Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Hakika mkuu,Akifanya Israel basi wana akili nyingi ila wakifanya Iran ni magaidi.
Hii dunia imejaa watu wapumbavu sana.
Hata akishindwa TUNDU, uchaguzi umevurugwa, angeshindwa Magufuli, uchaguzi huru na haki.
Pumbavu kabisa hawa watu wa magharibi na vibaraka wap kimwili na kiakili.