Shida iko kwa Israeli wale ambao ni mazayuni siku zote mimi huwa nikiandika humu najitahidi kukwepa neno wayahudi, kwahio mzayuni ndio mbaya anaharakisha ajenda ya shetani haingii akilini vitani ukaue watu na uharibifu wa hospitali na majengo, huo ni uovu. Watu hawawezi kua na amani kwasababu Israeli anaamini Syria, Lebanon na sehem ya Egypt na Jordan inafaa kua ardhi yake. Hapo lini amani ya kweli itapatikana?Asante sana ubalikiwe
Lakin Nina swali moja kwani hilo eneo haliwezi kabisa kuwa na aman bila kusikia vifo vya watu wasio na hatia?
Hakuna sehem resolution inamruhusu kuchukua hata mita 1 lile ni eneo la Lebanon na ndio unaona majeshi ya UNiFIL na lebanon ndio yanaenda kuwepo huko kulinda mipakaLakin pia nasikia Israel kuchukua eneo la zaid ya kilometer kumi je walichukua mazima au watalilidusha?
Hizb mpaka sasa hawajasema chochote wala kusign wanasubiri kuhakiki kilichowekwa mezani na kusainiwa kama ndicho kilichopo kwenye hilo 1701, maana wiki iliyopita walipewa kingine na serikali ya Lebanon ikapewa kitu kingine. Japo hizb hawana shida sana na hio 1701 resolution shida hawataki vipengele vichezewe. Hakuna press yeyote Mpaka sasa kutoka kwa shekh QassimHizbullah wanasemaje
Sheikh Qassim Ndio anawachoma....Hizb mpaka sasa hawajasema chochote wala kusign wanasubiri kuhakiki kilichowekwa mezani na kusainiwa kama ndicho kilichopo kwenye hilo 1701, maana wiki iliyopita walipewa kingine na serikali ya Lebanon ikapewa kitu kingine. Japo hizb hawana shida sana na hio 1701 resolution shida hawataki vipengele vichezewe. Hakuna press yeyote Mpaka sasa kutoka kwa shekh Qassim
Nani katii matakwa ya mwenzike,Israeli alimuonya Hezbolaah aache kuingilia vita yake na Hamasi akasema hataacha mpaka Israel atoke Gaza,Israel akamgaukia akampa kipigo Sasa amekubali kutulia akimuacha Hamas anyolewe nywele,kihelehele chake kimesababisha vifo huko Lebanoni,na Irani anasubiriwa ajibu mapigo aone Cha moto maana mitambo ya kumlinda imelipuliwa
Huna ushahidi wowote katika hilo hzb wamempa cheo kikubwa Qassim inamaana wanamuamini, sikatai kuna masnichi wengi ndani ya Lebanon na wengi wao ni wahindi ndio waliochoma sana na si mbaya mpaka sasa hzb kakamata network ya watu 20 waliokua wanaspy viongozi hivyo wanapo pa kuanziaSheikh Qassim Ndio anawachoma....
Wale viongozi wabishi wote wamekufa...
Kati ya Hamas na Hezbollah nani ameonesha ukidume?
