Hii ni kutokana na Wa-Ethiopia kuwashinda wakoloni waliokuja huko na kutaka kuitawala Ethiopia.
Kama Wangoni wangewashinda wajerumani na wakoloni wengine ambao wangejaribu kuja baadae, kusingekuwa na sababu ya kudai uhuru. Maana tusingekuwa na mkoloni.
Safari ya kudai uhuru kwa Wa-Palestina imeanza miaka 75 iliyopita na sio okt 7. Wake up!
 
Kitu kimoja umeshindwa kutofautisha ni huo uhuru wa hizo nchi na Israel. Kule Israel hata kabla hawajaja wayahud hao wakimbiz wa ulaya walikuwepo wayahud wa asili wakiishi na waarabu so pale myahud anapigana vita ya jihad ni either afe afutike au abaki kama taifa.
1. Tofautisha kati ya Israel na Palestina.
2. Sijui maelezo yako yanalenga Israel au Palestina.
Kifupi, wayahudi wanaishi na waarabu katika nchi nyingi tu za kiarabu (Jordan, Saudi Arabia, Morocco, Misri N.K), na wala hakuna matatizo. Ndani ya Israel kuna waarabu wengi tu.
"(update states that the overall population will reach 10 million by the end of 2024.
Regarding the Jewish and Arab populations, the former at the end of last year was 7.2 million, or 73.2% of the overall population. The Arab population constitutes 21.1% of the entire population and comes up to nearly 2.1 million. The population by religion saw that 18% of the country was Muslim, 2% Christian, and 2% Druze"). Chanzo: Jerusalem post- Israel news (www.jpost.com)
3.
Tatizo ni Zionism. Kasome idiolojia zao.
apigana vita ya jihad ni either afe afutike au abaki kama taifa. So njia nzur sio waliotumia Hamas ambao viongoz wao wanakula bata huko dunian ila kukubaliana namna ya kuishi vinginevyo kila siku kichapo tu mpaka akili ziwakae
Sijakuelewa unachotaka kueleza. Sijui umejikita kwa Israel au Palestina? Ningekujibu vizuri kama ningekuelewa.
Hata hapo South Africa walikubali kukaa maisha yakatokea sio kila unachohtaji huku dunian utakipata chief.
Rejea Oslo agreement. Hapa utaelewa mazungumzo yameendelea kwa miaka mingapi. Rejea hata msimamo wa Rafiki zao Amerika juu ya utatuzi wa kudumu wa mgogoro huo " Two states solution". Hata Joe Biden amelirudia hilo mara kwa mara. Pili S. Afrika njia waliopitia haitofautiani na hii ya Hamas. Jiulize kwanini Mandela alifungwa.
Red Indian na hata aboriginal kule Australia na America walikubali maisha wanaendelea. Unapambana na mtu ambae amezaliwa hapo na aliyempigania ni babu yake unataka aende wapi?
Fuatia historia juu ya wahamiaji walivyowafanya Red Indians. Pengine hujui kama Red Indians walipigania nchi yao na wengi sana waliuliwa kama sisimizi. Ushauri: Usiangalie matokeo, soma mchakato mpaka kufikia hapo palipofika. Pili soma vitabu au hata angalia picha za uvamizi dhidi ya Red Indians. Hakuna mkataba wowote ule uliofanywa kati ya Red Indians na Serikali ya Marekani. Hakukuwa na mazungumzo hata siku moja.
Hawa jamaa wanasukumwa zaid nawaislam kwaajili ya al Aqsa nothing more
Nimesikitishwa na neno "Nothing more". Unazungumzia wapalestina milioni 5, ambao kwa mawazo ya Nitanyau anataka kuwahamishia DR Congo. Unaelewa maana yake. Sina hoja!
 
1. Tofautisha kati ya Israel na Palestina.
2. Sijui maelezo yako yanalenga Israel au Palestina.
Kifupi, wayahudi wanaishi na waarabu katika nchi nyingi tu za kiarabu (Jordan, Saudi Arabia, Morocco, Misri N.K), na wala hakuna matatizo. Ndani ya Israel kuna waarabu wengi tu.
"(update states that the overall population will reach 10 million by the end of 2024.
Regarding the Jewish and Arab populations, the former at the end of last year was 7.2 million, or 73.2% of the overall population. The Arab population constitutes 21.1% of the entire population and comes up to nearly 2.1 million. The population by religion saw that 18% of the country was Muslim, 2% Christian, and 2% Druze"). Chanzo: Jerusalem post- Israel news (www.jpost.com)
3.
Tatizo ni Zionism. Kasome idiolojia zao.

