Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
🤣🤣🤣🤣
Uzuri iran wao hawana mpango na taarifa wao ni kipigo tu.

Sawa lkn kuna mchujaji kwanza uyo ndio tunamlalamikia anatunyima uwondo wa Vita sijui kama avuti cha Arusha!!Mbona wao wenyewe ndo wanatoa taarifa hadi za waliokufa
Shambulio la jana usiku kuamkia leo madhara yake hayo hapo.Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran, Kwanini inazuia media kutoa taarifa?
Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel.
Hii inamaana kutakua na mchujo mkubwa wa habari.
Na huwenda tutakua tunadanganywa sana upande wa Israel.
------
Serikali ya Israel imeweka udhibiti mkali juu ya kuandika, kuchapisha, kuripot na kurecod video zinazo onesha mashambulizi na madhara kutokana na mashambulizi ya makombora yanayo fanywa na Iran.
Serikali ya Israel imevipiga marufuku vyombo vyote vya habari vya nje kuripot mubashara juu ya mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi hiyo. Na vyombo vya habari vya ndani ya Israel haviruhusiwi kurusha habari yeyote kuhusu vita hiyo bila idhini kutoka serikalini.
Kufuatia amri hiyo mpya ya jana watu wengi walikamatwa kwa tuhuma za kukaidi agizo hilo la serikalini.
Huyo kwenye mtandao ya kijamii wa youtube video zinazo onesha athari za mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel na zenyewe zinazuiliwa kwa sasa.
Pia baadhi ya account kwenye mtandao wa kijamii wa fesebook jana usiku zilipokea onyo la kufungiwa iwapo zitaendelea kuchapisha habari, picha au video kuhusu mashambulizi ya Iran nchini Israel.
Naona Israel inajitahidi kuharibu vinu vya nuke upande wa Natanz.Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran, Kwanini inazuia media kutoa taarifa?
Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel.
Hii inamaana kutakua na mchujo mkubwa wa habari.
Na huwenda tutakua tunadanganywa sana upande wa Israel.
------
Serikali ya Israel imeweka udhibiti mkali juu ya kuandika, kuchapisha, kuripot na kurecod video zinazo onesha mashambulizi na madhara kutokana na mashambulizi ya makombora yanayo fanywa na Iran.
Serikali ya Israel imevipiga marufuku vyombo vyote vya habari vya nje kuripot mubashara juu ya mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi hiyo. Na vyombo vya habari vya ndani ya Israel haviruhusiwi kurusha habari yeyote kuhusu vita hiyo bila idhini kutoka serikalini.
Kufuatia amri hiyo mpya ya jana watu wengi walikamatwa kwa tuhuma za kukaidi agizo hilo la serikalini.
Huyo kwenye mtandao ya kijamii wa youtube video zinazo onesha athari za mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel na zenyewe zinazuiliwa kwa sasa.
Pia baadhi ya account kwenye mtandao wa kijamii wa fesebook jana usiku zilipokea onyo la kufungiwa iwapo zitaendelea kuchapisha habari, picha au video kuhusu mashambulizi ya Iran nchini Israel.
Vita imeisha hiyo. Maji yamekuwa marefu kwa wachokozi.Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran, Kwanini inazuia media kutoa taarifa?
Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel.
Hii inamaana kutakua na mchujo mkubwa wa habari.
Na huwenda tutakua tunadanganywa sana upande wa Israel.
------
Serikali ya Israel imeweka udhibiti mkali juu ya kuandika, kuchapisha, kuripot na kurecod video zinazo onesha mashambulizi na madhara kutokana na mashambulizi ya makombora yanayo fanywa na Iran.
Serikali ya Israel imevipiga marufuku vyombo vyote vya habari vya nje kuripot mubashara juu ya mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi hiyo. Na vyombo vya habari vya ndani ya Israel haviruhusiwi kurusha habari yeyote kuhusu vita hiyo bila idhini kutoka serikalini.
Kufuatia amri hiyo mpya ya jana watu wengi walikamatwa kwa tuhuma za kukaidi agizo hilo la serikalini.
Huyo kwenye mtandao ya kijamii wa youtube video zinazo onesha athari za mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel na zenyewe zinazuiliwa kwa sasa.
Pia baadhi ya account kwenye mtandao wa kijamii wa fesebook jana usiku zilipokea onyo la kufungiwa iwapo zitaendelea kuchapisha habari, picha au video kuhusu mashambulizi ya Iran nchini Israel.
kipigo sio kitu kizuriKama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran, Kwanini inazuia media kutoa taarifa?
Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel.
Hii inamaana kutakua na mchujo mkubwa wa habari.
Na huwenda tutakua tunadanganywa sana upande wa Israel.
------
Serikali ya Israel imeweka udhibiti mkali juu ya kuandika, kuchapisha, kuripot na kurecod video zinazo onesha mashambulizi na madhara kutokana na mashambulizi ya makombora yanayo fanywa na Iran.
Serikali ya Israel imevipiga marufuku vyombo vyote vya habari vya nje kuripot mubashara juu ya mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi hiyo. Na vyombo vya habari vya ndani ya Israel haviruhusiwi kurusha habari yeyote kuhusu vita hiyo bila idhini kutoka serikalini.
Kufuatia amri hiyo mpya ya jana watu wengi walikamatwa kwa tuhuma za kukaidi agizo hilo la serikalini.
Huyo kwenye mtandao ya kijamii wa youtube video zinazo onesha athari za mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel na zenyewe zinazuiliwa kwa sasa.
Pia baadhi ya account kwenye mtandao wa kijamii wa fesebook jana usiku zilipokea onyo la kufungiwa iwapo zitaendelea kuchapisha habari, picha au video kuhusu mashambulizi ya Iran nchini Israel.
Nadhani anachapikaSio mchezo mpaka Trump kaahirisha kikao huko Canada basi ujue Israel hali tete.
Hapo ni siku 5 tu wacha hii gemu iendelee walau kwa mwezi tuone
Hiyo ni dalili ya kushindwa vita, mbona alipokua akitwanga Gaza hakuzuwia habiri, Taifa la Mungu linaadhirika, bila ya kuingia Marekani Muajemi analifuta Taifa la Mashoga.Ni sehemu ya strategies za kushinda vita!!
If you Control media
You control the narrative
You control public opinions
You ensure public and global backing
Then you win your enemies by inflicting fear and general outcry .....