Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

Mkuu hakuna vita tena hapo gaza
 
Kwa hiyo,Israel kamaliza kazi iliyompeleka huko Lebanon! Si ndio? Si aliahidi kufanya kama alichofanya Gaza? Si ndo ilivokuwa? Kubali kataa,alichokipata toka kwa wahuni, hakutegemea. Na akaona akichokoza nyuki,atadhalilika. Na tayari keshadhalilika. Yeye si ndo ameomba ceasefire?! Au wewe ulisoma taarifa gani mkuu!
 
imhotep
 
Kuna uwezekano mkubwa Israel katumia mbinu hii ili Mateka wake wapatikane. Ila je' hao Mateka bado wapo hai????
Mateka wapo hai kaambiwa aondoe tu majeshi yake ingawaje wengine aliwasaga mwenyewe kwa akili zake mbovu za kupiga piga hovyo
 
Kwa nini haiwezi kuwa wameshindwa vita
Safi sana. Kwa majigambo,kwa moto wake, inaelekea alijua ni kama Gaza, viumbe wakamlia timing. Wamemshushia vitu,akaona hapa sina ulinzi wa anga. Ukweli usemwe. Je, makombola yangerushwa 500 ingekuwaje? Kwenye 250 machache yalidakwa,mengine yakatua. Na wangemtupia zaidi? Sema tu media za huko ni waongo waongo,lakini wakiandika hili kiuharisia,mtaona yule Simba tunaemsikiaga kumbe ni paka tiuuuu
 
Mkiambiwa hamna akili muna kataa
Kwahiyo wafuasi wa mudi ndiyo wana akili au sio 😂😂😂😂😂😂
Ningekuwa mimi ndiye mudi ningewaahidi kangedere kamoja tu tena kasiko na mkia, maana nyie ni watupu kabisa vichwani
 
Israel yuko Lebanon kwa siku 60
 
Makubaliano kamili kati ya Israel na Lebanon yametolewa:
🔔 Hezbollah na makundi mengine yote yenye silaha nchini Lebanon hayatafanya vitendo vyovyote vya kuudhi dhidi ya Israel.
🔔 Israel, kwa upande wake, haitafanya mashambulizi yoyote ya kijeshi dhidi ya walengwa

nchini Lebanon, ikiwa ni pamoja na ardhini, angani na baharini.

🔔Israel na Lebanon zinatambua umuhimu wa Azimio nambari 1701 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

🔔Wajibu huu hauondoi haki ya Israeli na Lebanon kutekeleza haki yao isiyoweza kuondolewa ya kujilinda.

🔔Vikosi rasmi vya usalama vya Lebanon na vikosi vya jeshi vitakuwa vikundi pekee vyenye silaha vinavyoruhusiwa kubeba silaha au kutumia vikosi kusini mwa Lebanon.

🔔Uuzaji wowote, usambazaji na utengenezaji wa silaha au nyenzo zinazohusiana na silaha nchini Lebanon

itakuwa chini ya usimamizi na udhibiti wa serikali ya Lebanon.

🔔Vifaa vyote visivyoidhinishwa vinavyohusika katika utengenezaji wa silaha na vifaa vya silaha vitavunjwa.

🔔Miundombinu yote ya kijeshi na nyadhifa zitavunjwa, silaha zote zisizoidhinishwa ambazo hazizingatii

majukumu haya zitachukuliwa.

🔔Kamati inayokubalika kwa Israeli na Lebanon itaundwa ambayo itasimamia na kusaidia katika kuhakikisha utekelezaji wa majukumu haya.

🔔 Israel na Lebanon zitaripoti kwa kamati na UNIFIL endapo kuna ukiukaji wowote wa majukumu.

🔔Lebanon itapeleka vikosi vyake rasmi vya usalama na kijeshi kwenye mipaka yote, sehemu za kuvuka na mstari unaofafanua eneo la kusini lililoonyeshwa katika mpango wa kupeleka.

🔔 Israel itapeleka vikosi vyake hatua kwa hatua kusini mwa Blue Line kwa muda wa hadi siku 60.

Ebu fikiria Kwa makubaliano hayo ambayo Kwa asilimia zote yameidhinishwa na Israel dhidi Hezbollah watakubali Hezbollah?
Kama watakubali ni Nani atakuwa amejimaliza mwenyewe?
 
Tutajibuje wakati bado hawajatoa jibu hizbullah
 
Kama ambavyo wamebadilisha gia angani israhell maana walisema wanafungua vita kule North ili kuifuta hizbullah na kuwarejesha wakazi wake kule kaskazini kafanikiwa lipi kati ya haya
 
Atacms sio mara ya kwanza kutumika ndani ya Russia katafute kombora ama silaha ilotumika kuripua daraja la Crimea hio Atacms imeleta mabadiliko yapi tokea itumike
 
Na sababu ya israhell kupeleka jeshi kule ni kuifuta hizbullah na kurejesha wakazi wake Gaza kafaulu lipi kwenye haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…