Sijakuelewa unachotaka kueleza. Sijui umejikita kwa Israel au Palestina? Ningekujibu vizuri kama ningekuelewa.

Rejea Oslo agreement. Hapa utaelewa mazungumzo yameendelea kwa miaka mingapi. Rejea hata msimamo wa Rafiki zao Amerika juu ya utatuzi wa kudumu wa mgogoro huo " Two states solution". Hata Joe Biden amelirudia hilo mara kwa mara. Pili S. Afrika njia waliopitia haitofautiani na hii ya Hamas. Jiulize kwanini Mandela alifungwa.

Fuatia historia juu ya wahamiaji walivyowafanya Red Indians. Pengine hujui kama Red Indians walipigania nchi yao na wengi sana waliuliwa kama sisimizi. Ushauri: Usiangalie matokeo, soma mchakato mpaka kufikia hapo palipofika. Pili soma vitabu au hata angalia picha za uvamizi dhidi ya Red Indians. Hakuna mkataba wowote ule uliofanywa kati ya Red Indians na Serikali ya Marekani. Hakukuwa na mazungumzo hata siku moja.

Nimesikitishwa na neno "Nothing more". Unazungumzia wapalestina milioni 5, ambao kwa mawazo ya Nitanyau anataka kuwahamishia DR Congo. Unaelewa maana yake. Sina hoja!
Hakujawah kuwa na nchi inayoitwa palestina Chief. Hilo eneo ndio liliitwa palestina territory sio nchi na ndani yake walikuwepo waarabu na wayahud na mabedui na Samarian. Sasa wakati wayahud wanataka kuanzisha taifa lao waarabu wakakataa nchi kugawanywa. Walishapewa option zote huko nyuma pawe na mataifa mawili wakakataa. Na hata leo hii ndan ya Israel wapo waisrael waarabu hawana shida. Shida waarabu wanawaita wayahud ni wakuja lakini hawasemi ukweli kuwa walikuwepo Jews b4 hawajaja hao migrate wa kiyahud kutoka ulaya. So njia bora ni kukubali muishi wote pamoja kwa aman ila hawa waarabu hawataki na ndio nembo ya Hamas inavyosema. Ndio maana nikakuambia america Australia Canada na hata South Africa. Kote kulikuwa na vita vya kupinga wagen lakin mwishoni walikaa mezan wamekubali kuishi pamoja maisha yaende. Sasa kila wakat Hamas anarusha makombora Jews wanaua wengi then unarusha tena wanaua wengi tena then what. Sio kila haki inadaiwa mzee nyingine unajipotezea muda tu.
 
Kumbe upo mbali sana. Sasa umejipambanua ueleo wako. Nilivyoandika Israel na Palestina nilifikiri umenielewa. Subiri! Twende pole pole, tutaelewana tu.
Tuanzie hapa:
1. Benjamin Nitanyahu ni waziri mkuu wa nchi gani?
2. Mahmoud Abas ni Rais wa wapi?

Ukipenda kufunguka na kujibu sahihi maswali hayo utanirahisishia sana. Hapa sitakujibu mimi bali ngoja twende kwenye vyanzo.
Wikipedia
https://en.wikipedia.org › wiki › Benjamin_Netanyahu

"Benjamin Netanyahu is an Israeli politician who has been serving as the prime minister of Israel since 2022,"

"Last month the president of the Palestinian Authority, Mahmoud Abbas, flew to the Qatari capital, Doha, for talks on securing a ceasefire in the war in Gaza." Chanzo: Sidelined over Gaza war, Mahmoud Abbas faces growing calls to quit.

Kwa hiyo kuna nchi inaitwa Israel na ina eneo lake. Halafu kuna Palestinian Authority ina eneo lake na Rais wake. Usichanganye habari, na kama tunaelewana tuanzie hapo. Hata Tanzania tuna balozi wa Palestina. Inaweza ikakushangaza, ndio maana nilikumba ukasome Oslo Agreement.
 
