Hamas wako Gaza city tuu, na ndiyo Kuna Vita. Gaza tayari wanahamishwa na Egypt Yuko tayari kuchukua Hadi 1m raia kutoka Gaza.vipi eneo la fatah kwa kina mahmoud abbas kule ramallah nako litachukuliwa?
Watu wanapitia kipindi kigumu Sana.

Kwani makubaliano ya Oslo yalivunjika vipi?Ardhi yote ilitwaliwa, lakini baadaye Gaza na West Bank ilirudishwa Palestina, na ikawa chini ya mamlaka ya Palestina, na ndiyo kwa kadiri ya makubaliano ya Oslo, kama Wapalestina wangekidhi vigezo vinavyoashiria wasingekuja kuwa Taifa hasimu, eneo hilo ndilo lingekuja kuwa Taifa linalojitegemea.
Wenye akili hawashindwi,akikwama kwa njia moja hujaribu tena kwa njia nyingine.Waziri wa Ulinzi wa Israel ametangaza kuwa Israel itatumia nguvu zote za kijeshi na kiraia kuwalazimisha Hamas kuwaachilia mateka inaowashikilia.
Waziri huyo wa Ulinzi wa Israel ameliagiza jeshi la Israel kuteka ardhi zaidi ya Wapalestina, mpaka hapo Hamas watakapowaachilia mateka. Waziri Katz ameeleza kuwa kadiri Hamas watakavyozidi kugomea kuachilia mateka ndivyo Israel itakavyozidi kuyachukua maeneo ya wapalestina na kuyarasimisha kuwa ardhi ya Israel moja kwa moja.
Israel Threatens to Annex Parts of Gaza if Hamas Doesn’t Release Hostag
Israel threatened on Friday to permanently seize parts of the Gaza Strip if Hamas does not release all remaining hostages, marking a major escalation in the conflict just days after airstrikes from the Israel Defense Forces (IDF) shattered a monthslong cease-fire with Hamas.
“I have instructed the IDF to seize additional areas in Gaza, evacuate the population, and expand security zones around Gaza to protect Israeli communities and IDF soldiers,” Defense Minister Israel Katz said. “The more Hamas persists in its refusal to release the hostages, the more territory it will lose, which will be annexed to Israel.” Katz also warned that Israeli forces would intensify air, land, and sea attacks if the militant group does not cooperate.
Hamas said on Friday that truce negotiations are ongoing. According to senior Hamas official Husam Badran, the militant group may be willing to show some flexibility in a cease-fire deal—including by releasing more hostages—if doing so would restart talks intended to permanently end the war. Israel, however, remains opposed to any agreement that allows Hamas to remain in control of Gaza.
Uharamia uliofanywa na Hamas Oct 7, utabakia kwenye historia kwa miaka mingi maana utatajwa kama sababu ya kufutika kwa Palestina.
Bahati mbaya, waarabu wa Palestina bawajawahi kuwa na busara wala tafakari ya kihekima:
Mwaka 1948 waarabu waliwavamia waisrael, wakapigwa vibaya, Israel ikachukua 60% ya ile 44% ya enwo walilopewa na UN.
Mwaka 1967, waarabu waliwavamia Waisrael, wakapigwa vibaya, Israel ikachukua East Jerusalem.
Mwaka 1973 waarabu wakawavamia tena waisrael, wakapigwa tena, wakapoteza maeneo yote. Kwa njia ya mazunhumzo miaka 1990, Wapalestina wakafanikiwa kupata mamlaka ya ndani, na wakagawiwa. West Bank na Gaza.
Mwaka 2023, waarabu wakaanzisha vita tena, wameuawa kwa maelfu, na sasa wanaenda kuipoteza Gaza yote.
Yaani kila unapoanzisha vita unapoteza zaidi, lakini unaendelea na mbinu hiyo hiyo!! Kweli wewe utakuwa una akili timamu?
waliyataka wenyewe kwa uchokozi waoHamas wako Gaza city tuu, na ndiyo Kuna Vita. Gaza tayari wanahamishwa na Egypt Yuko tayari kuchukua Hadi 1m raia kutoka Gaza.
Watu wanapitia kipindi kigumu Sana.
Ata bila mateka Israeli wangechukua ardhi na kujenga makazi ya walowezi na haitoacha kuchukua ardhi atakama mateka wataachiwa.
Solution.
Israel iichukue Gaza na wapalestina wote iwafanye ni wakazi wa israel na hilo eneo lote liitwe Israel.
HAMAS ni bora wakawachia mateka hao tu, na kama wamewaua waseme tu ili ardhi isichukuliwe. Gaza yote itachukuliwa kama hawatawaachia mateka hao
sijasema kuwe na two state ila wapalestina wawe kabila ndani ya Israel, kumbuka hadi sasa siyo kwamba hakuna wapalestina israel, wapo sema shida ni wale wanaotaka kujitenga wawe mamlaka kamili.Israel haitaki one state solution wala two state solution.
