Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

Israel imeanza mashambulizi dhidi ya Hezbollah kwa mapigano ya ardhini na tayari wameshavuka Mipaka wako ndani ya Lebanon

Je, huu ni mwisho wa Hezbollah?

BBC news
Hisbullah yasambaratika huku Isreal akiommba msaada wa jeshi la ziada NATO, USA na UK?. Wakiristo wa jf sijui propaganda wamesomewa wapi
 
Israel imeanza mashambulizi dhidi ya Hezbollah kwa mapigano ya ardhini na tayari wameshavuka Mipaka wako ndani ya Lebanon

Je, huu ni mwisho wa Hezbollah?

BBC news
Waislamu ni wakati wa kuungana , hasa waliokimbilia marekani, canada, UK, , ujerumani na spain wakawatetee magaidi na si kutukana mitandaoni.
 
Tatizo Israel wanatuchanganya sana Wanalebanon

Walituvamia kwa njia ya anga na kuua Viongozi wetu tukajipanga kutafuta namna ya kuziona Drones zao kwa rada ikashindikana....

Kabla ya kumaliza hilo sasa wanatuvamia kwa njia ya Ardhi na vifaru vyao

Sasa sisi tufanyaje jamani?
 
Tatizo Israel wanatuchanganya sana Wanalebanon

Walituvamia kwa njia ya anga na kuua Viongozi eetu tukajipanga kutafuta namna ya kuziona Drones zao kwa rada ikashindikana....

Kabla ya kumaliza hilo sasa wanatuvamia kwa njia ya Ardhi na vifaru vyao

Sasa sisi tufanyaje jamani?
Mtupe mkund tuwapiddy ndo msamaha wenu😂😂
 
Back
Top Bottom