Haina maslahi? Unajua Kyiv ikidondoka inayofuata ni Warsaw!! The closer Urusi inasogelea Eastern front ndio threat kwa USA na imekua hivyo tokea cold War. Kama angekua hana maslahi asingewekeza matrillion kila mweziUSA haina maslahi ya Moja Kwa Moja nchini Ukaraine,Vita ambayo kaiwekea maanani Taiwani na Chaina hapo ndo kajipanga kuingia mazima ikitokea yaani ata deploy troops kabisa
Imemvuaje nguo wakati Ali expose defense system ya Israel. In fact Israel ilifanya reply nyepesi sana so Iran haikuina haja ya kuendelea na revenge. Ila ni nani angediriki kurusha vyuma Tel Aviv hapo middle east, ni Iran pekee ndio wa kwanza. So ametoka kwenye hili saga akiwa na reputation.wahouth,hii piga nikupige na Israeli imemvua nguo
Hamna kitu, mbona Urusi katumia Oreshkin na tokea hapo Ukraine wamepewa zuio wasitumie tena hizo silaha. Na nikwambie hizo ni kelele tu ila Sio USA au Russia anaweza mshambulia mwenzake maana italeta nuclear war ambao wataathirika wote.Hapo Urusi anachezewa sharubu na hafanyi chochote,kitendo cha kuruhusu ATACAMS kupiga ndani ya Urusi ni uchokozi mkubwa kuliko unavyojuaa maana hiyo inamaanisha mmarekani mwenyewe ndo anazidrive hizo silaha ndani ya Urusi inabidi Urusi ifanyie kipigo Cha karibu ya Moja Moja kwa USA,jambo ambalo litainua kichaa Cha USA ndo utaiona rangi ya USA vzr
Hujamsikia Biden kasema inafuata cease fire ya Gaza!?.. hizbullah wasingekubali ikiwa Gaza hakuna cease fireHapo Hezbollah ndo kashindwa kwa sababu lengo lake la kuingia mapiganoni ni kuilazimisha Israeli iache kuishambulia Gaza,Sasa mapigano yanasimamishwa na Irael Bado inabinda Gaza.Pili kampeni ya Israeli kuingia kusini mwa Lebanoni ni kuwasukuma mbali na mpaka Hezbollah na katika makubaliano Hezbollah anaondoka kilimeta kadhaa toka mpakani na kufanya raia wa Israeli walio hama kaskazini warudi na kama Hezbolaah watashambulia sitisho la mapigano linakoma vita inaendelea jambo ambalo serikali y a Lebanon haitaki litokee
Asante sanaShida iko kwa Israeli wale ambao ni mazayuni siku zote mimi huwa nikiandika humu najitahidi kukwepa neno wayahudi, kwahio mzayuni ndio mbaya anaharakisha ajenda ya shetani haingii akilini vitani ukaue watu na uharibifu wa hospitali na majengo, huo ni uovu. Watu hawawezi kua na amani kwasababu Israeli anaamini Syria, Lebanon na sehem ya Egypt na Jordan inafaa kua ardhi yake. Hapo lini amani ya kweli itapatikana?
Hakuna sehem resolution inamruhusu kuchukua hata mita 1 lile ni eneo la Lebanon na ndio unaona majeshi ya UNiFIL na lebanon ndio yanaenda kuwepo huko kulinda mipaka
Hakuna mwanajeshi wa Israel aloyefika moto litani,acha kumeza vipropaganda vya gazeti la Israel,wafike moto litani wasikuoneshe CNN!?..View attachment 3163541View attachment 3163542
Wanaume hao hapo.
Huko masjid mnajazana matango pori sana.
Gaza wako na mtihani sana hawa jamaa sio wakuwaamini hzb kaweza kwakua flow ya silaha ilikua vizuri gaza hamna kitu kinaingia na kama kinaingia hakitoshi kwa muda na aggression wanayokutana nayo. Gaza watalemewa sana lakini uzuri ni kua hawata surrender wako ladhi mateka wote wafe, ndio maana baada ya cease fire Israel kukimbilia Syria kuvuruga njia za silaha kuja south Lebanon hivi hapa Syria imzuka vita mbaya sana kupitia proxy za Israel dhidi ya serkali ya Syria na Hizbollah na Urusi ndani wanajeshi wa Syria 25 wamefariki. Kwahio nachoweza kusema Lebanon wasifurahi sasa hivi wakae kwa Machale muda wowote wanarudi Mashetani hawana ahadi ya kweliHujamsikia Biden kasema inafuata cease fire ya Gaza!?.. hizbullah wasingekubali ikiwa Gaza hakuna cease fire
Israel hapigani vita bila misaada ya mabwana zake,wameshamwambia vita viishe,baada ya mwezi hakuna vita GazaGaza wako na mtihani sana hawa jamaa sio wakuwaamini hzb kaweza kwakua flow ya silaha ilikua vizuri gaza hamna kitu kinaingia na kama kinaingia hakitoshi kwa muda na aggression wanayokutana nayo. Gaza watalemewa sana lakini uzuri ni kua hawata surrender wako ladhi mateka wote wafe, ndio maana baada ya cease fire Israel kukimbilia Syria kuvuruga njia za silaha kuja south Lebanon hivi hapa Syria imzuka vita mbaya sana kupitia proxy za Israel dhidi ya serkali ya Syria na Hizbollah na Urusi ndani wanajeshi wa Syria 25 wamefariki. Kwahio nachoweza kusema Lebanon wasifurahi sasa hivi wakae kwa Machale muda wowote wanarudi Mashetani hawana ahadi ya kweli
Viongozi wote wa Hezbollah waliwahishwa kwa mabikiraWashabiki wa Israel leo mko kama mnaaga maiti.
