Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

Kwahiyo wafuasi wa mudi ndiyo wana akili au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ningekuwa mimi ndiye mudi ningewaahidi kangedere kamoja tu tena kasiko na mkia, maana nyie ni watupu kabisa vichwani
Unazidi kujidhihirisha wanao kuvusha bara bara wanapata tabu
 
Atacms sio mara ya kwanza kutumika ndani ya Russia katafute kombora ama silaha ilotumika kuripua daraja la Crimea hio Atacms imeleta mabadiliko yapi tokea itumike
Unaifahumu wewe,anaye ifaham anailalamikia achana na mambo usiyo yajua
 
Kwa hiyo,Israel kamaliza kazi iliyompeleka huko Lebanon! Si ndio? Si aliahidi kufanya kama alichofanya Gaza? Si ndo ilivokuwa? Kubali kataa,alichokipata toka kwa wahuni, hakutegemea. Na akaona akichokoza nyuki,atadhalilika. Na tayari keshadhalilika. Yeye si ndo ameomba ceasefire?! Au wewe ulisoma taarifa gani mkuu!
Hezbolah tayari wameyimiza matakwa yake,aliwaambia wasiingilie Ugomvi na hamasi hawakisikia ila baada ya mziki wamekubali
 
Cha kushangaza zaidi Hizbullah kabadili GIA angani maana walianza kushambulia Israel Toka Oct 7 eti wanawaunga mkono Hamas na Kiongozi wao Hassan Nasraillah akajigamba kwamba hawatositisha mashambulizi mpaka IDF iondoke Gaza na Leo Hamas wanaendelea kuchapwa na Hizbullah wameomba kupumzishwa na kipigo.

Japo wamelazimishwa ila Israel wamefanya Grave Mistake kukubali ceasefire na hao jamaa hawatopata nafasi kama hii tena maana Hizbullah walikuwa washaelekea kibrah.
Hizbullah kachapika sana usiku wa jana na Mazayuni yameshakamata mto Litani.
Biden kamblackmail Netanyahu kusaini ceasefire kama hatua ya kumkomoa Trump.
Netanyahu amewatega Ufaransa na Lebanon kisanii kwamba iwapo itatokea bleach ya aina yeyote kichapo kiko palepale.
Hizbullah wanasubiriwa wajichanganye.
 
Makubaliano kamili kati ya Israel na Lebanon yametolewa:
πŸ”” Hezbollah na makundi mengine yote yenye silaha nchini Lebanon hayatafanya vitendo vyovyote vya kuudhi dhidi ya Israel.
πŸ”” Israel, kwa upande wake, haitafanya mashambulizi yoyote ya kijeshi dhidi ya walengwa

nchini Lebanon, ikiwa ni pamoja na ardhini, angani na baharini.

πŸ””Israel na Lebanon zinatambua umuhimu wa Azimio nambari 1701 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

πŸ””Wajibu huu hauondoi haki ya Israeli na Lebanon kutekeleza haki yao isiyoweza kuondolewa ya kujilinda.

πŸ””Vikosi rasmi vya usalama vya Lebanon na vikosi vya jeshi vitakuwa vikundi pekee vyenye silaha vinavyoruhusiwa kubeba silaha au kutumia vikosi kusini mwa Lebanon.

πŸ””Uuzaji wowote, usambazaji na utengenezaji wa silaha au nyenzo zinazohusiana na silaha nchini Lebanon

itakuwa chini ya usimamizi na udhibiti wa serikali ya Lebanon.

πŸ””Vifaa vyote visivyoidhinishwa vinavyohusika katika utengenezaji wa silaha na vifaa vya silaha vitavunjwa.

πŸ””Miundombinu yote ya kijeshi na nyadhifa zitavunjwa, silaha zote zisizoidhinishwa ambazo hazizingatii

majukumu haya zitachukuliwa.