Inataka wapalestina waondoke west bank na Gaza ili iitwae hiyo ardhi
sijasema kuwe na two state ila wapalestina wawe kabila ndani ya Israel, kumbuka hadi sasa siyo kwamba hakuna wapalestina israel, wapo sema shida ni wale wanaotaka kujitenga wawe mamlaka kamili.
Ila kobazi mnashida sana. Mudi aliwadanganya sanaMuda ndio mwalimu lkn mpango wao utazuiwa kutumia nguvu izo izo Wao wanataka kutumia kuitwaa Ardhi ya Palestina, !!!!
Israel imeshagundua uko mbele aitaweza tena kufanya Upolaji wa Ardhi
kwasababu Technologia kwasasa Wanayo wapinzani wake ivyo baada ya miaka 5 au 10 uwezi Jua Technologia itakuwa kwa atua ipi!!!!!
Lkn Bado kachelewa kwasasa Israel inapigika Tofaut na miaka ya nyuma japo waliweza kuzuiya makombora kwenye maeneo nyeti na muimu kwao !!!!
lkn kwasasa uwo uwezo awana wanapigwa popote kama wao wanavopiga apo Palestina !!!!
ndio mana Nasema Israel itakwamishwa na uwezo wa Kijesh kutoka nnje ya Palestina na ndani ya Palestina...!!!!
Israel inaficha kupigwa kwake ndio mn walipitisha Sheria Bungeni kuzuiya Habari vita !!!!
lkn inapigwa sana
nasasa kwa kutangaza mpango wao ndio kuusu Gaza vipigo navyo vitadhid!!!
i upande wao kiasi ya kufisha iwe ngumu !!!!
pengine watatafuta maneno mengine ya kupoza kupigwa kwao mfano yale Mashambulizi ya Iran uwezi kusema umezuiya au Ujapigwa!!
Lkn itabidi tu useme kama walivosema wao kuwa akuna aliekufa lkn uwezi kudanganya kuwa ukupigwa au ulizuiya Shambulizi wkt vitu vimeonekani kwa Uwazi vikitua na kusababisha milipuko mikubwa...!!!!
Upande wa pili w hiii kadhia Israel kwasasa wengi wanadhani ndio Taifa la kigaid !!!!
kwasababu kama izi yani imekaa mezani na kuja na wazo la mfumo huu waliotangaza kwamaana raia wa Israel zaid ya 50 !!!!
wametolewa Sadaka na kina Netanyahu ili kunyakua Ardhi ya Palestina !!!
ningekuwa mm ndio nipo Palestina !na
mpanga mipango ningefanya ivi kila Israel akiuwa zaid ya Wapalestina 30 au zaid !!!!
Namm ningetangaza kufa kwa mateka wao japo 5 atakama wapo hai lkn natangaza wamekufa !!!!
ivyoivyo adi japo wabaki w5 nawalikodi kuomba raia Waisrael waishinikize Serikali kuitimisha vita ili waokolewe wakiwa Hai !!!!
japo kutangaza vifo vya mateka vinaweza kufanya Shinikizo na kuwapa Sababu wakosoaji wapingaji kuilaumu Serikali ya Netanyahu kusababisha vifo vya raia wa Israel...
Ushahidi?Israel haitaki wapalestina wawe raia wake, watageuka majority na kura zikipigwa kwenye chaguzi watakuwa na say kubwa.
Mateka bado 59 walio hai ni 36 tu waliobaki ni wafu na maiti zao bado Magaidi wa Hamas wamezing’ang’ania!!Mateka bado wangapi?
Bado wako hai?
Ni hayo tu kwa leo.
Nimeishia Darasa la kilokole kudanganywa vipofu wataona viziwi watasikia na mabubu watasema kisha tunamsifia yesuuuu ¿¿¿ japo kafanya igizo mchungaji na Genge lake la wauni !!!!!!!!!!!!!Umeishia darasa la ngapi?
Wkt wamechukua Ardhi yote ile ikabaki Gaza na West Bank Hamas walikuwa na mateka wa Israel??HAMAS ni bora wakawachia mateka hao tu, na kama wamewaua waseme tu ili ardhi isichukuliwe. Gaza yote itachukuliwa kama hawatawaachia mateka hao
Nenda darasani ukajifunze angalao kuandika kwa Kiswahili. Hata Kiswahili tu hujui, ni lugha gani unaimudu? Wewe ni mkimbizi?WAISRAEL na MAREKANI wanandoto siku nyingi za kuipola Palestina yote ndio mana walikuwa wanazuiya kwamiaka mingi kuundwa kwa Taifa la PALESTINA!!!
kwaiyo akuna asiejua kwasasa iyo njama ya Marekani lkn je Misri na wengine watakubali kujakupoteza Ardhi zao ikiwa Watakubali Israel inyakue iyo PALESTINA!!!!!
mana inafaamika pia lengo lao sio Palestina tu!!!
tunaona wanataka kupola Lebanon Uko Syria milima yao ya golan sasa wapo km chache na mji wao mkuu!!!!
