Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

Chanzo cha vita Kati ya Hezbollah na Israel ni baada ya Hezbollah kusaidia watu wa Gaza na dhidi ya Israel..
Kama Gaza vita itaendelea huku Hezbollah ametulia itakuwa haina maana kwasababu Gaza inaenda kufutika

Kabla ya kupost uwe unatafuta vyanzo mbalimbali Kwanza , terms zilizowekwa na Israel kama Hezbollah watakubali watakuwa wamejimaliza wenyewe Tu.
Mkuu hakuna vita tena hapo gaza
 
Nani katii matakwa ya mwenzike,Israeli alimuonya Hezbolaah aache kuingilia vita yake na Hamasi akasema hataacha mpaka Israel atoke Gaza,Israel akamgaukia akampa kipigo Sasa amekubali kutulia akimuacha Hamas anyolewe nywele,kihelehele chake kimesababisha vifo huko Lebanoni,na Irani anasubiriwa ajibu mapigo aone Cha moto maana mitambo ya kumlinda imelipuliwa
Kwa hiyo,Israel kamaliza kazi iliyompeleka huko Lebanon! Si ndio? Si aliahidi kufanya kama alichofanya Gaza? Si ndo ilivokuwa? Kubali kataa,alichokipata toka kwa wahuni, hakutegemea. Na akaona akichokoza nyuki,atadhalilika. Na tayari keshadhalilika. Yeye si ndo ameomba ceasefire?! Au wewe ulisoma taarifa gani mkuu!
 
— ❗️🇮🇱/🇱🇧/ 🇱🇧 Israel – Hezbollah Ceasefire Agreement Terms, a Return to the Status-Quo before October 7th 2023:

– Hezbollah and all other armed groups in Lebanon will not carry out any offensive actions against Israel.

– Israel will not carry out any offensive action against targets inside Lebanon, including on the ground, in the air and at sea.

– Israel and Lebanon 'recognize the importance' of UN Security Council Resolution 1701.

– Israel and Lebanon reserve the right to exercise their inherent right of self-defense.

– The Lebanese Armed Forces and the Lebanese Security Forces will be the only armed groups 'authorized to carry weapons or operate forces' in southern Lebanon. (This will not be implemented, it is a part of UNSCR 1701 and was never implemented to begin with.)

– The sale, supply and production of any weapons or materials related to weapons to Lebanon will be under the supervision and control of the Lebanese state. (Won't be implemented, this is a formality.)

– All unauthorized facilities involved in the production of weapons and weapons-related materials will be dismantled. (Won't be implemented, this is a formality.)

– All military infrastructure and positions will be dismantled, all unauthorized weapons that do not comply with these obligations will be confiscated (Won't be implemented, this is a formality).

– A committee will be established that will be acceptable to Israel and Lebanon that will monitor and assist in ensuring the enforcement of these commitments.

– Israel and Lebanon will report any possible violation of the commitments to the committee and UNIFIL.

– Lebanon will deploy its official military and security forces along all borders, crossing points and the line that defines the southern region.

– Israel will withdraw all its forces in a phased manner towards south of the blue line during a period of up to 60 days.

– The US will promote indirect negotiations between Israel and Lebanon to reach a recognized land border.

@Middle_East_Spectator
imhotep
 
Kuna uwezekano mkubwa Israel katumia mbinu hii ili Mateka wake wapatikane. Ila je' hao Mateka bado wapo hai????
Mateka wapo hai kaambiwa aondoe tu majeshi yake ingawaje wengine aliwasaga mwenyewe kwa akili zake mbovu za kupiga piga hovyo
 
Kwa nini haiwezi kuwa wameshindwa vita
Safi sana. Kwa majigambo,kwa moto wake, inaelekea alijua ni kama Gaza, viumbe wakamlia timing. Wamemshushia vitu,akaona hapa sina ulinzi wa anga. Ukweli usemwe. Je, makombola yangerushwa 500 ingekuwaje? Kwenye 250 machache yalidakwa,mengine yakatua. Na wangemtupia zaidi? Sema tu media za huko ni waongo waongo,lakini wakiandika hili kiuharisia,mtaona yule Simba tunaemsikiaga kumbe ni paka tiuuuu
 
Mkiambiwa hamna akili muna kataa
Kwahiyo wafuasi wa mudi ndiyo wana akili au sio 😂😂😂😂😂😂
Ningekuwa mimi ndiye mudi ningewaahidi kangedere kamoja tu tena kasiko na mkia, maana nyie ni watupu kabisa vichwani
 
Toka lini muisrael ashinde alafu akubali ceasefire? Acheni ujinga. Hivi mnaijua Israeli au mnaisikia?

Hapo mmarekani amerusha taulo baada ya kuona kitinda mimba wake anapewa za uso. Israel akilianzisha tena hapo Gaza, Hezbola tutarudi taena kwa nguvu zaidi
Israel yuko Lebanon kwa siku 60
 
Makubaliano kamili kati ya Israel na Lebanon yametolewa:
🔔 Hezbollah na makundi mengine yote yenye silaha nchini Lebanon hayatafanya vitendo vyovyote vya kuudhi dhidi ya Israel.
🔔 Israel, kwa upande wake, haitafanya mashambulizi yoyote ya kijeshi dhidi ya walengwa

nchini Lebanon, ikiwa ni pamoja na ardhini, angani na baharini.