πŸ””Kamati inayokubalika kwa Israeli na Lebanon itaundwa ambayo itasimamia na kusaidia katika kuhakikisha utekelezaji wa majukumu haya.

πŸ”” Israel na Lebanon zitaripoti kwa kamati na UNIFIL endapo kuna ukiukaji wowote wa majukumu.

πŸ””Lebanon itapeleka vikosi vyake rasmi vya usalama na kijeshi kwenye mipaka yote, sehemu za kuvuka na mstari unaofafanua eneo la kusini lililoonyeshwa katika mpango wa kupeleka.

πŸ”” Israel itapeleka vikosi vyake hatua kwa hatua kusini mwa Blue Line kwa muda wa hadi siku 60.

Ebu fikiria Kwa makubaliano hayo ambayo Kwa asilimia zote yameidhinishwa na Israel dhidi Hezbollah watakubali Hezbollah?
Kama watakubali ni Nani atakuwa amejimaliza mwenyewe?
Haya makubaliano mbona hayana tofauti na yale ya mwaka 2006?

Haya makubaliano wanasiasa hasa wenye misimamo mikali ndani ya Israel wameyapinga hata Netanyau mwenyewe ameya saini kishingo upande baada ya Marekani kutishia kusitisha usambazaji wa silaha kwa Israel iwapo wange yakataa makubaliano hayo.
%61 ya raia wa Israel walio hojiwa na jarida la Jerusalem post wamesema Israel kashindwa vita sasa ww myahudi wa namanga unabisha nini?
 
Mto litani uko km 30kutoka mpakani mwa Israel ,alafu wakati huo majeshi ya Israel yalishindwa kupenya hata km 2 kwenye ardhi ya Lebanon huo mto litani wameuchuka kwa kutumia malaika?
 
Sijafurahishwa na hii cease fire kwakua hezb walikua katika position nzuri Zaidi kupressure matokeo sijui wamewaza vipi ila wao wanajua zaidi. hii itampa mwanya zaidi Israeli wa kujipanga na kingine hizbollah wanakosa maamuzi ya haraka kwakua wao ni chama tu katika serikali hivyo serikali ya Lebanon ndio tatizo kwao, kwani walikataa hadi msaada uliotoka Iran zaidi ya trilioni 2 kusaidia watu walioathirika na vita, kwa kuhofia Marekani itawaadhibu. Mtihani alionao hizb ni kujipanga kiintelijensia zaidi kipindi hiki cha cease najua lazima kuna bleach itatokea wataendelea tuu waga iko hivyo miaka yote
Asante sana ubalikiwe

Lakin Nina swali moja kwani hilo eneo haliwezi kabisa kuwa na aman bila kusikia vifo vya watu wasio na hatia?

Lakin pia nasikia Israel kuchukua eneo la zaid ya kilometer kumi je walichukua mazima au watalilidusha?
 
Haya makubaliano mbona hayana tofauti na yale ya mwaka 2006?

Haya makubaliano wanasiasa hasa wenye misimamo mikali ndani ya Israel wameyapinga hata Netanyau mwenyewe ameya saini kishingo upande baada ya Marekani kutishia kusitisha usambazaji wa silaha kwa Israel iwapo wange yakataa makubaliano hayo.
%61 ya raia wa Israel walio hojiwa na jarida la Jerusalem post wamesema Israel kashindwa vita sasa ww myahudi wa namanga unabisha nini?
Umeandika kitu hata hakieleweki
Hahahaha 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 ukikaa kimya utakufa?
 
Makubaliano kamili kati ya Israel na Lebanon yametolewa:
πŸ”” Hezbollah na makundi mengine yote yenye silaha nchini Lebanon hayatafanya vitendo vyovyote vya kuudhi dhidi ya Israel.
πŸ”” Israel, kwa upande wake, haitafanya mashambulizi yoyote ya kijeshi dhidi ya walengwa

nchini Lebanon, ikiwa ni pamoja na ardhini, angani na baharini.

