Israel yatangaza itachukua Ardhi yote ya Palestina kama Hamas hawataachia Mateka

Embu nenda kafuatilie vizuri mkuu.
Aliyevunja makubaliano ni Israel Sio Hamas.
Nakusihi nenda kafuatilie kwa Kina.
 
Kwa Dunia ya sasa au kwa muelekeo wa vita Israel hana uwezo wa Ku annex kipande chochote cha Palestina.
Hawezi kamwe maana Hao Hamas Na Islamic Jihad bado wapo ndani YA Gaza Na bado Wana silaha.
 
Sema Kuna Mataifa yanajari sana raia yao, Kiasi kwamba Taifa linaweza kwenda kukopa ili kuokoa maisha ya Raia 2.

Mnakumbuka Kilichotokea Nigeria, Bokho haramu waliteka wanafunzi wa kike kama 200 na kutokomea nao for more than 2 years and no one seems to be bothered.
 
Hicho ni kizingio tu! Hapo inatafutwa mbinu ya kuwafukuza kabisa Wapalestina kwenye eneo la Gaza!
 
Wafadhili wakubwa wanajulikana
Nyuma ya yote haya ni mpango uliosukwa ili kuwaondoa wapalestina hapo ila sidhani kama patakuwa na amani

Tim Butchett amelielezea hili la US kufadhili haya makundi duniani
Usishangae 🇺🇸 wanatoa $40m kila wiki kwa Taleban na pia kuna vikundi vingi kama Hamas na hata huko Sudan na Somalia ni wao

Msikilize Tim Butchett on terror organization money 💰 ndio utaelewa
Mimi sio shabiki wa vita ila kinachoendelea ni muendelezo wa kupora ardhi tu
Na Africa amani itatamalaki kama wazungu wataacha kufadhili vikundi hivyo
 
Wewe utakuwa Zwazwa zaid mm nimeongelea IRAN ambae ndio mfadhili Mkuu wa Makundi yote yanayoisumbua Israel kusababisha Viwete Vifo uko Israel!!!!

sasa ww umeongelea vitu vidogo sana kama Kibiliti ndio uwezo wa Technologia ya ISRAEL seem iyo ndio?!!!!

Aya Vipi tumpime na IRAN, alietuma Makombora makubwa sana yanapita juu ya Anga na Yakaibutua iyo ISRAEL kutoka IRAN km 2000 + Tena mara mbil !!!!

i!! April na October uku Marakani Israel Washilika woke wakihaaa kuyazuiya bila mafanikio aya wajibu Wana Jamiii forun wenye akili wakuelewe wajue nani zaid apo!!!!!?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…