Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran, Kwanini inazuia media kutoa taarifa?
Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel.
Hii inamaana kutakua na mchujo mkubwa wa habari.
Na huwenda tutakua tunadanganywa sana upande wa Israel.
------
Serikali ya Israel imeweka udhibiti mkali juu ya kuandika, kuchapisha, kuripot na kurecod video zinazo onesha mashambulizi na madhara kutokana na mashambulizi ya makombora yanayo fanywa na Iran.
Serikali ya Israel imevipiga marufuku vyombo vyote vya habari vya nje kuripot mubashara juu ya mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi hiyo. Na vyombo vya habari vya ndani ya Israel haviruhusiwi kurusha habari yeyote kuhusu vita hiyo bila idhini kutoka serikalini.
Kufuatia amri hiyo mpya ya jana watu wengi walikamatwa kwa tuhuma za kukaidi agizo hilo la serikalini.
Huyo kwenye mtandao ya kijamii wa youtube video zinazo onesha athari za mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel na zenyewe zinazuiliwa kwa sasa.
Pia baadhi ya account kwenye mtandao wa kijamii wa fesebook jana usiku zilipokea onyo la kufungiwa iwapo zitaendelea kuchapisha habari, picha au video kuhusu mashambulizi ya Iran nchini Israel.