πŸ””Israel na Lebanon zinatambua umuhimu wa Azimio nambari 1701 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

πŸ””Wajibu huu hauondoi haki ya Israeli na Lebanon kutekeleza haki yao isiyoweza kuondolewa ya kujilinda.

πŸ””Vikosi rasmi vya usalama vya Lebanon na vikosi vya jeshi vitakuwa vikundi pekee vyenye silaha vinavyoruhusiwa kubeba silaha au kutumia vikosi kusini mwa Lebanon.

πŸ””Uuzaji wowote, usambazaji na utengenezaji wa silaha au nyenzo zinazohusiana na silaha nchini Lebanon

itakuwa chini ya usimamizi na udhibiti wa serikali ya Lebanon.

πŸ””Vifaa vyote visivyoidhinishwa vinavyohusika katika utengenezaji wa silaha na vifaa vya silaha vitavunjwa.

πŸ””Miundombinu yote ya kijeshi na nyadhifa zitavunjwa, silaha zote zisizoidhinishwa ambazo hazizingatii

majukumu haya zitachukuliwa.

πŸ””Kamati inayokubalika kwa Israeli na Lebanon itaundwa ambayo itasimamia na kusaidia katika kuhakikisha utekelezaji wa majukumu haya.

πŸ”” Israel na Lebanon zitaripoti kwa kamati na UNIFIL endapo kuna ukiukaji wowote wa majukumu.

πŸ””Lebanon itapeleka vikosi vyake rasmi vya usalama na kijeshi kwenye mipaka yote, sehemu za kuvuka na mstari unaofafanua eneo la kusini lililoonyeshwa katika mpango wa kupeleka.

πŸ”” Israel itapeleka vikosi vyake hatua kwa hatua kusini mwa Blue Line kwa muda wa hadi siku 60.

Ebu fikiria Kwa makubaliano hayo ambayo Kwa asilimia zote yameidhinishwa na Israel dhidi Hezbollah watakubali Hezbollah?
Kama watakubali ni Nani atakuwa amejimaliza mwenyewe?
gTurn ya kweli haya au uongo wa huyu jammaa
 
Naona siyo mfuatikiaji kipigo Gaza kinaendelea mpaka wawaachie mateka,na Hezbollah na Iran wameambiwa wasiingilie na wakiinbgilia wanapigwa ndo maana unaona Irani yupo kimya
Kha nani huyo apigwe Israel ndo hii hii au nyingine
 
Pale moto umewaka ni 50/50. Israel kapiga majengo mengi ila moto bado anamwagiwa mwingi sana. Watakua wanasitisha ili kujipanga upya.
Nanukuu: "Watakua wanasitisha ili kujipanga upya".
Hapana mkuu.
Kitendo cha kusitisha mtifuano ni juhudi za USA na Ufaransa.
Halafu kwenye hiyo ceasefire (Truce)yapo masharti e.g. Usitishwaji ni wa muda wa 60dys halafu tathmini itanyika kuona jinsi masharti yalivyozingatiwa.
Hezbollah hatakiwi aonekane kujipanga kijeshi (Regrouping)na asivuke mto Litani ng'ambo kuelekea Israel kaskazini. Hiyo buffer zone kati ya mto Litani na Israel kaskazini watakuwepo jeshi rasmi la Lebanon (Lebanon Armed Forces) na UN kulinda amani.
Kama Vigezo na masharti visipozingatiwa kama ilivyoainishwa katika makubaliano hayo ngoma inarudi uwanjani.
 
Mto litani uko km 30kutoka mpakani mwa Israel ,alafu wakati huo majeshi ya Israel yalishindwa kupenya hata km 2 kwenye ardhi ya Lebanon huo mto litani wameuchuka kwa kutumia malaika?
Screenshot_20241127-203701_1.jpg
Screenshot_20241127-203833_1.jpg

Wanaume hao hapo.

Huko masjid mnajazana matango pori sana.
 
Back
Top Bottom