🔔Israel na Lebanon zinatambua umuhimu wa Azimio nambari 1701 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

🔔Wajibu huu hauondoi haki ya Israeli na Lebanon kutekeleza haki yao isiyoweza kuondolewa ya kujilinda.

🔔Vikosi rasmi vya usalama vya Lebanon na vikosi vya jeshi vitakuwa vikundi pekee vyenye silaha vinavyoruhusiwa kubeba silaha au kutumia vikosi kusini mwa Lebanon.

🔔Uuzaji wowote, usambazaji na utengenezaji wa silaha au nyenzo zinazohusiana na silaha nchini Lebanon

itakuwa chini ya usimamizi na udhibiti wa serikali ya Lebanon.

🔔Vifaa vyote visivyoidhinishwa vinavyohusika katika utengenezaji wa silaha na vifaa vya silaha vitavunjwa.

🔔Miundombinu yote ya kijeshi na nyadhifa zitavunjwa, silaha zote zisizoidhinishwa ambazo hazizingatii

majukumu haya zitachukuliwa.

🔔Kamati inayokubalika kwa Israeli na Lebanon itaundwa ambayo itasimamia na kusaidia katika kuhakikisha utekelezaji wa majukumu haya.

🔔 Israel na Lebanon zitaripoti kwa kamati na UNIFIL endapo kuna ukiukaji wowote wa majukumu.

🔔Lebanon itapeleka vikosi vyake rasmi vya usalama na kijeshi kwenye mipaka yote, sehemu za kuvuka na mstari unaofafanua eneo la kusini lililoonyeshwa katika mpango wa kupeleka.

🔔 Israel itapeleka vikosi vyake hatua kwa hatua kusini mwa Blue Line kwa muda wa hadi siku 60.

Ebu fikiria Kwa makubaliano hayo ambayo Kwa asilimia zote yameidhinishwa na Israel dhidi Hezbollah watakubali Hezbollah?
Kama watakubali ni Nani atakuwa amejimaliza mwenyewe?
 
Tutajibuje wakati bado hawajatoa jibu hizbullah
 
Cha kushangaza zaidi Hizbullah kabadili GIA angani maana walianza kushambulia Israel Toka Oct 7 eti wanawaunga mkono Hamas na Kiongozi wao Hassan Nasraillah akajigamba kwamba hawatositisha mashambulizi mpaka IDF iondoke Gaza na Leo Hamas wanaendelea kuchapwa na Hizbullah wameomba kupumzishwa na kipigo.

Japo wamelazimishwa ila Israel wamefanya Grave Mistake kukubali ceasefire na hao jamaa hawatopata nafasi kama hii tena maana Hizbullah walikuwa washaelekea kibrah.
Kama ambavyo wamebadilisha gia angani israhell maana walisema wanafungua vita kule North ili kuifuta hizbullah na kuwarejesha wakazi wake kule kaskazini kafanikiwa lipi kati ya haya
 
Bado mchanga kwenye hayo mambo Irani imejidhaliliaha sana kama Super power wa mashariki ya kati hasa baada ya kuibonda Saudi kupitia wahouth,hii piga nikupige na Israeli imemvua nguo alikuwa anategemea S 3000 juzi zimelipuliwa na ameambiwa akiweza ajibu, na Hilo ni gumi kwake ndo maana mapaka Sasa anatafakari kwa sababu akijubu tu mipango yake ya nuklia na biashara ya mafuta zinaenda kupigwa na Mrusi hawezi msaidia

USA haina maslahi ya Moja Kwa Moja nchini Ukaraine,Vita ambayo kaiwekea maanani Taiwani na Chaina hapo ndo kajipanga kuingia mazima ikitokea yaani ata deploy troops kabisa

Hapo Urusi anachezewa sharubu na hafanyi chochote,kitendo cha kuruhusu ATACAMS kupiga ndani ya Urusi ni uchokozi mkubwa kuliko unavyojuaa maana hiyo inamaanisha mmarekani mwenyewe ndo anazidrive hizo silaha ndani ya Urusi inabidi Urusi ifanyie kipigo Cha karibu ya Moja Moja kwa USA,jambo ambalo litainua kichaa Cha USA ndo utaiona rangi ya USA vzr
Atacms sio mara ya kwanza kutumika ndani ya Russia katafute kombora ama silaha ilotumika kuripua daraja la Crimea hio Atacms imeleta mabadiliko yapi tokea itumike
 
Chanzo cha vita Kati ya Hezbollah na Israel ni baada ya Hezbollah kusaidia watu wa Gaza na dhidi ya Israel..
Kama Gaza vita itaendelea huku Hezbollah ametulia itakuwa haina maana kwasababu Gaza inaenda kufutika

Kabla ya kupost uwe unatafuta vyanzo mbalimbali Kwanza , terms zilizowekwa na Israel kama Hezbollah watakubali watakuwa wamejimaliza wenyewe Tu.
Na sababu ya israhell kupeleka jeshi kule ni kuifuta hizbullah na kurejesha wakazi wake Gaza kafaulu lipi kwenye haya
 
Back
Top Bottom