Mashoga yamewaangusha kweli.
Pamoja na Silaha zote kutoka US na West wapi..bado mkachakazwa mpaka maji mkaita mma
Hahaha leo siku nzuri sana.
Iran mbali Hizbollah tu inawatosha
Amani Gaza itategemeana na Hamasi kutimiza matakwa ya IsraeliHujamsikia Biden kasema inafuata cease fire ya Gaza!?.. hizbullah wasingekubali ikiwa Gaza hakuna cease fire
Unafahamu maana ya maslahi ya Marekani??Kajifunze kwanza ndo uje hapaHaina maslahi? Unajua Kyiv ikidondoka inayofuata ni Warsaw!! The closer Urusi inasogelea Eastern front ndio threat kwa USA na imekua hivyo tokea cold War. Kama angekua hana maslahi asingewekeza matrillion kila mwezi
Imemvuaje nguo wakati Ali expose defense system ya Israel. In fact Israel ilifanya reply nyepesi sana so Iran haikuina haja ya kuendelea na revenge. Ila ni nani angediriki kurusha vyuma Tel Aviv hapo middle east, ni Iran pekee ndio wa kwanza. So ametoka kwenye hili saga akiwa na reputation.
Hamna kitu, mbona Urusi katumia Oreshkin na tokea hapo Ukraine wamepewa zuio wasitumie tena hizo silaha. Na nikwambie hizo ni kelele tu ila Sio USA au Russia anaweza mshambulia mwenzake maana italeta nuclear war ambao wataathirika wote.
We kijana huwa unakurupukaga sana ku comment halafu huwa unajikuta unajuuaaa.Kabla hawajasafishwa kabisa wametii amri kuomdoka kusini na kikoma kutupa maroketi Israeli
Hiyo ni kawaida ya vita piga nikupige.Unafahamu maana ya maslahi ya Marekani??Kajifunze kwanza ndo uje hapa
Huko Kurkus mapigano yanaendelea na silaha zinarushwa Juzi TU S 400 imelipuliwa na ATACAMS fuatilia utaona Hilo
Usitudanganye Kila chombo Cha habari kilionesha kuwa shambulio la Israel Kwa Iran ni totally failure.Iran ameahidi Promise lll inakuja tunaisubiri tuone maana zile ndege za Iraeli zimeua rada zake na mifumo S 300 na ushahidi WA satellite ulikuwa wazi
Wajuzi WA mambo wanakuambia ilani ipo katika wakati mgumu kutekeleza hiyo promise lll
πππππππNa anavyojikakamua sasa utasema daah jamaa linajua Ile mbayaHapa nasoma tu kauli za wateule naishia kucheka tu. Nilijuaga mtu ukishaukuw mteule unakua na akili nyingi kumbe.....
Sababu kubwa ni kuwa, uongozi mpya wa USA, Trump, unataka Vita iieshe, haupo taysri kuendelea kutoa pesa, pili, jeshi la Israel, limechoka kwa sasa, kupigana Vita kwa miaka miwili, sio mchezo, TZ ilipigana Vita ya kagera, 40yrs +, Ila mpaka Leo, madhara ya ile Vita kiuchumi bado yapo,Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800.
Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Lebanon, ambayo yatamaliza vita kati ya Israeli na kundi hilo linaloungwa mkono na Iran.