We kumbe boya nilifikiri naongea na mtu muelewa kumbe hakuna kitu. Mi nimekuambia historia ilivyo hakujawah kuwa na nchi inayoitwa palestina. Hilo eneo limetawaliwa na tawala nyingi tofaut tofauti kwa nyakati tofauti na kwa majina tofauti. So turud kwenye hoja yako. Ili nchi iitwe nchi unafikiri inahtaji itambuliwe wapi? Tofautisha mamlaka ya ndani ya kiutawala na jina nchi wewe. Yaani kwa akili yako Zanzibar ni nchi au Hong Kong au Macau u Taiwan au western Sahara. Hizi ni mamlaka za ndani za kiutawala na ndio maana palestina wanapigania nao nchi yao itambuliwe. Habar za Oslo agreement ni kati ya Israel na hiyo mamlaka itakavyojiendesha na utaratibu wake wa Kodi nk. Ili uwe nchi lazima utmbuliwe ndan ya umoja wa mataifa. Cjui hata kama umewah kufika Israel na ukazitembelea hizo eneo tofauti ukaona jins zinavyojiendesha? Narudia kukuambia hakujawah kuwepo palestina kma nchi lile eneo la kiutawala ambalo ndani yake walikuwepo waarabu na wayahud na mabedui na Samarian nk. Na ndio maana nikakuambia nitajie rais wa kwanza wa palestina ninani? Katika nyakati tofauti walitawala Ottoman empires,makhalifa, mamluk, Persian, n tawala za Israel na Canaanites. Sasa mshipa usikutoke saana mjomba. Kila mtu pale ana haki hutaki wacha kichapo kiendelee. Eti palestina wana baloz Tanzania kwa elimu yako hiyo inatosha kuwapa uhalali wa kuitwa nchi sio. Hiv unajua Taiwan ni nchi ngapi zinaitmbua kama nchi? Je ilishawah kutambulika kama nchi kweli kwenye umoja wa mataifa au kwenye hizo nchi? Rudi darasani Chief.
 
Sijui una miaka mingapi, ningejua ningekujibu kirefu. Ila pata muhtasari huu:
Nchi pekee isiyotawaliwa Afrika ni Ethiopia. Hii ni kutokana na Wa-Ethiopia kuwashinda wakoloni waliokuja huko na kutaka kuitawala Ethiopia.
Kama Wangoni wangewashinda wajerumani na wakoloni wengine ambao wangejaribu kuja baadae, kusingekuwa na sababu ya kudai uhuru. Maana tusingekuwa na mkoloni.
Safari ya kudai uhuru kwa Wa-Palestina imeanza miaka 75 iliyopita na sio okt 7. Wake up!
Katika aridhi hiyo ambayo wapalestina wanadai ni yao, ilikua yao tangu wakati GANI?
Kwani mwanzoni kabisa kulikuwepo na Wakanaani ambao Ibrahim aliwakuta Hapo. Je hao Wakanaani ndio hao wapalestina?, Baada ya wayahudi kwenda Misiri walirudi Hapo na baadaye katka vita mabalimbali za Wababeri , akina Othomani hawa watu Wayahudi walikimbia na kutawanyikia sehemu mabalimbali duniani na baadaye walianzakurudi Hapo toka mataifa mbalimbali walikokimbilia, Je hawa Wapalestina waliingia lini mpaka Hapo pawatoe maisha yao kwamba wanadai uhuru wa ardhi yao? .
Mwenye jibu pls
 
Kumbe upo mbali sana. Sasa umejipambanua ueleo wako. Nilivyoandika Israel na Palestina nilifikiri umenielewa. Subiri! Twende pole pole, tutaelewana tu.
Tuanzie hapa:
1. Benjamin Nitanyahu ni waziri mkuu wa nchi gani?
2. Mahmoud Abas ni Rais wa wapi?

Ukipenda kufunguka na kujibu sahihi maswali hayo utanirahisishia sana. Hapa sitakujibu mimi bali ngoja twende kwenye vyanzo.
Wikipedia
https://en.wikipedia.org › wiki › Benjamin_Netanyahu

"Benjamin Netanyahu is an Israeli politician who has been serving as the prime minister of Israel since 2022,"

"Last month the president of the Palestinian Authority, Mahmoud Abbas, flew to the Qatari capital, Doha, for talks on securing a ceasefire in the war in Gaza." Chanzo: Sidelined over Gaza war, Mahmoud Abbas faces growing calls to quit.

