Israel yawataka Iran warushe kombola kujibu ili wapate sababu ya kuanzisha Operation ya Blue-White wao peke yao

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Haya maneno ya kiburi, jeuri na kujiamini. Israel wameshaona kwa sasa Iran haina tena nguvu. Na wanasema watawapiga Iran wao peke yao. Hawatashirikiana na yeyote.

Yaani hawata subiri mtu aseme lolote. Israel wanaijua Iran ndani nje ... Wanajua uwezo wa Iran ulivyo kwa sasa na ndo maana wanataka wamalize game mapema. Wanawachokoza chokoza Iran nao wajanja. Wameshajua hali yao ipo mzoge mzoge. Mikwara mingi. Vitendo kidogo visivyo na maana.

Screenshot_2026-06-30-21-08-35-875_com.instagram.android~2.jpg
 
Haya maneno ya kiburi, jeuri na kujiamini. Israel wameshaona kwa sasa Iran haina tena nguvu. Na wanasema watawapiga Iran wao peke yao. Hawatashirikiana na yeyote.

Yaani hawata subiri mtu aseme lolote. Israel wanaijua Iran ndani nje ... Wanajua uwezo wa Iran ulivyo kwa sasa na ndo maana wanataka wamalize game mapema. Wanawachokoza chokoza Iran nao wajanja. Wameshajua hali yao ipo mzoge mzoge. Mikwara mingi. Vitendo kidogo visivyo na maana.

View attachment 3619455

Washachoka kumtukana Trump?
 
israel hamna kitu ndugu yng em jifunzeni,walichojaaliwa ki kiburi tu...misemo kibaooo mara misheni hivi misheni vile...kule iran kuna HYPERSONIC MISSILES TU INATOSHA KUICHAKAZA israel barabar
 
Iran ni mjanja sana,kashajiua kuwa hana uwezo kaamua kukamatia Hormuz kwa nguvu zote,umeshawahi kupigana na mtu halafu unakuta kang'ang'ania sehumu moja halafu anabinya kwa nguvu zake zote,huyo ndo iran sasa...
Yaonesha hata taaluma ya kutwangana huna, bondia anakusoma palipo na udhaifu kwako kisha anagusa hapo hapo mwisho mwenyewe utakaa
 
Kwann wao Waisrael wasianzishe iyo blue na nyeupe???

Kama kweli wamejipanga si wakashambulie

Wasiwe m'bwa koko🐕
Iran ndio walisema Lebanon akiendelea kupigwa Iran itaishambulia Israel. Sasa Israel kaendelea kugawa kipigo na kamwambia Iran anamsubiri arushe hata jiwe ndio atapata majibu.
 
Mtu bee?!

Israel hawezi toboa kwa mtu bee.. ile pale kulikuwa na mkono wa usa river na bado hali ikuwa vile... labd kama marekani atatoa msaada kwa mlango wa nyuma.
 
Marekani keshakuwa Mungu wenu kila kitu mnasingizia Marekani naamini hata wewe ukijamba utasingizia Marekani!!!

Iran hana ubavu kukabiliana na Israel kwa wakati wowote ule!!
 
israel hamna kitu ndugu yng em jifunzeni,walichojaaliwa ki kiburi tu...misemo kibaooo mara misheni hivi misheni vile...kule iran kuna HYPERSONIC MISSILES TU INATOSHA KUICHAKAZA israel barabar

Hakuna vita ambayo Iran ilifanikiwa dhidi ya Israel. Iran kila ikipigana na Israel, madhara kwa Iran yanakuwa maradufu ya yale iliyosababisha kwa Israel.
Iran inaishi kwa kutishia, lakini kwenye vitendo haiifikii Israel. Israel maneno kidogo ila vitendo ni balaa.

Iran ilisema kuwa kama Israel itaendelea kuwashambulia Hezbollah, itaingia vitani, mpaka leo Israel inaendelea kuwapiga Hezbollah, Iran imebakia mwenye maneno.
 
Iran ni mjanja sana,kashajiua kuwa hana uwezo kaamua kukamatia Hormuz kwa nguvu zote,umeshawahi kupigana na mtu halafu unakuta kang'ang'ania sehumu moja halafu anabinya kwa nguvu zake zote,huyo ndo iran sasa...
Hana uwezo kivipi? Tanzania ingepigwa na yale mabomu ya Israel hivi serikali ingekua bado madarakani? Si ingebaki vipande pande.

