Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

Ndiyo Nasema wewe ni mjinga huzijui siasa za Israel na hujui hiyo nchi ikoje kuhusu watu kuondoka na kwenda nje hiyo ni kawaida katika vita vyote Ukraine tuliona na Lebanon wao sasa ni mamillioni wametoka, Congo pia tumeona, Kwa Israel ni tofauti kidogo raia wengi wa Israel wana Dual-Citizenship yaani wana uraia pacha kwamba ana uwezo wa kuishi huku au huko kwenye. Vita kama hizi mtu anaamua aende wapi na hakuna ubaya maana huku nyuma wameacha majembe yanawachakaza magaidi pande zote 7 kwa maana ya Hamas,Hezboullah,Houth,Syria na Iraq wote hao wanapata kipigo chaMbwa-Koko. Kuhusu Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu usitarajie ataondolewa ndiyo maana nimekuambia huzijui siasa za Israel. Benjamin Netanyahu anaaminika sana huko kwa kuwa na uzoefu katika kupambana na magaidi wa kiarabu kwa kipindi kirefu hata sasa hivi wamemuacha hapo kwa sababu ya vita hii tu basi. Hayo maandamano ni ya ndugu za watu waliotekwa nyara na Hamas wanashinikiza watu wao waachiliwe. Kwa hiyo usitarajie BIBI ataondolewa bali waambie magaidi waendelee kutia maji nywele zao kinyozi yuko tayari kuwanyoa hata bila maji. Kuhusu waliohamishwa kutoka kaskazini mwa Israel mpaka I na Lebanon ni kweli Israel iliwaondoa kwa usalama wao maana kuanzia Oct 08,2023 Hezboullah kwa kuwaunga mkono magaidi wenzao wa Hamas ilikuwa ikiyashambulia makazi yao bila kikoma na sasa hivi uwezekano wa wao Kurdish ni mkubwa sana maana Israel ina mipango wa kuwafurusha magaidi hao mpaka kwenye Mto Litan ndipo wananchi hao wataweza Kurdish makwao na usalama wao utahakikishwa. Bila shaka utakuwa umenielewa.
 
Vikundi vyote hivyo ataondoka na ataviacha mark my words kwa jinsi hali ilivyombaya wangekua wamesarenda muda tu lakini bado kinapigwa ogopa sana hio ideology kamwe haiondolewi kwa mtutu. Mimi siongei kwa na siangalii kwa macho lakini naangalia jinsi muarabu alivyo alafu na chanyanya na dini aliyonayo kwakua tunashare dini moja nae na ninaifahamu dini yetu ilivyo na misingi iliyowekwa hapo hakuna atakae kubali abadani
 
Sawa unasema kuwa na Source ya taarifa swali linabaki je zinaaminika? Unapoipangia Israel ifutike kwa miaka 5 hilo unajidanganya sana Iwayahudi wako hapo zaidi ya miaka 3,000 Iliyopita Leo maombi ya magaidi Mungu ayasikie? Yaani Mungu asikie maombi ya Watekaji,Wabakaji,Watesaji na wauaji wako wa kama Hamas na Hezboullah basi huyo atakuwa Mungu ambaye Mimi simtambua na lazima yatakuwa Majini. Hata waarabu wajikusanye na Bwana wao Iran wataangukia pua tu. Kwa taarifa yako tu hakuna mji Israel ambao ni Magofu kama ilivyo Gaza. Maneno mengine watu wanataka kujifariji tu Israel ni moto wa kuotea mbali. Katika Dania hii hakuna nchi inayoweza kupigana kwenye Fronts saba na ikaweza na ikawapa chakula adui wanayepigana naye isipokuwa Israel pekee.kuhusu uchumi wa Israel kuyumba hiyo ni kawaida kwa nchi zote zinapokuwa kwenye vita hata sasa hivi Lebanon uchumi wao umyumba sana. Kingine nikujulishe tu si unavyofikiria uchumi wa Israel utayumba maana vita haipiganwi ndani ya Israel nchi I shughuli za ki uchumi zinaendelea kama kawaida.
 
Huwezi kushinda kama supply ya silaha huna, wakati mwenzako anakuwa supplied na superpower.
Huko ndiyo upumbavu walionao waarabu unaanzisha vita na mtu ambaye humuwezi akikupiga unaleta visababu uchwara mara yeye ana silaha kali mara yeye ana SuperPower huo ni ujinga wakati mnavamia hamkujua Hayo.? Hamkufanya upembuzi yakinifu? Waaarabu hata siku moja hawawezi kumshinda Muyahudi kwa sababu za kijinga kama hizi
 
Uko sahihi
 
Skizungumzii kufutika lakini ujue kuna bandari,kuna viwanja vya ndege kuna viwanda zaidi ya elfu 80 vimefungwa ndani Israhell kuna miji yaskazini hizbo kaipiga mwaka mzima, fuatilia tuu kwa taratibu usijae mihemko tena kuna taarifa wao hawazitoi lakini uchumi wake uko vibaya na ni mwaka mmoja tuu, na pia US wanasapport sana ila utakuja kuongea humu ili goma ilikichochea hao hizbollah wao hawana cha kupoteza ni kikundi cha kusimamia maslahi ya Iran wataendelea kulipwa na kufanya kazi yao
 
Tatizo wewe umekaririshwa kumbuka vita si Msahafu wa kukariri vita ni Plan ideology ngapi zimepita na ngapi zipo na wanaozifuata tunawaona kama wajinga fulani tu? Ilikuwepo ya Mao mpaka kuna viongozi wetu hapa wakitaka kuapa wanatumia katiba ya nchi Baraka ya vitabu vitakatifu leo hii wako wapi? Ideology Mbaya kama ya Hamas na Hezboullah hazina tofauti na ISIL na Alquida waliobaki ni historia tu. Hamas na Hezboullah na Wahouthi ideology yao ni mbaya hawawezi kudumu watafutika tu kama filauni.
 
Tatizo lenu mnafatilia habari za Propaganda kutoka Aljazeera na PressTv hizo ni channel za Propaganda za waarabu hivi wewe unajidanganya viwanda 60,000? Huo ni uongo wa kuwadanganya watoto wadogo. Kwa hiyo huko kaskazini mwa Israel kuna viwanda 60,000 vimefungwa? Basi tumia vizuri akili uliyopewa na Mungu!! Kwa taarifa yako huko kaskazini unakokusikia ni kwenye makazi( Kibutz) hakuna kiwanda huko, bandari ya Haifa yenyewe mpaka leo inafanya kazi nimekuambia hata uchumi ukiyumba si hivyo unavyofikiria wewe pia vita haipiganiwi Israel inapiganiwa Gaza,Lebanon,Iraq,Syria na Yemen israel madhara ni kidogo sana watu wanafanya kazi siku na mchana. Kwa nchi ndogo kama hiyo kufungwa viwanda 60,000 lingekuwa Janga la kitaifa.
 
 
 
Aisee huu uongo huwa mnautoa wapi? Maana unaandika km ulikuwepo kwenye vikao vyao hao mabwana wakubwa...hebu tuache kidogo
 
Viwanda 80,000 vimefungwa huko Israel!! Hata anayewadanganya kawaona nyie ni Mazuzu sana!!
 
Ndugu yangu vitafutika vyote ila adhana itasikika mpaka siku ya mwisho as long as adhana itakuwepo basi muyahudi atatafutwa tu unless akubali yaishe
 
Ndugu yangu vitafutika vyote ila adhana itasikika mpaka siku ya mwisho
Hiyo unaamini wewe hivyo wengine hatuamini hayo, Hao Jamaa zako wanavamia Israel harafu wanategemea Allah awasaidie? Wameteka,Wamebaka,wametesa na kuua watu harafu Allah awasaidie hiyo inaingia masikioni mwako? Anyway Acha wapigwe tu maana hakuna namna maana hata raia waliunga mkono unyama huo Acha wavune walichopanda!!!!
 
Ona ulivyo BUMUNDA.
Toka lini Russia na China waka supply silaha Hizbollah.
Hizbollah anapata silaha kwa namna mbili,kwanza anapata toka Iran na pili anaunda yeye mwenyewe.
Hizbollah anao uwezo wa kuunda silaha.
Na hatumii silaha aina hizo silaha anazotumia ni multi launch rocket system za masafa ya kati na marefu.
Sio unguided rockets kama hizo.
Nenda kasome 2006 utajua kwanini Israel ilipigwa Bint Jubeir.
Una habari kama juzi Hizbollah ililipua Benyamini kambi ya Israel!?
Kama wao ni kama mandoga waliwezaje kulipua hiyo kambi!?
 
Nikisema wewe juha nakosea!??
Wayahudi wakikusikia unaweza kula makofi wewe.
Unaandika mambo mengi kumbe uharo.
*Nenda kasome ripoti za TIMES OF ISRAEL,HAKUNA ASIYEJUA KAMA RAIA WENGI WA ISRAEL WANA DUAL CITIZENSHIP,ila je kwanini wamekimbia nchi!??
Wao wenyewe wameripotiwa wakisema HAWANA UHAKIKA KAMA WATARUDI ISRAEL LABDA KAMA NETANYAHU ATATOKA MADARAKANI.
Maana wamechoka kuishi kwa wasiwasi na wamechoka kusikia air sirens.
Huko Galilaya 300k are internally displaced hawajui lini watarudi makwao.
Mwaka huu peke yake Israel kumefanyika maandamano zaidi ya MATANO yakimtaka Netanyahu atoke madarakani na vita ikome.
Wewe juha mmoja unakuja kushadadia ilhali raia wenyewe wa Israel wamechoka kukimbizana.
*Nani kakwambia hao wanakula kipigo?
Kama wanakula kipigo mbona Hizbollah peke yake imeshaua wanajeshi 300 wa Israel mara tu walipoingia Lebanon!?
Hivi una habari kuwa hao hamas imezalisha askari walemavu wa kudumu takriban ELFU SABINI katika vita za Gaza peke yake!?
Una hiyo habari!??
Je mmeweza kuzuia mashambulizi ya Houthi kule red sea!??
Je mmeokoa meli zilizotekwa na Houthi Yemeni pale red sea!?
Je mmelipiza kisasi cha shambulizi la Iran!?
JE ISRAEL IMEWEZA KUOKOA MATEKA!??

HUWENDA NAONGEA NA KICHAA WA AKILI.
 
Allah alishatusaidia kitambo sana kwa kutukabidhi Quran saivi kilichobaki ni nyie kuelewa kua mipaka yenu ni ipi sasa muyahudi bado aelewi
 
Allah alishatusaidia kitambo sana kwa kutukabidhi Quran saivi kilichobaki ni nyie kuelewa kua mipaka yenu ni ipi sasa muyahudi bado aelewi
Vita na ALLAH wapi na wapi? Ndiyo maana kila vita waarabu na Wayahudi waarabu wanashindwa vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…