Hayo yalitamkwa kipindi hicho. Sasa ni kipindi kingine.Ni kweli, alisema Trump mwenyewe kuwa bila yeye israel si lolote si chochote.
Akarudia JD Vance kusema maneno hayo hayo kuwa israel bila US ingeshakua imefutwa.
Sasa wewe unambishia Trump anayeijua israel nje ndani?
Nanukuu: 'Madhara ni madogo based on what? Hao wayahudi huwa wanakaa kwa mahandaki sio kama Iran wao wanaishi tu juu ya ardhi so kombora likilenga urban area casualty ni wengi kuliko ukilenga say Tel aviv."Madhara ni madogo based on what? Hao wayahudi huwa wanakaa kwa mahandaki sio kama Iran wao wanaishi tu juu ya ardhi so kombora likilenga urban area casualty ni wengi kuliko ukilenga say Tel aviv.
Kuhusu infrastructure nyingi tu za israel zililipuliwa ikiwemo kituo cha nuclear kule Dimona, bandari za kutosha, research centers, na kambi za jeshi mpaka Israel ikalalamika kuwa China na Russia zinawasaidia kuwapa target Iran. Na hapo sijasema madhara ya kiuchumi kama inflation, budget reallocation, investors, uzalishaji, tourism sector na hata diplomasia ya israel kuporomoka kabisa sababu ya vita.
kwahiyo Iran hana uwezo lakini USA "mbabe wa dunia" anakubali kukaa naye mezani ili yaishe?.. Kwamba wewe huku dunia ya 3 ndo unaujua huo ujanja wao ambao MOSSAD na CIA hawaujui?..Iran ni mjanja sana,kashajiua kuwa hana uwezo kaamua kukamatia Hormuz kwa nguvu zote,umeshawahi kupigana na mtu halafu unakuta kang'ang'ania sehumu moja halafu anabinya kwa nguvu zake zote,huyo ndo iran sasa...
Mie naongelea uhalisia we unaleta ushabiki maandaziMarekani keshakuwa Mungu wenu kila kitu mnasingizia Marekani naamini hata wewe ukijamba utasingizia Marekani!!!
Iran hana ubavu kukabiliana na Israel kwa wakati wowote ule!!
Wanajua wakianzisha ulaya na marekani hawatowaacha,na hii ni kwa ajili ya kukwaza makubaliano ya Iran na marekaniHaya maneno ya kiburi, jeuri na kujiamini. Israel wameshaona kwa sasa Iran haina tena nguvu. Na wanasema watawapiga Iran wao peke yao. Hawatashirikiana na yeyote.
Yaani hawata subiri mtu aseme lolote. Israel wanaijua Iran ndani nje ... Wanajua uwezo wa Iran ulivyo kwa sasa na ndo maana wanataka wamalize game mapema. Wanawachokoza chokoza Iran nao wajanja. Wameshajua hali yao ipo mzoge mzoge. Mikwara mingi. Vitendo kidogo visivyo na maana.
View attachment 3619455
Hana uwezo halafu ana ng'ang'aniaIran ni mjanja sana,kashajiua kuwa hana uwezo kaamua kukamatia Hormuz kwa nguvu zote,umeshawahi kupigana na mtu halafu unakuta kang'ang'ania sehumu moja halafu anabinya kwa nguvu zake zote,huyo ndo iran sasa...
Kwani wewe enzi zile za kuwekea mstari alafu unamwambia mwenzio vuka kama mwanaume huijui?Yan kwann asilianzishe kama kwel wao vidume?
Mpaka wabustiwe ndo nao wajibu?
Ikawaje asipige Iran peke yake bila usaidizi?Hakuna vita ambayo Iran ilifanikiwa dhidi ya Israel. Iran kila ikipigana na Israel, madhara kwa Iran yanakuwa maradufu ya yale iliyosababisha kwa Israel.
Iran inaishi kwa kutishia, lakini kwenye vitendo haiifikii Israel. Israel maneno kidogo ila vitendo ni balaa.
Iran ilisema kuwa kama Israel itaendelea kuwashambulia Hezbollah, itaingia vitani, mpaka leo Israel inaendelea kuwapiga Hezbollah, Iran imebakia mwenye maneno.
