Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Hahaha wapo wapi makamanda wa Hezboullah hapo? Naona mnatuonyesha majumba tu mnapiga majumba ya raia afu mnadai Hezboullah wamejificha hahaha Ukristo ni ukenge sanaEnjoy yourself here👇
Nimewahi kuona mara nyingi Muslim wakijitahidi sana kufanya watu wengine waichukie Israel na wayahudi.Muhimu kujaji vitendo vyao vinaonesha chuki dhidi ya Ukristo
Sanamu limewakosea nn kama sio Chuki kubwa kwenye mioyo yao
yule kapiga kichwani na Sululu Sanamu la YESU !!!!
uyu mwengine kaona amvutishe Bangi. BIKIRA MARIA Mama wa YESU
Chuki yao wameshindwa kuificha
Muhimu wanajeshi wanavutaga Bangi sio sigara✅️
Enjoy yourself hereNenda kawasaidie mashoga wenzako Hezbullah anawalenga na drones kwenye matako sasa 😆 😂
View: https://youtu.be/CbodGuMljwo?si=GZGZOkhcq_CBHkXu
Wafuga Midevu na Majini ni Janga la kitaifa!!Ko kuna wapumbavu wananuna sanamu kuvunjwa ila watu kuuawa sio shida zao?
Safari bado ndefu.
Sijakuelewa Mkuu.Enjoy yourself here
Wafuga Midevu na Majini ni Janga la kitaifa!!
Waislamu furaha yao ni kuona watu wengine nao wanawachukia wayahudi. Nikiwa kumuuliza mmoja kuwa mnapata faida gani mkiona mtu anawachukia wayahudi?Hiyo lakini umeitoa wapi.? Wewe ukibakwa halijabakwa Taifa umebakwa wewe.
Askari huyo alivunja hilo sanamu lakini si serikali wala Taifa teule la Mungu lililofanya hivyo.
Israel itabakia kuwa Taifa Teule na Kiboko cha Magaidi wa kiarabu huko mashariki ya kati na ulimwenguni kwa ujumla!!
Enjoy yourself here
Wafuga Midevu na Majini ni Janga la kitaifa!!
Na huwezi kunielewa kabisa!!!Sijakuelewa Mkuu.
Mimi linapokuja swala la Udini sionagi anaebaku salama, kuwanzia Wagaratia mpaka Makubazi na manabii/miungu yenu wote ni vilaza.
Nimewahi kuona mara nyingi Muslim wakijitahidi sana kufanya watu wengine waichukie Israel na wayahudi.
Watu wakiwachukia Israel na wayahudi huwa mnapata nini? Nyie chuki yenu haitoshi kwa wayahudi?
24/7 - 365 days Muslim huwa mnapreach chuki kwa wayahudi. Mnatamani dunia nzima iwachukie pia, lakini haiwezekani
Moyoni mwako na nia yako unataka na unatamani kujenga chuki dhidi ya Wayahudi kitu ambacho kamwe hutafanikiwa!!Mimi sijasema Mkristo amchukie mzayuni ukimpenda sawa
Acha ujinga wa kujificha kwenye Masanamu wewe tafsiri yako unazua taharuki ili Wajristo nao wawachukie Wayahudi ndiyo roho yako chafu ifurahi.nilichoandika ni tukio la kweli limefanyika sasa kama kuoji ilo tukio kwako ndio nataka Wakristo wawachukie wazayuni iyo itakuwa tafsiri yako!
Mseme au msiseme wajinga nyie hamuwezi kuuvunja uhusiano uliojengwa kwa Damu kati ya Wakristo na Wayahudi!!lkn ajabu yko ww utaki tuliseme kwakua tu Wakristo watawachukia wazayuni !!!!!
Ujinga mtupu unakusumbua kufikiri Yesu anasoma mitandaoni.mfano YESU leo kajaa gafra Duniani kanikuta mm natumia shilingi yangu kuweka bando kumtetea yeye natumia akili yangu na mikono yangu kumtetea yeye!!
Mwenzio kajikuta yupo na kivuli cha Shetan pembeni yakei katoka mbiooo 🤣🤣Moyoni mwako na nia yako unataka na unatamani kujenga chuki dhidi ya Wayahudi kitu ambacho kamwe hutafanikiwa!!
Ujinga na Upumbavu wa kupanda chuki dhidi ya wayahudi ni kazi pendwa ya Wafuga midevu na majini!!
Acha ujinga wa kujificha kwenye Masanamu wewe tafsiri yako unazua taharuki ili Wajristo nao wawachukie Wayahudi ndiyo roho yako chafu ifurahi.
Nakujulisha mapema njama hizo walishafanya sana Waarabu wakashindwa sembuse wewe Mwarabu-koko utaweza?
Mseme au msiseme wajinga nyie hamuwezi kuuvunja uhusiano uliojengwa kwa Damu kati ya Wakristo na Wayahudi!!
