Israel yatangaza itachukua Ardhi yote ya Palestina kama Hamas hawataachia Mateka

vipi eneo la fatah kwa kina mahmoud abbas kule ramallah nako litachukuliwa?
Hamas wako Gaza city tuu, na ndiyo Kuna Vita. Gaza tayari wanahamishwa na Egypt Yuko tayari kuchukua Hadi 1m raia kutoka Gaza.
Watu wanapitia kipindi kigumu Sana.
 
Kwani makubaliano ya Oslo yalivunjika vipi?
 
Wenye akili hawashindwi,akikwama kwa njia moja hujaribu tena kwa njia nyingine.
Plan iliyopo ni kuundwa kwa taifa huru la Palestina, basi ikifeli plan A plan B ndio hiyo, ikifeli plan B plan C ndio hiyo,hakuna chaguo jingine kwa Wapelestina.
 
HAMAS ni bora wakawachia mateka hao tu, na kama wamewaua waseme tu ili ardhi isichukuliwe. Gaza yote itachukuliwa kama hawatawaachia mateka hao
 
Ata bila mateka Israeli wangechukua ardhi na kujenga makazi ya walowezi na haitoacha kuchukua ardhi atakama mateka wataachiwa.

Solution.
Israel iichukue Gaza na wapalestina wote iwafanye ni wakazi wa israel na hilo eneo lote liitwe Israel.

Israel haitaki one state solution wala two state solution.

Inataka wapalestina waondoke west bank na Gaza ili iitwae hiyo ardhi
 
HAMAS ni bora wakawachia mateka hao tu, na kama wamewaua waseme tu ili ardhi isichukuliwe. Gaza yote itachukuliwa kama hawatawaachia mateka hao

Haijalishi HAMAS watawaachia au kutowaachia mateka, Israel itaendelea kutafuta kisingizio kingine cha kuwaminya Wapalestina mpaka wakate tamaa waondoke.
 
Israel haitaki one state solution wala two state solution.

Inataka wapalestina waondoke west bank na Gaza ili iitwae hiyo ardhi
sijasema kuwe na two state ila wapalestina wawe kabila ndani ya Israel, kumbuka hadi sasa siyo kwamba hakuna wapalestina israel, wapo sema shida ni wale wanaotaka kujitenga wawe mamlaka kamili.
 
sijasema kuwe na two state ila wapalestina wawe kabila ndani ya Israel, kumbuka hadi sasa siyo kwamba hakuna wapalestina israel, wapo sema shida ni wale wanaotaka kujitenga wawe mamlaka kamili.

Israel haitaki wapalestina wawe raia wake, watageuka majority na kura zikipigwa kwenye chaguzi watakuwa na say kubwa.
 
Ila kobazi mnashida sana. Mudi aliwadanganya sana
 
Umeishia darasa la ngapi?
Nimeishia Darasa la kilokole kudanganywa vipofu wataona viziwi watasikia na mabubu watasema kisha tunamsifia yesuuuu ¿¿¿ japo kafanya igizo mchungaji na Genge lake la wauni !!!!!!!!!!!!!
 
HAMAS ni bora wakawachia mateka hao tu, na kama wamewaua waseme tu ili ardhi isichukuliwe. Gaza yote itachukuliwa kama hawatawaachia mateka hao
Wkt wamechukua Ardhi yote ile ikabaki Gaza na West Bank Hamas walikuwa na mateka wa Israel??
 
Nenda darasani ukajifunze angalao kuandika kwa Kiswahili. Hata Kiswahili tu hujui, ni lugha gani unaimudu? Wewe ni mkimbizi?
 
Ila kobazi mnashida sana. Mudi aliwadanganya sana
Kuna mwenye shida nchi hii kama Wadanganyika ulipo apo pengine kwenu ndio kichwa cha Familia

lkn ndio ivyo ukikuta Igizo la Kumsingizia bwana kuwa kaponya mlemavu au kiziwi au .mgumba nk naww upo ndio mpiga mikelele wa juu zaid yesuuuu tumsifuuuuu ¿¿¿¿

badala ya kumsifia Mchungaji na kikundi cheke cha wahuni kawafuraisha na igizo lake Badala yake utasikia Yeshuuuu¿¿¿

Akili izi daaaa sio poaa lkn mshangao zaid eti nea uyu anawaona kobaz awana Akili uku yy akipigwa Sadaka kwa Igizo Fake !!!!!!!

Naomba kujua toka mnatangaziwa uwo utapeli mliwai pata mtu kapona Ulemavu kwa makelele ya uyo mchungaj sijui mtume ??????l
 
Nenda darasani ukajifunze angalao kuandika kwa Kiswahili. Hata Kiswahili tu hujui, ni lugha gani unaimudu? Wewe ni mkimbizi?
viongozi wenu wapiga mikelele mjini mnawaita wachungaji sijui mitume Nk ndio wenye shida za Ukimbizi uraia kwenye nchi hiii wengine Warundi wengine Ba Congo !!!!

na majukum yenu ni Utapeli mjini kutumia jina la yesuuuu !!!!! Wewe utakuwa mnufaika wa pesa za Sadaka wanazopigwa makondooo !!!!!
 
Mkuu je nyie wafuasi wa kobazi unaona mko sahihi?
 
Ushuzi mtupu umeandika eti technologia hawajui itakuwaje? Wewe unaakili kweli au unaandika tu? Vipi zile pagers Kuna mtu huko uarabuni kwenu alijua zitatumika kama kifaa cha mawasiliano na milipuko? Jamaa wapo mbali sana kwenye hilo eneo siku nyingine usituletee hizi adithi ukadhani upo na wajinga wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…