Jordan bado Mashamba yake ayajalejeshwa japo Mkataba Waliokodishwa kwisha muda wake aujasainiwa mwengine!!!!
Lebanon mashamba yao y Sheba bado Israel inajimililikisha kinyume na Sheria!!!!
uko MISRI nako ndio ivyo vitabu vinasema Waisrael walipelekwa utumwani uko Misri sio Ajabu Waisrsel awa awa Fake wakadai Wanaenda lipiza nawao wawachukue utumwani au wawaeke Utumwani ndio mana nasema Israel
atakwamishwa Sababu nguvu itakayotumika ni kubwa Kufa kwa wingi Wanajesh wao mwisho Watatema Bungo Waraabu pamoja na Tofaut zao ktk ili Wanakubaliana l
engo lao kuu waibakishe Israel miaka kwa miaka kwenye Mgogolo wa Ardhi ya Palestina asitoke apo kwenda kwengine wkt nawao kwa kipindi icho Wanajitafuta kuikabili Israel na Marekani na Washilika wao
kwaiyo kusema Israel Wanachukua Ardhi ya Palestina jambo lengine na kutenda pia nj jambo lengine kwasasa aiwezekani mpango wao
wamechelewa miaka 15 iliopita ndio wangefanikiwa lkn sio sasa kwasasa kuna fursa nyingi za Warabu wanazo ikiwemo china kiuchumi Brazir Russian Iran
Saudia pesa na yule Dogo MB,
anaweza kubadilika kuunga mkono kipesa kimyakimya Alakati za kuzuiya ili jambo ikiwemo Qatar ukweli sio jambo dogo kama tamaaa ya Israel na Marekani wanavozani
Na rudia hii kitu akiwezekani na Israel huu mwaka unaisha akiwa kwenye mzozo mkubwa zaid kuutumbukia na bado atakuwa ndani ya mipaka iyoiyo Plstn.
Ujumbe huu utakumbukwa.
Leo 22/03 /2025
Israel itakwama vibaya zaid kwenye historia yake,,
Kuna mwenye shida nchi hii kama Wadanganyika ulipo apo pengine kwenu ndio kichwa cha FamiliaIla kobazi mnashida sana. Mudi aliwadanganya sana
viongozi wenu wapiga mikelele mjini mnawaita wachungaji sijui mitume Nk ndio wenye shida za Ukimbizi uraia kwenye nchi hiii wengine Warundi wengine Ba Congo !!!!Nenda darasani ukajifunze angalao kuandika kwa Kiswahili. Hata Kiswahili tu hujui, ni lugha gani unaimudu? Wewe ni mkimbizi?
Mkuu je nyie wafuasi wa kobazi unaona mko sahihi?Kuna mwenye shida nchi hii kama Wadanganyika ulipo apo pengine kwenu ndio kichwa cha Familia
lkn ndio ivyo ukikuta Igizo la Kumsingizia bwana kuwa kaponya mlemavu au kiziwi au .mgumba nk naww upo ndio mpiga mikelele wa juu zaid yesuuuu tumsifuuuuu ¿¿¿¿
badala ya kumsifia Mchungaji na kikundi cheke cha wahuni kawafuraisha na igizo lake Badala yake utasikia Yeshuuuu¿¿¿
Akili izi daaaa sio poaa lkn mshangao zaid eti nea uyu anawaona kobaz awana Akili uku yy akipigwa Sadaka kwa Igizo Fake !!!!!!!
Naomba kujua toka mnatangaziwa uwo utapeli mliwai pata mtu kapona Ulemavu kwa makelele ya uyo mchungaj sijui mtume ??????l
Ushuzi mtupu umeandika eti technologia hawajui itakuwaje? Wewe unaakili kweli au unaandika tu? Vipi zile pagers Kuna mtu huko uarabuni kwenu alijua zitatumika kama kifaa cha mawasiliano na milipuko? Jamaa wapo mbali sana kwenye hilo eneo siku nyingine usituletee hizi adithi ukadhani upo na wajinga wenzioMuda ndio mwalimu lkn mpango wao utazuiwa kutumia nguvu izo izo Wao wanataka kutumia kuitwaa Ardhi ya Palestina, !!!!