Kwa hiyo kuna nchi inaitwa Israel na ina eneo lake. Halafu kuna Palestinian Authority ina eneo lake na Rais wake. Usichanganye habari, na kama tunaelewana tuanzie hapo. Hata Tanzania tuna balozi wa Palestina. Inaweza ikakushangaza, ndio maana nilikumba ukasome Oslo Agreement.
Samahani ndugu nakufuatilia ili nijifunze kitu toka kwako.
Naomba kujua ni nani ndiye MUHUSIKA wa eneo linalogombaniwa Kati ya Israel na Palestine.
Mataifa haya mawili yalijikutaje yakigombania eneo moja?
Wayahudi walitoka wapi na Wapalestina walitoka wapi?.
Habari za Wakanaani, Wababeri, Warumi na WaOthomani mwisho Waingereza zinahusianaje na hao ndugu wawili, wakati haya makundi yapo hapo Wayahudi/Israel na Wapalestina walikuwa wapi?
I need to understand pls
 
We kumbe boya nilifikiri naongea na mtu muelewa kumbe hakuna kitu. Mi nimekuambia historia ilivyo hakujawah kuwa na nchi inayoitwa palestina. Hilo eneo limetawaliwa na tawala nyingi tofaut tofauti kwa nyakati tofauti na kwa majina tofauti. So turud kwenye hoja yako. Ili nchi iitwe nchi unafikiri inahtaji itambuliwe wapi? Tofautisha mamlaka ya ndani ya kiutawala na jina nchi wewe. Yaani kwa akili yako Zanzibar ni nchi au Hong Kong au Macau u Taiwan au western Sahara. Hizi ni mamlaka za ndani za kiutawala na ndio maana palestina wanapigania nao nchi yao itambuliwe. Habar za Oslo agreement ni kati ya Israel na hiyo mamlaka itakavyojiendesha na utaratibu wake wa Kodi nk. Ili uwe nchi lazima utmbuliwe ndan ya umoja wa mataifa. Cjui hata kama umewah kufika Israel na ukazitembelea hizo eneo tofauti ukaona jins zinavyojiendesha? Narudia kukuambia hakujawah kuwepo palestina kma nchi lile eneo la kiutawala ambalo ndani yake walikuwepo waarabu na wayahud na mabedui na Samarian nk. Na ndio maana nikakuambia nitajie rais wa kwanza wa palestina ninani? Katika nyakati tofauti walitawala Ottoman empires,makhalifa, mamluk, Persian, n tawala za Israel na Canaanites. Sasa mshipa usikutoke saana mjomba. Kila mtu pale ana haki hutaki wacha kichapo kiendelee. Eti palestina wana baloz Tanzania kwa elimu yako hiyo inatosha kuwapa uhalali wa kuitwa nchi sio. Hiv unajua Taiwan ni nchi ngapi zinaitmbua kama nchi? Je ilishawah kutambulika kama nchi kweli kwenye umoja wa mataifa au kwenye hizo nchi? Rudi darasani Chief.
KAMA HUTAJALI NIJIBU PLS

Samahani ndugu nakufuatilia ili nijifunze kitu toka kwako.
Naomba kujua ni nani ndiye MUHUSIKA wa eneo linalogombaniwa Kati ya Israel na Palestine.
Mataifa haya mawili yalijikutaje yakigombania eneo moja?
Wayahudi walitoka wapi na Wapalestina walitoka wapi?.
Habari za Wakanaani, Wababeri, Warumi na WaOthomani mwisho Waingereza zinahusianaje na hao ndugu wawili, wakati haya makundi yapo hapo Wayahudi/Israel na Wapalestina walikuwa wapi?
I need to understand pls
 
KAMA HUTAJALI NIJIBU PLS

Samahani ndugu nakufuatilia ili nijifunze kitu toka kwako.
Naomba kujua ni nani ndiye MUHUSIKA wa eneo linalogombaniwa Kati ya Israel na Palestine.
Mataifa haya mawili yalijikutaje yakigombania eneo moja?
Wayahudi walitoka wapi na Wapalestina walitoka wapi?.
Habari za Wakanaani, Wababeri, Warumi na WaOthomani mwisho Waingereza zinahusianaje na hao ndugu wawili, wakati haya makundi yapo hapo Wayahudi/Israel na Wapalestina walikuwa wapi?
I need to understand pls