Endeleeni tu kuteseka kwa kusema mabaya ya wayahudi lakini katu wakristo hawatawachukia Wayahudi!!!
Ujinga mtupu unakusumbua kufikiri Yesu anasoma mitandaoni.
Kitu ambacho Wafuga midevu na majini hawajui ni kuwa Yesu wetu hapiganiwi anapigana mwenyewe maana ana nguvu si kama Muddy wenu ambaye hana uwezo mpaka apiganiwe na atetewe na binadamu maana yeye hana uwezo!!
Una elimu mbalimbali kama huyu bibi? Maana unachoandika hata hakieleweki, r na l kwako changamoto hat kunyoosha sentensi napo changamotoMimi sijasema Mkristo amchukie mzayuni ukimpenda sawa
nilichoandika ni tukio la kweli limefanyika sasa kama kuoji ilo tukio kwako ndio nataka Wakristo wawachukie wazayuni iyo itakuwa tafsiri yako!
Tungekuwa tunasema tukio la uwongo ungekuwa na hoga lkn ww ubishi tukio unajua ni kweli limefanyika!!!
lkn ajabu yko ww utaki tuliseme kwakua tu Wakristo watawachukia wazayuni !!!!!
Lkn apo apo unajua pia Israel imeomba msamaha kwa ilo tukio!!
Kama watu wa Dunia wangekaa kimya unadhani iyo Israel ningeomba msamaha?????
Sisi tunafaam nyinyi mmeitwa kwenye
Biblia kuwa ni kondoo waliopotea unajua kwann mkaitwa ivyo????
Tuseme mm sawa sio mkristo lkn namtetea Bikira Maria namtetea YESU sijapendezwa na ilo tukio
Sababu uyo Maria kwetu sisi ndio Mariam uyo YESU kwetu sisi ndio Issa so ndio mana waislamu hawapendi kuwadhalilisha viongozi waliomo kwenye biblia sababu wote wapo pia kwenye Quran!!!
tofauti ni ndogondogo tu.
Wewe mkristo unajiona ndio mwenye haki ya Maria mwenye haki ya YESU!!
mfano YESU leo kajaa gafra Duniani kanikuta mm natumia shilingi yangu kuweka bando kumtetea yeye natumia akili yangu na mikono yangu kumtetea yeye!!
Naww mwenye Kuwatetea waliomdhaliilisha YESU mwenyewe
pamoja na Mama yake Mzazi
na kutaka tunyuti kama hakuna kitu kimetokea
Yani unazuiya habari hisisambae watenda ubaya watachukiwa ndio off yako!!!
na sio kilio cha kutetea vile bwana wako muokozi wako kafanyiwa. ?????
Sasa YESU akija paaaa anasimama
nanani ??
Brother Depo
au Mdogoee
Umegeukia kuwa MwalimuUna elimu mbalimbali kama huyu bibi? Maana unachoandika hata hakieleweki, r na l kwako changamoto hat kunyoosha sentensi napo changamoto
Jifunze kuandika itasaidia wengine wanaosoma waelewe kinachozungumziwa. Ukiwa na elimu mbalimbali jiepushe na mijadala mizitoUmegeukia kuwa Mwalimu
wa a e i o u🤣🤣🤣
Baada ya kushindwa hoja umegeukia vioja!!!Jifunze kuandika itasaidia wengine wanaosoma waelewe kinachozungumziwa. Ukiwa na elimu mbalimbali jiepushe na mijadala mizito
Kwa tarifa yako mimi Mazinge na mheshimu lakini Mazinge elimu yake ime base zaidi kwenye Bibilia sio Qur'an akiijua Qur'an kama Bibilia atakuwa anaheshimika zaidi ya hapo
Swali hakuna mkristo anaweza nijibu wapi Yesu alisema Ukristo ndio dini yake.
Swali lingine katika Bibilia alizo waletea Paulo kwanini wale walio andika mwanzo zilie Bibilia ambazo sio Gospel ya Yesu hawo kina Mark, Mathew, Luke hakuna aliye dai Yesu ni Mungu ni yule peke yake John aliye andika mwisho tu ndio kaja na point ya kudai Yesu slisema aliniona mimi kama kamuona Mungu na huyo huyo John ana dai Yesu sio Mungu kwenye Yohana au John 17 3
soma inavyo sema Yohana 17:3
Yohana 17:3
Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli, nakumfahamu Yesu Kristo ambaye umemtuma
ni tangazo la wazi la imani ya Mungu mmoja pekee ambayo inapinga moja kwa moja fundisho la 1=3 (miungu mitatu) cha ajabu mnakataa hichi alicho sema ya kweli badala yake mnafata alicho fananisha yeye kwa akili yake hahaha
Kwa hio kenge Mungu huwa anajituma au anatuma kenge atabaki kuwa kengu tu
Wawaombe msamaha Roman Cathoric na sio Wakristo wote:
Mkristo hatengenezi Sanamu
kwa ajiri ya Ibada: