Hivi kua wakweli kabisa, nani kavunja makubaliano ya vita? Hamas or Israel? Madai ya Israel yapo wazi sana, realise our hostage, perido. Wewe hutaki, ukipigwq unamlaumu mpigaji? Well, hakuna siku katika historia ambayo Israel alianzisha uvamizi, always wao Palestine ndio waanzilishi, mwandishi kasahau uvamizi wa mwaka 2006 as well, that time it was Hizbollah na sio Hamas; kwa mazingira haya unailaumuje Israel? Israel inalaumiwa kwa KUJIBU, so ili Israel asilaumiwe ilitakiwa akivamiwa akae kimya asijibu?Hili ndo lengo lao toka zamani, kwa sasa kinachofanyika ni excuse tu.
Israel imevunja makubaliano yaliyositisha mapigano mwezi January ili ipate excuse ya kuendelea na jaribio lao la kuwafrastrate wapalestina mpaka waondoke Gaza.
Hahah Mbona ardhi waliisha chukua au wanaongelea huko wanakotaka kuwapeleka ukimbizini?
Ulichoandika ni habari za kusadikika mkuuMuda ndio mwalimu lkn mpango wao utazuiwa kutumia nguvu izo izo Wao wanataka kutumia kuitwaa Ardhi ya Palestina, !!!!
Israel imeshagundua uko mbele aitaweza tena kufanya Upolaji wa Ardhi
kwasababu Technologia kwasasa Wanayo wapinzani wake ivyo baada ya miaka 5 au 10 uwezi Jua Technologia itakuwa kwa atua ipi!!!!!
Lkn Bado kachelewa kwasasa Israel inapigika Tofaut na miaka ya nyuma japo waliweza kuzuiya makombora kwenye maeneo nyeti na muimu kwao !!!!
lkn kwasasa uwo uwezo awana wanapigwa popote kama wao wanavopiga apo Palestina !!!!
ndio mana Nasema Israel itakwamishwa na uwezo wa Kijesh kutoka nnje ya Palestina na ndani ya Palestina...!!!!
Israel inaficha kupigwa kwake ndio mn walipitisha Sheria Bungeni kuzuiya Habari vita !!!!
lkn inapigwa sana
nasasa kwa kutangaza mpango wao ndio kuusu Gaza vipigo navyo vitadhid!!!
i upande wao kiasi ya kufisha iwe ngumu !!!!
pengine watatafuta maneno mengine ya kupoza kupigwa kwao mfano yale Mashambulizi ya Iran uwezi kusema umezuiya au Ujapigwa!!
Lkn itabidi tu useme kama walivosema wao kuwa akuna aliekufa lkn uwezi kudanganya kuwa ukupigwa au ulizuiya Shambulizi wkt vitu vimeonekani kwa Uwazi vikitua na kusababisha milipuko mikubwa...!!!!
Upande wa pili w hiii kadhia Israel kwasasa wengi wanadhani ndio Taifa la kigaid !!!!
kwasababu kama izi yani imekaa mezani na kuja na wazo la mfumo huu waliotangaza kwamaana raia wa Israel zaid ya 50 !!!!
wametolewa Sadaka na kina Netanyahu ili kunyakua Ardhi ya Palestina !!!
ningekuwa mm ndio nipo Palestina !na
mpanga mipango ningefanya ivi kila Israel akiuwa zaid ya Wapalestina 30 au zaid !!!!