KAMA HUTAJALI NIJIBU PLS

Samahani ndugu nakufuatilia ili nijifunze kitu toka kwako.
Naomba kujua ni nani ndiye MUHUSIKA wa eneo linalogombaniwa Kati ya Israel na Palestine.
Mataifa haya mawili yalijikutaje yakigombania eneo moja?
Wayahudi walitoka wapi na Wapalestina walitoka wapi?.
Habari za Wakanaani, Wababeri, Warumi na WaOthomani mwisho Waingereza zinahusianaje na hao ndugu wawili, wakati haya makundi yapo hapo Wayahudi/Israel na Wapalestina walikuwa wapi?
I need to understand pls
Palestine na territory iliyotawaliwa kwa mara ya mwisho na great Britain.
Ndan yake ndimo walipo waarabu na Jews. Sababu za kihistoria ndizo zilizowafanya wawepo hapo. Ni Kama vile unavyowaona wazaramo wanatoka mjin wanakimbilia vijijin sisi tunaingia hiyo haimaanisha wazaramo wote wametoka mjin kwahiyo mji ni wa cc wakuja. Kinachotakiwa wakae chini wakubaliane namna ya kuishi vinginevyo mmoja asipomtambua mwingine ni moto tu hakuna namna.
 
We kumbe boya nilifikiri naongea na mtu muelewa kumbe hakuna kitu. Mi nimekuambia historia ilivyo hakujawah kuwa na nchi inayoitwa palestina. Hilo eneo limetawaliwa na tawala nyingi tofaut tofauti kwa nyakati tofauti na kwa majina tofauti. So turud kwenye hoja yako.
Punguza JAZBA! Twende pole pole, tutaelewana tu. Hakuna sehemu katika maandiko yangu nilipoitaja Palestina kama NCHI. Hakuna! Ambacho nilitaka kuweka wazi ni kutowachanganya wasomaji kutokana na maandiko yako yakiiweka Palestina (Gaza +west bank) kama sehemu ya Israel. Naomba tuwe pamoja kuwa Palestina (Gaza + West bank) sio sehemu ya Israel. Ni Palestin Authority yenye hadhi maalum, na wala usiilinganishe na hadhi ya Zanzibar, Hongkong n.k. Wala utawala wa Palestina hauwajibiki kwa Israel. Palestin Authority ina mipaka yake na Israel ina mipaka yake.
Ili nchi iitwe nchi unafikiri inahtaji itambuliwe wapi?
Ili uwe nchi lazima utmbuliwe ndan ya umoja wa mataifa
Habar za Oslo agreement ni kati ya Israel na hiyo mamlaka itakavyojiendesha na utaratibu wake wa Kodi nk.
Nashukuru umejibu suala la msingi juu ya Nchi kuitwa Nchi, na hapa ndio pahala pazuri kwetu kujikita.
Tuanze na Israel: Ni lini ilitambulika kama nchi katika umoja wa mataifa. Hii itaturahisishia kutorudi nyuma kihistoria ya Othman Empire, Warumi n.k.

"1947: The international community says YES to the establishment of the State of Israel. 29 november1947, the UN General Assembly voted on Resolution 181, adopting a plan to partition the British Mandate into two states, one Jewish, one Arab." Chanzo: Israel Ministry of foreign affair.​

"On November 29, 1947 the United Nations adopted Resolution 181 (also known as the Partition Resolution) that would divide Great Britain’s former Palestinian mandate into Jewish and Arab states in May 1948 when the British mandate was scheduled to end." Chanzo:Milestones: 1945–1952 - Office of the Historian.

Tukianzia hapa tutaelewana vizuri tu, kwani ninachokiona kikubwa katika hoja zako ni suala la wawili hao kukaa katika meza ya majadiliano na kupatana jinsi ya kuishi pamoja. Hapo tupo pamoja na wala sitofautiani nawe. Tuanzie hapa kama utaniruhusu badala ya kurudi miaka elfu moja nyuma.

Sote ni mashuhuda kuwa mjadala umekuwepo kwa zaidi ya miaka 70 mpaka sasa. Na umoja wa mataifa umepitisha Resolutions nyingi tu. Na mazungumzo yamejikita hapa "partition the British Mandate into two states, one Jewish, one Arab" ambayo ni maarufu kama TWO STATES SOLUTION. Mazungumzo yamekuwa si marahisi, lakini yamekuwepo na yataendelea kuwepo. Ndio maana Joe Biden amerudia mara nyingi kuwa anaamini katika Two states solution.

