Israel yaweka udhibiti mkali wa taarifa kuhusu vita yake na Iran

Mbona wao wenyewe ndo wanatoa taarifa hadi za waliokufa
Sawa lkn kuna mchujaji kwanza uyo ndio tunamlalamikia anatunyima uwondo wa Vita sijui kama avuti cha Arusha!!

Saaa we fikiria Gaza wamekufa watu 55000 uko Israel nako kwasasa ni GAZA nyengine sasa mtangazaji anatwambia Idadi ya vifo 22 tu sio Chai + togwa !!!

inawezekanaje Iran aijapigwa sana papo oky kabisa lkn vifo 200+ !!

Lkn Gaza ya Israel eti 22 taifa teule gani waongo sana kias ata mtoto anawashtukia.!!!

ndege za F-35 wamedanganya watu Wazungu wenzao kuwa ni kibwengo azionekani Wakanunua kibao wenzao !!!

Iran anadai mm ndio kibwengo mkuu kazitafuna 3 soko kwishaaa!!! Mpaka apo sina deni kwa Iran!!!!.
 
GAZA IPO 1 UKO lkn uko Israel miji kibao imegeuzwa GAZA lkn wanatupiga mchana kweupe eti vifo 22 !!!

apa apo Israel wanalalamika Iran inalenga raia wao mwaka huuu wamerukia mgongo wa ngiri pori !! wakizani farasi!!

Wataficha nn Dunia imeshajua. Nayeye ndio mchokozi!!
 
Shambulio la jana usiku kuamkia leo madhara yake hayo hapo.



HUWEZI kudhibiti vyombo vyote aisee.
 
Hahahahahaha mzayuni bado anaishi maisha ya movie za Hollywood, mtu mmoja anapiga kikosi kizima, akilengwa yeye hafi wala haumii ila akilenga wenzie wanakufa
Hii migogoro itasafisha ubongo wa baadhi ya waafrika wenzetu wanaotanguliza imani mbele akili nyuma
 
Naona Israel inajitahidi kuharibu vinu vya nuke upande wa Natanz.
Asubuhi wamejaribu ila imeshindikanika.
Halafu Kuna watu wanakwambia Israel inamiliki anga la Iran.

 
Vita imeisha hiyo. Maji yamekuwa marefu kwa wachokozi.
 
kipigo sio kitu kizuri
 
Sio mchezo mpaka Trump kaahirisha kikao huko Canada basi ujue Israel hali tete.
Hapo ni siku 5 tu wacha hii gemu iendelee walau kwa mwezi tuone
 
ila jamani vita hii si wameanzisha wenyewe? I hope wamepewa walichokiomba kutoka Iran

Iran kamatia hapo hapo hamna suluhu hata wakiomba poo endelea kuchapa tu kama ambavyo wao hawataki suluhu kule Gaza
 
Ni sehemu ya strategies za kushinda vita!!

If you Control media
You control the narrative
You control public opinions
You ensure public and global backing
Then you win your enemies by inflicting fear and general outcry .....
Hiyo ni dalili ya kushindwa vita, mbona alipokua akitwanga Gaza hakuzuwia habiri, Taifa la Mungu linaadhirika, bila ya kuingia Marekani Muajemi analifuta Taifa la Mashoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…