Israel yawataka Iran warushe kombola kujibu ili wapate sababu ya kuanzisha Operation ya Blue-White wao peke yao

Ushabiki Maandazi ni kuona kila kitu hakiwezekani bila ya Marekani!!!!!
nani kasema bila marekani hakuna chochote kinawezekana?

Mie nazungumzia marekani akiacha totally kumsapoti israel hata kwa mlango wa nyuma, basi israel asithubutu kupigana na iran,

ATACHAPIKA
 
Huo ndiyo ujinga wenu Wafuga Midevu na Majini kuamini kuwa Israel bila Marekani haiwezi!! Wakati Israel iko hapo kabla ya Marekani kuwepo!!!
 
Nishaelewa we mtu wa namna gani, kumbe una chuki za kidini.. katika watu washamba zaidi kwangu siwezi jadiliana nao..

1.wenye mihemko ya dini, awe muislam, mkristu, budha, atheist yoyote yule

2.machawa wa kisiasa..

3.mashabiki uchwara wa mpira, hawa simba yangu, yanga yangu, machester yangu etc...

Wewe una udini wa kipumbavu kabisa mkuu, kifupi una ushamba wa udini.

Ahsanymte kiongozi
 
Ujinga mtupu unakusumbua!! Hapo nimesema dini gani? Kufuga Midevu mbona hata Mimi nafuga!!! Acha ujinga!!
 
Wanajua uwezo wa Iran ulivyo kwa sasa na ndo maana wanataka wamalize game mapema.
Kwanini hawakwenda kufungua Hormuz. Hili swali mbona hujawahi lijibu?

Marekani mpaka ilienda kuomba msaada ulaya walipogoma naye akasita. Sasa kwanini Israel ambayo unadai inajua Iran ni mdhaifu haikwenda kufungua Hormuz ili kuwanyima Iran kete ya majadiliano?
 
Screenshot_2026-07-04-15-29-33-416_com.instagram.android.jpg
 
Kwanini hawakwenda kufungua Hormuz. Hili swali mbona hujawahi lijibu?

Marekani mpaka ilienda kuomba msaada ulaya walipogoma naye akasita. Sasa kwanini Israel ambayo unadai inajua Iran ni mdhaifu haikwenda kufungua Hormuz ili kuwanyima Iran kete ya majadiliano?
Israel hawana haja ya kufunga Hormuz because they nothing to do with it!!
 
Back
Top Bottom