Na ili tuwe pamoja, nimejaribu mara kadhaa kukukumbusha ya makubaliano tofauti waliyofikia wawili hao ikiwa pamoja na Umoja wa mataifa na Oslo agreement. Ukisoma hayo yote utakuta mazungumzo makini ya makubaliano juu ya kuishi side by side. Hivyo Oslo Agreement sehemu muhimu sana na ni zaidi ya kodi.
 
Samahani ndugu nakufuatilia ili nijifunze kitu toka kwako.
Naomba kujua ni nani ndiye MUHUSIKA wa eneo linalogombaniwa Kati ya Israel na Palestine.
Mataifa haya mawili yalijikutaje yakigombania eneo moja?
Wayahudi walitoka wapi na Wapalestina walitoka wapi?.
Habari za Wakanaani, Wababeri, Warumi na WaOthomani mwisho Waingereza zinahusianaje na hao ndugu wawili, wakati haya makundi yapo hapo Wayahudi/Israel na Wapalestina walikuwa wapi?
I need to understand pls
Mgogoro wa Israel na Palestina ni wa muda mrefu sana. Kama tukianzia kwa Warumi, Othman Empire na hao wengine uliowaeleza, nafikiri hata muda wa kusoma hautatosha. Si hivyo tu bali hata Umoja wa mataifa haukuwepo wakati huo, kikiwa ndio chombo cha juu kilichoushikilia mgogoro huo na kujaribu kutafuta suluhisho

Kwa mawazo yangu na pale mgogoro ulipofikia ni vyema kuanzia pale Waingereza walipoishia. Hapo tutapata picha nzuri namna ya utatuzi wa mgogoro huu. Kwa maana hiyo, pale umoja wa mataifa uliporidhia kuundwa kwa taifa la Israel.
Soma toleo langu hapo juu #33, litakupa picha kiasi.
 
Hamas yavamia kikundi chenye msimamo mkali Doghumosh Clan Gaza city (13/3.2024) na kuua idadi kadhaa ya wapiganaji wao akiwemo kiongozi wao. Hamas walichukua hatua hii baada ya kikundi hicho kushutumiwa kuwa na mazungumzo na Israel. Hamas imeshawahi kuonya kuwa kikundi au mtu yeyote ndani ya Palestina atayeshirikiana na Israel atashughulikiwa.

Mpango wa afisa Usalama wa Israel "Shin Bet" ni kufanya mazungumzo na vikundi mbali mbali ndani ya Gaza, ili baada ya vita(kuitokomeza Hamas) kuigawanya Gaza na kuvipa vikundi hivyo jukumu la Usalama katika maeneo husika. Katika mpango huu Doghumush clan inatarajiwa kupewa Gaza kaskazini na kufanya kazi chini ya Israel.

Kikundi hiki kiitwacho "Army of Islam" ni kikundi shirikishi ndani/chini ya mwavuli wa Al-Qaida.

My take: Hapa Israel inaruka Mko...o na kukanyaga Mav. Eti unamkataa Hamas na unakwenda kumkumbatia Al-Qaida. Mwaka huu Israel imechanganyikiwa!

Chanzo: https://www.timesofisrael.com/hamas
Nukta muhimu hiyo kuwa wanajaribu kuisambaratisha Hamas kwa kuikumbatia Alqaida.
 
Wale Wapalestina Hawana Akili Kama wangetaka Uhuru Wanaoutaka wangesomesha Watoto Zao Shule wasomi wawe Wengi Na Maendleo Makubwa Ya Kila Kitu Kwenye Kilimo mambo Mengine Tena Majilani Zao Islaeri ndo Wangeenda Kuchukua Ujuzi Wa Kila wanachohitaji Alafu Uhuru Utakuja Tena Bila Kumwaga Damu Coz wakishawaona Mmesonga kimaisha Uhuru Ungekuja tuu Tena Wa Eshima Sio Sasa wanachofanya Ni Kujirudisha Nyuma Miaka 100 Nyuma Watu Wanateseka Vijana Wanakufa Ndoto Nyingi Vipaji Vingi Vinazikwa Kwa Ujinga Wa Watu Wachache (MUOMBE MUNGU AKUPE AKILI SIO NGUVU )
 
Back
Top Bottom