Embu nenda kafuatilie vizuri mkuu.Hivi kua wakweli kabisa, nani kavunja makubaliano ya vita? Hamas or Israel? Madai ya Israel yapo wazi sana, realise our hostage, perido. Wewe hutaki, ukipigwq unamlaumu mpigaji? Well, hakuna siku katika historia ambayo Israel alianzisha uvamizi, always wao Palestine ndio waanzilishi, mwandishi kasahau uvamizi wa mwaka 2006 as well, that time it was Hizbollah na sio Hamas; kwa mazingira haya unailaumuje Israel? Israel inalaumiwa kwa KUJIBU, so ili Israel asilaumiwe ilitakiwa akivamiwa akae kimya asijibu?
Aliyevunja makubaliano ni Israel Sio Hamas.
Nakusihi nenda kafuatilie kwa Kina.