Madhara ni madogo based on what? Hao wayahudi huwa wanakaa kwa mahandaki sio kama Iran wao wanaishi tu juu ya ardhi so kombora likilenga urban area casualty ni wengi kuliko ukilenga say Tel aviv.
Kuhusu infrastructure nyingi tu za israel zililipuliwa ikiwemo kituo cha nuclear kule Dimona, bandari za kutosha, research centers, na kambi za jeshi mpaka Israel ikalalamika kuwa China na Russia zinawasaidia kuwapa target Iran. Na hapo sijasema madhara ya kiuchumi kama inflation, budget reallocation, investors, uzalishaji, tourism sector na hata diplomasia ya israel kuporomoka kabisa sababu ya vita.