Iran imelipua almost kambi zote za jeshi za US, na ilirusha makombora mengi Israel hadi interceptor kuisha na ikabidi itengenezwe cease fire. Hivyo bila huo uwezo wa missile zake Israel na US isingeachaga mashambulizi na leo hii Iran ingebaki majivu kama Libya.
 
Hakuna vita ambayo Iran ilifanikiwa dhidi ya Israel.
Kwani Iran imewahi pigana vita gani? Wao wamevamiwa tu, vita maana yake Iran ingeandaa vifaru, majeshi ya ardhini na mandege kuelekea Tel aviv na sidhani kama Israel inge survive.

Iran hapa anapigana dhidi ya uvamizi tu. So wajudge kwa jinsi walivyo protect nchi yao maana hawajapigana offensive war labda uitaje hapa ni vita gani hao Iran walipigana offensive dhidu ya Israel.
 
Iran ilisema kuwa kama Israel itaendelea kuwashambulia Hezbollah, itaingia vitani, mpaka leo Israel inaendelea kuwapiga Hezbollah, Iran imebakia mwenye maneno.
Unapotosha Iran walijibu kwa kurusha missiles Northern Israel tokea 10 June na waliacha baada ya US kuingilia kati na kuwazuia wote Iran na Israel kushambuliana.

Mbona hizi taarifa zipo hata Google na bado mnadanganyana humu? Iran sio mnyonge na ndio maana Israel hana uwezo wa kushambulia bila guarantee ya USA maana hana capacity ya kujilinda bila interceptor za marekani na NATO otherwise mpaka leo asingeacha mashambulizi
 
Iran kila ikipigana na Israel, madhara kwa Iran yanakuwa maradufu ya yale iliyosababisha kwa Israel.
Madhara ni madogo based on what? Hao wayahudi huwa wanakaa kwa mahandaki sio kama Iran wao wanaishi tu juu ya ardhi so kombora likilenga urban area casualty ni wengi kuliko ukilenga say Tel aviv.

Kuhusu infrastructure nyingi tu za israel zililipuliwa ikiwemo kituo cha nuclear kule Dimona, bandari za kutosha, research centers, na kambi za jeshi mpaka Israel ikalalamika kuwa China na Russia zinawasaidia kuwapa target Iran. Na hapo sijasema madhara ya kiuchumi kama inflation, budget reallocation, investors, uzalishaji, tourism sector na hata diplomasia ya israel kuporomoka kabisa sababu ya vita.
 
Marekani keshakuwa Mungu wenu kila kitu mnasingizia Marekani naamini hata wewe ukijamba utasingizia Marekani!!!

Iran hana ubavu kukabiliana na Israel kwa wakati wowote ule!!
Ni kweli, alisema Trump mwenyewe kuwa bila yeye israel si lolote si chochote.

Akarudia JD Vance kusema maneno hayo hayo kuwa israel bila US ingeshakua imefutwa.

Sasa wewe unambishia Trump anayeijua israel nje ndani?
 
Haya maneno ya kiburi, jeuri na kujiamini. Israel wameshaona kwa sasa Iran haina tena nguvu. Na wanasema watawapiga Iran wao peke yao. Hawatashirikiana na yeyote.

Yaani hawata subiri mtu aseme lolote. Israel wanaijua Iran ndani nje ... Wanajua uwezo wa Iran ulivyo kwa sasa na ndo maana wanataka wamalize game mapema. Wanawachokoza chokoza Iran nao wajanja. Wameshajua hali yao ipo mzoge mzoge. Mikwara mingi. Vitendo kidogo visivyo na maana.

View attachment 3619455
Dah! Kidume(Myahudi) amechafukwa mno, eti anamwambia Mwajemi "Meza ivohivyo hiko kidonge kichungu bila maji ya kushushia au nitakufinya."
 
Kwann wao Waisrael wasianzishe iyo blue na nyeupe???

Kama kweli wamejipanga si wakashambulie

Wasiwe m'bwa koko🐕
Hapana; sio hivyo bro. Vita vya kistaarabu i.e. Kimataifa; ni lazima ipatikane sababu na uweze kuitoa sababu hiyo kuhalalisha kile unachofanya e.g. Kwa nini unamshambulia huyo Muirani? Ni tofauti na Waajemi- Wao huliamsha dude ghafla -utaskia Takbiirr allahu' Akbar...... Wakiulizwa wanatoa sababu za matukio ya miaka arobaini iliyopita.......
 
Back
Top Bottom