Kama watoto niguse kwanza wewe uoneKwanini wao wasianzishe tuone Iran atajibu nini? Mtu muoga utamjua tu🤣
Sasa kama unasifia vifo vichache BASI sifia mahandaki na sio kudai eti mashambulizi ya Iran ni dhaifu wakati tunaonaga video makombora yanachimba mashimo kabisa kwenye misingi ya ghorofa.Nanukuu: 'Madhara ni madogo based on what? Hao wayahudi huwa wanakaa kwa mahandaki sio kama Iran wao wanaishi tu juu ya ardhi so kombora likilenga urban area casualty ni wengi kuliko ukilenga say Tel aviv."
#Ukweli ni kwamba ukizingatia "mtu" hata akiwa ni mmoja, akifa ni madhara makubwa mno. Infrastructers hutengenezwa na zilizoharibiwa hukarabatiwa lakini sio Binadamu. Kumbuka hata hizo nukes zilitengenezwa(Ziligunduliwa) na mtu mmoja. Kwa mantiki hiyo kuharibu miundo-mbinu inaweza kuchukuliwa kama ni issue ya madhara madogo.
Soma vizuri nilichoandika mkuu. Sijasifia vifo na wala sijasema mashambulizi ya Iran ni dhaifu. Hapana.Sasa kama unasifia vifo vichache BASI sifia mahandaki na sio kudai eti mashambulizi ya Iran ni dhaifu wakati tunaonaga video makombora yanachimba mashimo kabisa kwenye misingi ya ghorofa.
Kingine vifo sio ushindi sasa kuua watoto wa kike 200 wa shuleni ndio unajisifia madhara kwa Iran? Mimi nilidhani Israel inapambana na kimachoitwa magaidi wa IRGC cha ajabu askari wa kivita wamekufa wachache sana ila 90% ya vifo ni wanawake na watoto.
Sasa mnaua raia hao hao ambao mnadai ndio mnawakomboa dhidi ya "muuaji" Ayatollah alafu ndo mnajisifia eti madhara makubwa Iran kwa sababu ya vifo vya raia na sio magaidi tena???
Kazi kweli kweli
Sasa ww world super power unashindwaje kwenda kuruhusu meli huko homoziIran ni mjanja sana,kashajiua kuwa hana uwezo kaamua kukamatia Hormuz kwa nguvu zote,umeshawahi kupigana na mtu halafu unakuta kang'ang'ania sehumu moja halafu anabinya kwa nguvu zake zote,huyo ndo iran sasa...
Walipigana wenyew siku 12 tu majibu tuliyapata😀😀😀Haya maneno ya kiburi, jeuri na kujiamini. Israel wameshaona kwa sasa Iran haina tena nguvu. Na wanasema watawapiga Iran wao peke yao. Hawatashirikiana na yeyote.
Yaani hawata subiri mtu aseme lolote. Israel wanaijua Iran ndani nje ... Wanajua uwezo wa Iran ulivyo kwa sasa na ndo maana wanataka wamalize game mapema. Wanawachokoza chokoza Iran nao wajanja. Wameshajua hali yao ipo mzoge mzoge. Mikwara mingi. Vitendo kidogo visivyo na maana.
View attachment 3619455
Ndio ile vita majenerali na wakuu wa jeshi Iran walisepeshwa haraka haraka🤣Walipigana wenyew siku 12 tu majibu tuliyapata😀😀😀
Haya maneno ya kiburi, jeuri na kujiamini. Israel wameshaona kwa sasa Iran haina tena nguvu. Na wanasema watawapiga Iran wao peke yao. Hawatashirikiana na yeyote.israel hamna kitu ndugu yng em jifunzeni,walichojaaliwa ki kiburi tu...misemo kibaooo mara misheni hivi misheni vile...kule iran kuna HYPERSONIC MISSILES TU INATOSHA KUICHAKAZA israel barabar
Na miuajemi anameza huku analia... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah! Kidume(Myahudi) amechafukwa mno, eti anamwambia Mwajemi "Meza ivohivyo hiko kidonge kichungu bila maji ya kushushia au nitakufinya."
Iran hoiiiii.... Viongozi wao wameuliwa kama kuku bwege nchini mwao.... Miyahudi hatari sanaWalipigana wenyew siku 12 tu majibu tuliyapata😀😀😀