😆😆😆Chaji simu kwanza kima wewe
🙌🙌 Sawa bro naichaji.Chaji simu kwanza kima wewe
Ni sehemu ya strategies za kushinda vita!!Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran,Kwanini inazuia media kutoa taarifa?
Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel.
Hii inamaana kutakua na mchujo mkubwa wa habari.
Na huwenda tutakua tunadanganywa sana upande wa Israel.View attachment 3372546View attachment 3372547
Hiyo ni kawaida nchi ikiwa vitani itachagua nini kitoke nini kisitoke.Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran,Kwanini inazuia media kutoa taarifa?
Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel.
Hii inamaana kutakua na mchujo mkubwa wa habari.
Na huwenda tutakua tunadanganywa sana upande wa Israel.View attachment 3372546View attachment 3372547
PungazezeMbona wao wenyewe ndo wanatoa taarifa hadi za waliokufa
Iran hajazuia vyombo vya habari na huwa anakubali kunachotangazwa, anachofanya Iran ni news fabrication.Hiyo ni kawaida nchi ikiwa vitani itachagua nini kitoke nini kisitoke.
Hapa tu hakuna kituo cha televisheni au radio inatangaza mikutano ya No reform no election.
Iran haotoi habari kamili za madhara ya vita hii.
Hii yote ni kulinda uthabiti wa nchi
Zamani tulidanganywa sana na hawa Waisrael media zote zilikuwa zao walidanganya sana watu lakini leo kuna mabadiliko makubwa ya media tunapata ukweli, walikuwa hawajazoe hii hali, Iran kapiga miji mingi sana wanaona aibu.Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran,Kwanini inazuia media kutoa taarifa?