Israel yathibitisha kuwa Taifa kubwa kwa Intelijensia baada ya kumuua Mkuu wa Nyuklia wa Iran

Akifanya Israel basi wana akili nyingi ila wakifanya Iran ni magaidi.
Hii dunia imejaa watu wapumbavu sana.
Hakika mkuu,

Hata akishindwa TUNDU, uchaguzi umevurugwa, angeshindwa Magufuli, uchaguzi huru na haki.

Pumbavu kabisa hawa watu wa magharibi na vibaraka wap kimwili na kiakili.
 
Israel ni taifa la Mungu mwenyewe, aliwapenda na akawapa akili kubwa. Pamoja na vita na kuishi uhamishoni hawawezi badilika.
Kwahiyo Mengine ni mataifa ya Shetani?
Hebu acha kukaririsha watu ujinga hapa jf.

Israel ingekuwa Taifa la Mungu ingekuwa inahangaika na Covid19 halafu Tanzania tupo free?

Kuua watu kwa mabomu ndo Taifa la Mungu Hilo?

Note; Mimi Ni mkristo na msoma maandiko Mzuri Ila sikubaliani na Hawa wazayuni unaowaita wewe Taifa la Mungu.

Most of Israel people are not believing in Christianity but they do in Judaism.
 
Ndio mkuu mengine ni ya kishetani.

God bless and protect Israel
 
Iran ni kama wanamchokoza ili ajae vizuri afu wampige mande.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ninachojua Mimi Kwa Mungu wote ni sawa.ila waislael walitumia maandishi kuonesha kuwa wao ni bora kuliko walimwengu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…