Israel yatangaza kuanza kukodisha wanajeshi mamluki

Nyie leteni mchezo, kipindi USA anavamia Iraq tulikuwa tunaambiwa kuwa jeshi la USA limeisha na linapigwa sana, mara wanajeshi wamekimbia, lakini baada ya siku Sadam kapotea, baada ya muda jeshi la Iraq ilizidiwa vibaya sana, sasa Hamas wanaojificha ndani ya raia na kwenye mahandaki ndo washinde vita? Utashangaa Gaza inaondoka moja kwa moja, kama ingekuwa rahisi kihivyo basi milima ya Golan ingekuwa imesharudi kwa Syria, na West Jerusalem ingekuwa imesharudi Jordan, hakuna namna Hamas ashinde hiyo vita na kumuondoa myahudi, hata waranu waungane Israel hataki pale.
 
Zayuni muoga,,, zile story za sijui six day war, mara operation entebe yawezekana tulilishwa matango pori,, dunia ya leo iko wazi na sasa tumejua kipi ni kipi, gaza kieneo kidogo kama boko mnemela lkn mpaka leo kimewashinda,,, naona sasa wameamua kukodi ndondo 😀
Hamas kundi teule,,,

Tulilishwa matango pori 🤣🤣🤣
 
Hakuna nchi inayotumia pesa nyingi kwenye propaganda kama Israel na demu wake USA. 6 days war ilikuwa porojo. Dunia imeamka bado vilaza wachache sana hasa huku kwetu Africa
 
Huyo mungiki MK254 kawakimbia alshabab Kenya atakwenda huko?

Safi sana waje watuchukue aisei kama kuna mpunga wa maana tukawahishe mabwana zenu wakapate mabikira.
Sema sasa wewe usiye bikira huwa unafaidika na nini kwenye haya malumbano ya kidini, kule peponi utagegedwa na nani.
 
Wewe mungiki uende wapi, unaogopa hata mende. Utayaweza wapi haya wewe? Tazama mashujaa wa Kipalestina:

:
 
Nadhani hii ni mara ya kwanza kwa IDF kutaka kutumia mamluki!
Huenda imeona inapoteza askari wengi!
 
Wewe mungiki uende wapi, unaogopa hata mende. Utayaweza wapi haya wewe? Tazama mashujaa wa Kipalestina:

:
View attachment 2853239

ila kwa namna mabwana zako wameisha sidhani kama kuna kazi itasalia pale.
Kilichosalia ni wanawake wakapanue miguu na kuzaa magaidi mengine, sema wewe mwafrika hutakiwi maana muarabu huona mwafrika kama mbwa.

3257805170761984946-jpg-png.2843958
 
Zayuni muoga,,, zile story za sijui six day war, mara operation entebe yawezekana tulilishwa matango pori,, dunia ya leo iko wazi na sasa tumejua kipi ni kipi, gaza kieneo kidogo kama boko mnemela lkn mpaka leo kimewashinda,,, naona sasa wameamua kukodi ndondo 😀
Hamas kundi teule,,,
hawa ni mashoga tu, wanapigana na watu ambao ata chakula hawana na wameshindwa hadi leo , kazi yao kubwa kuua watoto na wanawake washenzi hawa
 
Haya fursa hiyo kwa Waisrael weusi JF ambayo wanatoka maeneo mbali mbali Bonyokwa, Malamba mawili, Chanikq, Kimara, Makete, Kibosho, Tarime, Magu, kazi hiyo acheni kupambana mtandaoni nendeni uwanja wa vita.
 
Zayuni muoga,,, zile story za sijui six day war, mara operation entebe yawezekana tulilishwa matango pori,, dunia ya leo iko wazi na sasa tumejua kipi ni kipi, gaza kieneo kidogo kama boko mnemela lkn mpaka leo kimewashinda,,, naona sasa wameamua kukodi ndondo 😀
Hamas kundi teule,,,
Tulidanganywa sana, jeshi bora duniani, Mosad best intelligence, watoto wa Mungu, mamaezao.
 
Safi sana waje watuchukue aisei kama kuna mpunga wa maana tukawahishe mabwana zenu wakapate mabikira.
Sema sasa wewe usiye bikira huwa unafaidika na nini kwenye haya malumbano ya kidini, kule peponi utagegedwa na nani.

nenda hapo ubalozini kwao Nairobi utapata nafasi ya kwenda kumpigania bwana wako unayempenda sana. Hii ndio golden chansi umeipata. usipoenda kuwasaidia bwana zako basi wewe ni mnafiki hufai wala usijidai kuwatetea Israel hapa jukwaani; tutakushangaa kwani unahangaika kupambania maneno wakati opportunity ya kuingia Tel Aviv ukawasaidie ipo? Halafu wanajeshi wa Israel wanalipwa USD 4000 per week hiyo ni pesa ndefu wahi ukapate chochote.. hebu fanya kwa vitendo wacha maneno matupu nenda katoe msaada watu wameelemewa huko

Siku wakisema watu wajitolee kwenda kuwasaidia Hamas utashangaa mamilioni ya watu duniani watajitokeza tena hata wakijua hakuna malipo yeyote.. Islam is the on the next level people love their religion than their souls
 
Back
Top Bottom