Namm ningetangaza kufa kwa mateka wao japo 5 atakama wapo hai lkn natangaza wamekufa !!!!
ivyoivyo adi japo wabaki w5 nawalikodi kuomba raia Waisrael waishinikize Serikali kuitimisha vita ili waokolewe wakiwa Hai !!!!
japo kutangaza vifo vya mateka vinaweza kufanya Shinikizo na kuwapa Sababu wakosoaji wapingaji kuilaumu Serikali ya Netanyahu kusababisha vifo vya raia wa Israel...
kiswahili❌Jingine, tujitahidi kukitumia vizuri kiswahili chetu kukiandika kwa usahihi tusiwe kama warundi huko
Zingatia mwanzo wa sentensi, alama za koma, nukta, kiulizo n.kkiswahili❌
Kiswahili✔️
warundi❌
Warundi✔️
Jifunze kuandika vizuri.
vipi eneo la fatah kwa kina mahmoud abbas kule ramallah nako litachukuliwa?Ata bila mateka Israeli wangechukua ardhi na kujenga makazi ya walowezi na haitoacha kuchukua ardhi atakama mateka wataachiwa.
Solution.
Israel iichukue Gaza na wapalestina wote iwafanye ni wakazi wa israel na hilo eneo lote liitwe Israel.
Umeishia darasa la ngapi?Muda ndio mwalimu lkn mpango wao utazuiwa kutumia nguvu izo izo Wao wanataka kutumia kuitwaa Ardhi ya Palestina, !!!!
Israel imeshagundua uko mbele aitaweza tena kufanya Upolaji wa Ardhi
kwasababu Technologia kwasasa Wanayo wapinzani wake ivyo baada ya miaka 5 au 10 uwezi Jua Technologia itakuwa kwa atua ipi!!!!!
Lkn Bado kachelewa kwasasa Israel inapigika Tofaut na miaka ya nyuma japo waliweza kuzuiya makombora kwenye maeneo nyeti na muimu kwao !!!!
lkn kwasasa uwo uwezo awana wanapigwa popote kama wao wanavopiga apo Palestina !!!!
ndio mana Nasema Israel itakwamishwa na uwezo wa Kijesh kutoka nnje ya Palestina na ndani ya Palestina...!!!!
Israel inaficha kupigwa kwake ndio mn walipitisha Sheria Bungeni kuzuiya Habari vita !!!!
lkn inapigwa sana
nasasa kwa kutangaza mpango wao ndio kuusu Gaza vipigo navyo vitadhid!!!
i upande wao kiasi ya kufisha iwe ngumu !!!!
pengine watatafuta maneno mengine ya kupoza kupigwa kwao mfano yale Mashambulizi ya Iran uwezi kusema umezuiya au Ujapigwa!!
Lkn itabidi tu useme kama walivosema wao kuwa akuna aliekufa lkn uwezi kudanganya kuwa ukupigwa au ulizuiya Shambulizi wkt vitu vimeonekani kwa Uwazi vikitua na kusababisha milipuko mikubwa...!!!!
Upande wa pili w hiii kadhia Israel kwasasa wengi wanadhani ndio Taifa la kigaid !!!!
kwasababu kama izi yani imekaa mezani na kuja na wazo la mfumo huu waliotangaza kwamaana raia wa Israel zaid ya 50 !!!!
wametolewa Sadaka na kina Netanyahu ili kunyakua Ardhi ya Palestina !!!
ningekuwa mm ndio nipo Palestina !na
mpanga mipango ningefanya ivi kila Israel akiuwa zaid ya Wapalestina 30 au zaid !!!!
Namm ningetangaza kufa kwa mateka wao japo 5 atakama wapo hai lkn natangaza wamekufa !!!!
ivyoivyo adi japo wabaki w5 nawalikodi kuomba raia Waisrael waishinikize Serikali kuitimisha vita ili waokolewe wakiwa Hai !!!!
japo kutangaza vifo vya mateka vinaweza kufanya Shinikizo na kuwapa Sababu wakosoaji wapingaji kuilaumu Serikali ya Netanyahu kusababisha vifo vya raia wa Israel...
Umeshaambiwa Gaza Huko ramallah wakafanye nini?vipi eneo la fatah kwa kina mahmoud abbas kule ramallah nako litachukuliwa?
Haijalishi wako wangapi, mateka mmoja muisraeli Ana thamani kuliko watu wore was Gaza.Mateka bado wangapi?
Bado wako hai?
Ni hayo tu kwa leo.